That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,228
- 3,715
jitahidi bibie, Karucee akae kushoto...Ndiyo naendelea kujifunza na naona improvements soon ntatoa kitu zaidi ya Shishi food 😀😀
jitahidi bibie, Karucee akae kushoto...Ndiyo naendelea kujifunza na naona improvements soon ntatoa kitu zaidi ya Shishi food 😀😀
Ni kama kununua iPhone isiyo na face ID au ununue benz yenye engine ya toyotaSalam,
Mwanamke amekamilika kila idara, Kitandani yupo safi tu ila hajui kupika. Je, wanaume unaweza ukaoa mwanamke wa aina hiyo?
Si umfundishe jamani....mbona unacomplicate maisha[emoji18]
😀😀jitahidi bibie, Karucee akae kushoto...
KFC ndo nini?Kikubwa heshima, chakula tutakula kfc
Kama ANA NIA YA KUJIFUNZA apo itakuwa hamna shida ila kama hataki ndo kimbembe. Apo sasa utaamua mwenyewe kusuka ama kunyoa. iyo isikusumbue sana maana hata hao wanaojua unakuta bado muda mwingi wanamwachia h/girl ayo mambo ya kupikaSalam,
Mwanamke amekamilika kila idara, Kitandani yupo safi tu ila hajui kupika. Je, wanaume unaweza ukaoa mwanamke wa aina hiyo?
Kuzaa au hata kukufulia 😀wa kazi gani sasa
Kwahyo unajua chapat tu 😀Kusema ukweli nimejua kupika baada ya kumaliza skuli yaani chuo
Tena Alienisaidia ni bebi wangu maaana nilimwambia sijui kupika so akawa ana nielekeze kila siku napika kitu kipya kupitia msaada wa YouTube nashukuru Mungu mpk navoongea hapa naweza kupika chapati laini kiasi kwamba ikaliwa kesho bila kuwa kaukau
So kama anafundishika jaribu kumpa hizo tips za upishii kama unampenda utamsaidiaa
Bahati mbaya hawa wasiojua kupika unakuta hata kufua chupi zao tu ni shida ndo aweze kufua nguo ya mme? hlf unakuta ni pisi imesimama kwelikweli. mungu hakupi vyote.Kuzaa au hata kukufulia 😀
Mbwa mzee tena jamani😃😃😃Mbwa mzee hafundishiki
Miongoni mwa vigezo ambavyo naviangalia sana na wenda vikanifanya nisiwe kwenye mahusiano na muhuska ni dem kujiona pisi sana kanakwamba kuna vitu yeye hawez fanyaBahati mbaya hawa wasiojua kupika unakuta hata kufua chupi zao tu ni shida ndo aweze kufua nguo ya mme? hlf unakuta ni pisi imesimama kwelikweli. mungu hakupi vyote.
Ndo maana we ni wale waleNavyojua nyumbani ndo sehemu ambayo mtu anaweza akajifunza kupika..labda nitoe mfano mimi mda mwingi nlikua shule na hata nikirudi likizo tution na nini kwahiyo ule mda wa kujifunza nlikua sina..kwahiyo kwa situation kama hiyo mtu anaweza jikuta mda wa kuolewa umefika hajui kupika baadhi ya vyakula...ila mimi najua kupika[emoji2][emoji2][emoji2]
Ipo siku utapiga keleleGirlfriend wangu hajui kupika na hilo anajua kabisa ni weakness yake. Tena anasema yeye anajua kupika tu ila sio kupika vizuri. Ila siwezi oa kwa kuzingatia kazi za masufuria, ana sifa nyingine zote na hakuna anayemkaribia kati ya hao mamantilie wenu
Hao ndo wanakimbilia leta Beki 3Aisehhh£#^&*.
Yaani nije nikufundishe kupika ukiwa kwangu? Mama yako, Shangazi uliokaa nao muda wote hawajakufunza ndio huo msala uniletee mimi??
Nononooo big no, mabinti wa ukweli na wanaojua kupika wapo wengi wewe rudi kwenu ukafunzwe.
Kuna watu wanaongea maigizo humu na kujikuta wote kwao matajiriKama hajui kupika sasa mkiwa na watoto atawezaje kuwaandalia chakula bora na chenye lishe