Hivi unaweza kuoa dada na mdogo wake anayemfuata?

Hivi unaweza kuoa dada na mdogo wake anayemfuata?

Kama Ni wajaluo uko salama sema panga mkwanja wa nguvu kuwaridhisha wazaz hakutakuwa na noma lkn kama Ni wahaya,wasukuma,wachaga,wakurya,imekula kwako hata panga utakatwa,ila kama ni wazaramo,wangoni,Wakamba,wanyarwanda,wajita,wahehe,eafipa ,wahaaa,Wasubi,jiandae kulogwa mapema

Hapa kwa Wajita unaweza kuwa unawafahamu vizuri
 
ha ha ha ha hizo nazikumbuka boss...ziliniozesha meno!
 
avatar16111_4.gif
unakimbizwa na shetani wewe @Kidume cha mbegu
 
Kuna jamaa aliwapa mimba identical twins ila kwa yeye kutokujua,ingawa doto alifanya kusudi badaye aliwahoa wote.
 
Acha uchizi basi iyo kitu haiwezekani kwanza pekee uwezi kuamua uoe wote wawili je wahusika wamekubali? Au unazani kuwapa mimba basi tiketi ya kuoa wote wawili ujawai kuona binti anapewa mimba na ataki kuoelewa wala kutoa mimba acha bangi nenda mwambie dada mtu umeharibu kwa mdogo wake kwanza ndio urudi na mrejesho hapo unaweza kupata jibu lako

soma nilichoandika wewe acha kukurupuka....wajaluo ndiyo wanaruhusu kuoa mtu na mdogo wake. onyesha hekima yako kwa kuficha upumbavu wako
 
Kuvunja amri ya sita na mdogo MTU wakati ukijua upo kwenye mahusiano na mdogo mtu. Hiyo ni Lana umepata na itatembea kila uwendapo.NENDA MBELE ZA MUNGU UKATUBU pia uwache tamaa
 
Chukua wote maana hamna namna sasa. Waende lee kushare rungu. Sipati picha hiyo ndoa mtakua mnapiga three some
 
Hivi binti zako wakapigwa kijiti na jamaa mmoja halafu awape mimba wote, utahisi vipi. Bora uangalie ubao upande na upande wa pili, kwamba ukageuziwa vipi je.
 
kwanza nikupe hongera zako huo ndio uanaume.
Pili nitoe ushauri wangu ingawaje najua hii story ni ya KUTUNGA (100%) najua mambo ya kujiongeza ili uonekane kidume.
hapa naona mdogo mtu ni KIMEO sababu anajua unatoka na dada yake na ulishapeleka barua kwao ya kutaka kuoa alafu bado yeye anajileta kwako. hata mimi ninge mdondosha chini tena kwa dozi ya maana.
 
Kuna baadhi ya mila ni sawa tuu. Unachukua dada mtu ukipendezwa na dada mtu unarudi tenaa.
Ila sasaa wewe umeleta dharau aisee hata dada mtu hujamchukua vizuriiiiiii umeenda kwa mdogo mtu.
Mwisho nakushauri vaa viatuu na wewe pia ni baba ukiwa na mabinti zako wawilii wafanyiwe hivyo utakubali, jifikirie zaidi ya mara 20 utajipa hitimisho.
 
Back
Top Bottom