Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,307
- 40,107
Kwa hiyo Mkuu zingine zina radha ya ugali , zingine chips kuku !! Najarbu kuwaza kwa herufi kubwa sijawah onja nyingine ila nliyoonja labda ilikua na ladha ya pizzaMapishi...huleta radha tofauti mkuu..