Hivi unamwitaje mumeo/mkeo?

Wakati ndoa bado changa mume wangu/mke wangu, dear, sweet, darling.
Mkipata mtoto, baba koku/mama koku.
Kibongo bongo mtu aliye owa/olewa hawapendi kuitana majina yao hata mbele ya jamii ni nadra kukuta mtu aliyeoa/olewa anaitwa jina lake na hasa mnapokuwa na watoto.
Anyway mimi huita mama koku ktk normal situation, nikitaka kiromantic zaidi humuita dear, my wife, akiniudhi naita jina lake kabisa.
She call me dear all the time and i like it.
 
hivi kama nikimwita mkewangu honey, kuna kosa? honey anatakiwa kutamka mwanaume kwa mwanamke au mwanamke kwa mwanaume? tafadhali nisijekuwa nimekuwa nikitumia vibaya!
 
Hapa naongelea unapomwita direct
namwita jina lake kama ni zaujati basi ntamwita beb zaujat au beb zau hata kama tna watoto kumi kwa kumuita jina lake kunatunza mapendo na ku update loveeeeee...... .................. kwani we unaonaje lakin
 
sisi tunaitana majina yetu. sometimes inaletaga sheshe hasa wanapokuwa wakubwa (wazazi au ndugu) lakini ndo tumeshazoea, hatuwezi kuitana majina mengine
 
Mi sijaoa,ila kwa sababu niliweka Tangazo hapa jf kutafuta wa maisha,kati ya walioniPM mmoja anakaribia kuwa na vgezo,nkimweka ndan ntakuwa namwita jina lake LYDIA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom