Mimi siku wewe ceramic nikishakabidhiwa sahau kuhusu hizo sheria.Unabishana na taarifa ya habari utanichosha na conjugal rights zako! Marriage does not automatically give one spouse the right to force sexual relations on the other.. mwanaume unasex na mwanamke wako kwa consent yake tu! Na sheria za tanzania zinafamu hilo!
Nisamehe sana my love ni ibilis alinipitia nakuahidi nimekuwa kijana matata kuanzia sasa ni mwendo wa madini naanza na hii nipe dakika 10we dogo wenge halijakata kabisa, nilijua utarudi timamu nikuchumbie kumbe bado haujakuwa vizuri!
Ndoa ndoa ndoa ndo maana unapewa cheti kabla ya kuingiaTajiri mkeo, ukimuomba mlale, akakataa ukalazimisha unakuwa umetenda kosa la kubaka. Na adhabu yake ni miaka 30 na kazi ngumu au viboko, au vyote kwa pamoja. 😊
Hakikisha mkeo anakuruhusu kwa ridhaa yake.
Watu wawili wenye viwango tofauti vya hamu ya tendo wakioana ni tabu sana. Hapo kuna mwanamke mwenzake analia hapati haki yake kila siku anapoihitaji.Juzi kati hapo kuna sister moja tulisoma naye alicheki kuomba ushauri kuwa mume wake amekuwa akimbaka.
Kiukweli nilishangaa, mume anawezaje kumbaka mke wake, inakuwaje? Nilimuuliza kwa mshangao.
Akasema kuna kipindi anakuwa labda anaumwa au anajisikia vibaya, mume wake akimtaka na akimwambia hapana, basi mume huyo huwa anamkamata kwa nguvu na kumwingilia kwa nguvu na kwa ukatili wa hali ya juu.
Sasa mke kachoka, anataka kumshitaki mume wake. Wazo lake la kwanza, la pili anawaza kuachana naye, na anasema anashindwa kuamua which is which.
Jamii itamwonaje au wazazi wake atawaambiaje kuwa mume wake huwa anambaka? Everything is confusing.
Unanibananisha kama nipo kwenye oral defense mkuu😂😂Nani kakwambia hizo sheria ni assumptions? kwanini tunazisoma sasa kwenye Penal law? na zinakuwa applicable? kwahiyo precedents zake ni fictious?
Na kama anafanyiwa huo ukatili inatakiwa afanyaje maana upo sana unaendelea na wanawake wanashindwa kusema wanabaki kuumia na kuishi na msonho
😁ukatili anafanyiwa wa ubakaji mkuu siyo sawa na nina piga why using force on your wifeKwahiyo unataka tukushauri kwa maslahi MAPANA ya huyo shoga Yako, mwambie aachike aone upande wa pili wa shilingi kujilipia bills! Ila unamjali kweli shoga yako mnapeana siri KUBWA namna hii
Ni bora kuoa rafiki yako tu sasa pengine binti aliingia kwenye ndoa kwa kulazimishwa😄 vita kama vita
Nakwambia hivi, ukiripot inafanyiwa kazi ni vile sheria zetu hazitiliwi maanani plus rushwa kwa sana, case za ubakaji nazozijua zipo Tanzli, japo unakuta spouses walitengana lakini kesi zipo! ila ikiangukia kwenye unyanyasaji wa kijinsia ni GBV lazima itafatilia tu!Na kama anafanyiwa huo ukatili inatakiwa afanyaje maana upo sana unaendelea na wanawake wanashindwa kusema wanabaki kuumia na kuishi na msonho
😀 siwezi mpa ushauri huo nop mapenzi yanashauriwa kwaniumepewa kazi ya kumtafutia msaada wa kisheria....ha ha ha...kwani options si zilikuwa mbili, kumshitaki au kuachana naye, mshauri tu aachane naye...au unataka aendelee kubaki kwa msela alafu wewe unajichapia bila kuhudumia....
Ndoa ndoa ndoa ndo maana unapewa cheti kabla ya kuingia
Safi ushauri mzuri na kwa wazazi anaanzaje kusema ni kipengele !Nakwambia hivi, ukiripot inafanyiwa kazi ni vile sheria zetu hazitiliwi maanani plus ushwa kwa sana, case za ubakaji nazozijua zipo Tanzli, japo unakuta spouses walitengana lakini kesi zipo! ila ikiangukia kweye unyanyasaji wa kijinsia ni GBV lazima itafatilia tu!
Aisee, Adv. Seran nakuona unatema cheche sio poa.Nani kakwambia hizo sheria ni assumptions? kwanini tunazisoma sasa kwenye Penal law? na zinakuwa applicable? kwahiyo precedents zake ni fictious?