Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,378
- 2,057
Poa tu we muache azae lea watoto wako bhana tena fresh tu maana wote ndugu hao
Asante kwa ushauri na je nikipeleka barua mara ya pili kuhusu mdogo watakuabli? Au nifanyeje yaniPoa tu we muache azae lea watoto wako bhana tena fresh tu maana wote ndugu hao
habari za leo,
nina mpenzi wangu ambaye ambaye ana mdogo wake wa kike, mdogo wake alikuwa ananipigia mara kwa mara na kunisalimia kama kawaida baada na mdogo mtu ni mzuri sana kuliko dada yake, siku moja alinitarifu atakuja kunisalimia mie nikajuwa watakuja na dada yake ila cha kushangaza akaja pekee yake na katika story za hapa na pale tukajikuta tushavunja amri ya sita sasa juzi amenitext kuwa hazioni siku zake nikamwambia nenda hospital kapime jana kaenda kapima ana mimba.
Pia dada mtu anamimba ya mitatu saiz na nilikuwa namalizia mchakato wa kumchukuwa aje kwangu.baada ya mambo yote hayo nimeamuwa kusitisha maana sijajuwa wazazi wao watanifanyeje? Na je kuna tatizo lolote linaweza kunitokea endapo nikawaowa mtu na mdogo wake? Pia jamii itanichukuliaje?
Naombeni ushauri kuwa niowe wote maan nawapenda kama hakuna matatizo ya kuoa familia moja mtu na mdogo
Message sent!49% ya watoto wanalelewa na baba ambao sio baba zao kibaolojia!
Hapo fikiria tena!
Tawaachaje wakati wanamimba zanguWaache wote
Huzijui pipi zamami zilokuwa zinaitwa hivyo,anyway wewe sio wazamani
huyo mdogo mtu anawez akuwa anakubambikizia mimba
la si hivyo badili kabila uwe mjaluo maana wao ni rukhsa.
Habari za leo,
Nina mpenzi wangu ambaye ambaye ana mdogo wake wa kike, mdogo wake alikuwa ananipigia mara kwa mara na kunisalimia kama kawaida baada na mdogo mtu ni mzuri sana kuliko dada yake, siku moja alinitarifu atakuja kunisalimia mie nikajuwa watakuja na dada yake ila cha kushangaza akaja pekee yake na katika story za hapa na pale tukajikuta tushavunja amri ya sita sasa juzi amenitext kuwa hazioni siku zake nikamwambia nenda hospital kapime jana kaenda kapima ana mimba.
Pia dada mtu anamimba ya mitatu saiz na nilikuwa namalizia mchakato wa kumchukuwa aje kwangu.Baada ya mambo yote hayo nimeamuwa kusitisha maana sijajuwa wazazi wao watanifanyeje? Na je kuna tatizo lolote linaweza kunitokea endapo nikawaowa mtu na mdogo wake? Pia jamii itanichukuliaje?
NAOMBENI USHAURI KUWA NIOWE WOTE MAAN NAWAPENDA KAMA HAKUNA MATATIZO YA KUOA FAMILIA MOJA MTU NA MDOGO
hahaha kabanga so walitumana kula hio pipi kwa zamuHaina matatizo, chukua wote weka ndani, NA wala hawana wivu....
Tawaachaje wakati wanamimba zangu
Habari za leo,
Nina mpenzi wangu ambaye ambaye ana mdogo wake wa kike, mdogo wake alikuwa ananipigia mara kwa mara na kunisalimia kama kawaida baada na mdogo mtu ni mzuri sana kuliko dada yake, siku moja alinitarifu atakuja kunisalimia mie nikajuwa watakuja na dada yake ila cha kushangaza akaja pekee yake na katika story za hapa na pale tukajikuta tushavunja amri ya sita sasa juzi amenitext kuwa hazioni siku zake nikamwambia nenda hospital kapime jana kaenda kapima ana mimba.
Pia dada mtu anamimba ya mitatu saiz na nilikuwa namalizia mchakato wa kumchukuwa aje kwangu.Baada ya mambo yote hayo nimeamuwa kusitisha maana sijajuwa wazazi wao watanifanyeje? Na je kuna tatizo lolote linaweza kunitokea endapo nikawaowa mtu na mdogo wake? Pia jamii itanichukuliaje?
NAOMBENI USHAURI KUWA NIOWE WOTE MAAN NAWAPENDA KAMA HAKUNA MATATIZO YA KUOA FAMILIA MOJA MTU NA MDOGO
Unakichaa wewe..,Habari za leo,

ha ha ha ha ha...zamani ipi hiyo boss!anyway mimi nimekulia kijijini hata pipi zenyewe hazikuwepo!
Asante kwa ushauri na je nikipeleka barua mara ya pili kuhusu mdogo watakuabli? Au nifanyeje yani