Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,683
- 98,696
Kutengeneza chakula kiaje sasa Dr hyperkid ?kutengeneza chakula unajua lakini
Kutengeneza chakula kiaje sasa Dr hyperkid ?kutengeneza chakula unajua lakini
Philosophical questionKutengeneza chakula kiaje sasa Dr hyperkid ?
😂 😂 kwa kubwaga hoho, nyanya mafuta hata hajachemka unafunikia unajibu sms 2,3 unachungulia mchuzi unatokota basi unaepuaKutengeneza chakula kiaje sasa Dr hyperkid ?
Swali lako halijibiki. Umelifinya sana, au unataka tukupe mji?Salam,
Mwanamke amekamilika kila idara, Kitandani yupo safi tu ila hajui kupika. Je, wanaume unaweza ukaoa mwanamke wa aina hiyo?
Siku hizi najua jua😂 😂 kwa kubwaga hoho, nyanya mafuta hata hajachemka unafunikia unajibu sms 2,3 unachungulia mchuzi unatokota basi unaepua
Hii haina tofauti na ile 'nitambadilisha taratibu'Ndio, anaweza kujifunza humo humo ndani ya ndoa
Kosa kubwa sana. Mwanamke aliyeshindwa kujifunza kupika akiwa kwa mama yake, usijidanganye atajifunzia kwako!!? Mtaishia ugomvi usioisha tu!Ndio, anaweza kujifunza humo humo ndani ya ndoa
hapo sawa..,sasa unapika chapati yenye kurasa kadha inayokunjika na kuikunjua bila kukatika sioSiku hizi najua jua
Miaka ya 2017 huko nisingeweza kujua kupika kwasababu ya shule
Hajui chochoteWanawake na binadamu kwa ujumla ni adaptive kutokana na mazingira pia ni rahisi kujifunza hivyo akijifunza ataweza.
Unaposema ishu ya kujua kupika ni pana sana ,hao wanawake anaweza kukupikia vyakula fulani akaenda sehemu fulani akawa hajui kupika ...Siwezi kuamini kwamba hata ugali haweza kupika?
Vyakula ni vingi hawawezi kupika kila kitu ila ukimfunza atajua ,unaweza kusikia watu fulani wanajua kupika ila kuna sehemu ukiwapeleka vile vyakula vyao havina dili na vya kule hawajui kuvipika kabisa..
Suala la kupika ni pana sana ila akijifunza vitu fulani.
Hivyo vyote havina maana kama hajui kupika, kwangu huwa naanza na chakula & bia then hayo mengine ndio yanafuataKitandani safi,Shape kama Rihanna,Jicho la Kinyonga,shida kupika tu,huoi?
Simple ila hakupanga maana sasa magroup huko whatsap ni mengi wanajifunza mambo yamekuwa hta youtube anaweza kujifunza.mie wa kwangu hajui kupika biriani, chapati za kusukuma na bites bites, ila anajua kupika pilau na nyama ya kukaanga na ugali. yaani mchawi biriani tu. I wish ajue na bites bites.