Hivi unaweza kuoa dada na mdogo wake anayemfuata?

Hivi unaweza kuoa dada na mdogo wake anayemfuata?

WE ni boya ... Kidume au kidudu mtu....
Farasi kichaa...

wewe sikia ... Nipe huyo mdogo mtu aitoe hiyo mimba na mimi nimpe ya kwangu..... sio ulete aibu za kishamba huku mjini.....
Haya nipe namba hizo fasta niokoe kijahazi hiki....:msela:
 
Wala sishangai.
Nagoja kesho utuambie mama yao kakulazimisha papuchi!
 
Back
Top Bottom