chiko mkunungu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 729
- 646
Muache tuu kama una sababu nzito na ya msingi mbn mm nilimuacha wangu tulishikiana mpaka biblia na tukaapiana atutoachana lkn nilimuacha kwa kuwa alinicheat nikamuacha japo alinisumbua sana kunibembeleza turudiane alilia sana lkn nilimuacha msimamo wangu ulikuwa pale pale lzm nimuache mana mwanamke mm akishanicheat hana thamani tena kwangu kwaiyo kama una sababu nzito ya kumuacha ww muache tuu aita kueffect na chochote kile usiogope...ila usimuache eti kisa umemchoka no muache mwananamke kwa sababu nzito yenye mashiko kama labda kacheat apo kweli ww uyo mwanamke muache tuu mana afai tena ila sijui uko busy ndo umuache mzee apo utakuwa unazingua co poa kufanya ivyo...