Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,429
- 191,699
HahahahUnapazaru maprofesa wanaenda pale kunywa supu ya pweza
HahahahUnapazaru maprofesa wanaenda pale kunywa supu ya pweza
Eeh hiyo dadaangu ndio ana hio tabia. Ukiitikia mmh... Mmh... hapo story inakata na ugomvi juu. Anataka uitikie ehee...sijui vikapanda vikashuka... Ee hee... Blablaa blaa eh eeh... Hapo mtaelewana. Ukianza kuitikia mmh... Mmh.. Hapo vtita ya 3 ya dunia.🤣🤣🤣Mm noma na nusu napenda kusikilizwa hata km utumbo uitikie tu ehne ikawaje 😂😂😂😂
Unaitikiwa ili kuridhishwa ila ukiuliza swali sasa moto utawaka😀😀😀😀Hapo tutagombna
Hahahah. Muda wa inspection ni saa umeenda kuoga lazma akague.Hakuna kitu kinakera kama kuweka simu mezani alafu 'wife' anachukua na kuanza kuperuzi kwenye meseji.
Hahahah huyo mtu ushamchoka wewe ndio maana unaona anakusomea waraka. Mwanamke akikinai mwanaume kila afanyacho hugeuka kuwa kero. 🤣Wanaume wasumbufu nao ni kero aisee alafu Kuna Hawa waongeaji sana Yani kitu kidogo anakusomea waraka hat masaa matatu anaongea yeye tu tunawaitaje sijui
Eeh lazims ajur nn kinaongelewaUnaitikiwa ili kuridhishwa ila ukiuliza swali sasa moto utawaka😀
🤣🤣🤣Eeh hiyo dadaangu ndio ana hio tabia. Ukiitikia mmh... Mmh... hapo story inakata na ugomvi juu. Anataka uitikie ehee...sijui vikapanda vikashuka... Ee hee... Blablaa blaa eh eeh... Hapo mtaelewana. Ukianza kuitikia mmh... Mmh.. Hapo vtita ya 3 ya dunia.🤣🤣🤣
Mi kuna kipindi ilikuwa nikikusemesha lazma uniangalie usiponiangalia ntakuita jina hata mara ishirini hadi ugeuke ndio naongea nachotaka kusema. 🤣🤣🤣 Kuna watu ilikuwa inawaboa hio situation ila sikuhizi nimeacha tu. Siongei na mtu ambayw yuko busy.
bro mara hii 😂😂Hakika bro
😂😂😂😂🙌 haya sawa laaziz wangu...am sorbro mara hii 😂😂
ulinishtua nikahisi labda nnaota 😂😂😂😂😂🙌 haya sawa laaziz wangu...am sor
yes, I'm all yours.Kwahiyo utanipa?
Woow! Hayo ndo mambo sasa.Naenda kwa job...see u later on palepale pa juzyes, I'm all yours.
sawa mama take care 🥰Woow! Hayo ndo mambo sasa.Naenda kwa job...see u later on palepale pa juz
Thanks kwa kujali.byesawa mama take care 🥰
bye 👋Thanks kwa kujali.bye
Unafikir bro nenda jion utakuwa watu na kaunda suti zao nyeusi wanakunywa supuHahahah
Hao tunawawekea earphone huku unamkodolea machoWanaume wasumbufu nao ni kero aisee alafu Kuna Hawa waongeaji sana Yani kitu kidogo anakusomea waraka hat masaa matatu anaongea yeye tu tunawaitaje sijui
Mwambie siye mashoga zake ??You see. Hii ni exactly kero kwangu aisee. Au kuongea na simu mfano anaongea na shost yake au mama yake au dada yake sim ya masaa asiee nenda kakae hata sebuleni huko uongelee huko mimi sitaki kusikiliza mazungumzo yenu.
Au mtu anaingia chumbani mwenzako kalala unawasha taa. Aiseee hiyo kitu huwa inanikata balaa. Naweza nikakuchukia hata kama ni manzi nakuelewa.
Unatumia simu vaa earphones sikiliza upuuzi wako mwenyewe . Why sasa unaweka loudspeaker halafu unataka sote tusikilize.