Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,745
naeza kumjua?
naeza kumjua?
Tabu tupu Yani 😅😅Ukute km mm nisiejua kusimulia Sasa 😂 la kwanza linakuwa la mwisho Inakera kweli 😀
HahahaaHapo umemkunja usiku kucha sasa unategemea akuachie dakika chache then muendelee na mambo yenu yeye yupo na wewe tu khaaaaaah
Nina wa hivi nimemfukuza leo asubuhi 🤣 🤣 🤣Au anaamka anaanza kukuongelesha ongelesha story za kipuuzi ambazo hazina maana muda huo una usingizi mzito haupo kwenye mood ya kuongea hata na nafsi yako.
Aisee mtoto amelala yeye amuamshe amsalimie watoto ni wasumbufu akilala ndipo mama anapata muda wa kupumzika na kufanya shughuli zingineVitu ulivyotaja havimfanyi mtu kuwa msumbufu. Huwezi shtaki kwa watu kuwa mke wangu msumbufu halafu wakakuuliza anafanyaje ukasema "Anamuamsha mtoto ili amsalimie."
Atakuwa na nye***mshindo huyoHapo umemkunja usiku kucha sasa unategemea akuachie dakika chache then muendelee na mambo yenu yeye yupo na wewe tu khaaaaaah
Sasa ndiyo unakuwa unaishi na mtu msumbufu!!?Aisee mtoto amelala yeye amuamshe amsalimie watoto ni wasumbufu akilala ndipo mama anapata muda wa kupumzika na kufanya shughuli zingine
Yeah, niko hivyo mimi unaweza unifanyie jambo kubwa nikatafuta sababu za kujustify actions zako then nikaelewa, ila tuvitu tudogodogo huwa tunaniondoshea amani kabisa, na kama uzi uliotuunganisha ni mwembamba ndio inakuwa kwa heri.Maisha yanakuwa magumu sana kama unakuwa irritated kirahisi hivi.
Kama uzi ni mnene labda ndoa?Yeah, niko hivyo mimi unaweza unifanyie jambo kubwa nikatafuta sababu za kujustfy actions zako then nikaelewa, ila tuvitu tudogodogo huwa tunaniondoshea amani kabisa, na kama uzi uliotuunganisha ni mwembamba ndio inakuwa kwa heri.
Hiyo sector naiweza sana hata nikikutana na marafiki wanao ongea sana huwa naitikia bila kuelewa wameongea nini saa hiyo mawazo nimehamishia sehem nyingine, shida huwa inakuja pale anaponiuliza swali linalo hitaji jibu huwa nashindwa hata nijibu nini maana sijaelewa hata kimoja alichoongeaMm noma na nusu napenda kusikilizwa hata km utumbo uitikie tu ehne ikawaje 😂😂😂😂
Kama uzi ni mnene labda ndoa?
😀😀😀Hapo tutagombnaHiyo sector naiweza sana hata nikikutana na marafiki wanao ongea sana huwa naitikia bila kuelewa wameongea nini saa hiyo mawazo nimehamishia sehem nyingine, shida huwa inakuja pale anaponiuliza swali linalo hitaji jibu huwa nashindwa hata nijibu nini maana sijaelewa hata kimoja alichoongea
😄😄 Huwa nadaka neno la mwisho alaf najichekesha chekesha nahamisha mada ni ngumu sana kujua kama nilikua sikusikilizi😀😀😀Hapo tutagombna
Kuepuka yote hayo ishi tu peke yako, mbona simple!Habarini.
Hivi umeshawahi kuishi na mtu msumbufu ambaye hana adabu?
Anaweza kuwa ni mkeo au mumeo huyu mtu. Mfano anaamka asubuhi alfajiri ya saa kumi na moja anawasha simu anaanza kucheka mwenyewe vitu anavyotazama mtandaoni.
Au anaamka anaanza kukuongelesha ongelesha story za kipuuzi ambazo hazina maana muda huo una usingizi mzito haupo kwenye mood ya kuongea hata na nafsi yako.
Au, unaweza kuwa unapenda utulivu yeye anaweka mziki wa sauti ya juu halafu anatoka nje anaacha mziki unakupigia wewe kelele hadi unabakia kujiuliza hivi huyu yupo sawa sawa kichwani kweli?!
Au mfano unakuta ni mwanaume anarudi kazini mna mtoto mdogo wa miezi mitatu kwa mfano. Mama umebembeleza mtoto amelala kasinzia mwanaume anafika anaanza kumbusu busu na kumuongelesha hadi mtoto anastuka halafu akianza kulia anamrudishia mama yake "eti mchukue analia". Matako yako ulimkuta analia,si umemuamsha na ufala fala wako hapo?[emoji34]
Wapo pia wanawake wasio na adabu kwa watoto tena mara nyingi ni zile sampuli za wanawake ambao wanakwenda kazini. Mtoto anabembelezwa na kulelewa na house girl yeye akija ni kumnyonyesha tu. Anakuta mtoto amelala anafika eti muamshe nimsalimie mtoto, wewe mtoto wa miezi sita au saba au mwaka unamuamsha ili umsalimie huyo mtoto anaongea huyo, kwan huwezi kuendelea na shughuli zingine mtoto alale apumzike akiamka utacheza nae wewe unamkatisha mtoto usingizi. Aisee hii kitu mimi huwa inanikera aiseee huwa natamani kumtusi mtu kabisa sababu sio adabu aisee.
Umetandika zako kitanda yeye anakuja analala anavuruga halafu anaamka anaenda jikoni anachukua chombo anatumia anaacha mezani. Anatoa juice, maziwa au maji kwenye friji halafu hayarudishi anaacha mezani. Au umefagia yeye anakuja anaingia na viatu as if haoni kuwa sakafu ni safi na haitakiwi kuingia na viatu.
Unakaa unatazama zako movie au upo zako Jamii Forum, mwanamke kazi kulazimisha kukuongelesha sababu kaona attention yako ipo kwenye simu au Tv. Mara ajipitishe pitishe hapo mbele yako halafu anakutazama,anakuongelesha story ambazo hazina kichwa wala miguu.
Ukimwambia akungojee kidogo umalizie unachofanya anakuwekea ile sura ya "haya baba samahani kwa kukusumbua".
Kwann watu huwa wanakuwa wasumbufu hivi aisee. Kimsingi kuna watu ni wasumbufu aiseee. Yaani wanakuwa ni kero kwa matendo yao.
Pole sana mkuuYaani ni utumwa, nikitoka kazini eti niwe nanyata nisije muamsha mtoto, nikimkuta anacheza ni lazima nimbebe akinililia la sivyo huyo mtoto wa mwaka mmoja ataambiwa mambo kama mtu mzima...
"Unamlilia lialia babaako na wakati hupendwi"..
"Hebu baki hapo acha kiherehere huoni kama hupendwi"
"Baba fulani hebu mbebe mtoto huoni nipo busy".
yaani bora mtu ubakie huko job hadi usiku wamelala ndipo urudi nyumbani usiku
Unamuelekeza tuu anaelewa jamaniHabarini.
Hivi umeshawahi kuishi na mtu msumbufu ambaye hana adabu?
Anaweza kuwa ni mkeo au mumeo huyu mtu. Mfano anaamka asubuhi alfajiri ya saa kumi na moja anawasha simu anaanza kucheka mwenyewe vitu anavyotazama mtandaoni.
Au anaamka anaanza kukuongelesha ongelesha story za kipuuzi ambazo hazina maana muda huo una usingizi mzito haupo kwenye mood ya kuongea hata na nafsi yako.
Au, unaweza kuwa unapenda utulivu yeye anaweka mziki wa sauti ya juu halafu anatoka nje anaacha mziki unakupigia wewe kelele hadi unabakia kujiuliza hivi huyu yupo sawa sawa kichwani kweli?!
Au mfano unakuta ni mwanaume anarudi kazini mna mtoto mdogo wa miezi mitatu kwa mfano. Mama umebembeleza mtoto amelala kasinzia mwanaume anafika anaanza kumbusu busu na kumuongelesha hadi mtoto anastuka halafu akianza kulia anamrudishia mama yake "eti mchukue analia". Matako yako ulimkuta analia,si umemuamsha na ufala fala wako hapo?[emoji34]
Wapo pia wanawake wasio na adabu kwa watoto tena mara nyingi ni zile sampuli za wanawake ambao wanakwenda kazini. Mtoto anabembelezwa na kulelewa na house girl yeye akija ni kumnyonyesha tu. Anakuta mtoto amelala anafika eti muamshe nimsalimie mtoto, wewe mtoto wa miezi sita au saba au mwaka unamuamsha ili umsalimie huyo mtoto anaongea huyo, kwan huwezi kuendelea na shughuli zingine mtoto alale apumzike akiamka utacheza nae wewe unamkatisha mtoto usingizi. Aisee hii kitu mimi huwa inanikera aiseee huwa natamani kumtusi mtu kabisa sababu sio adabu aisee.
Umetandika zako kitanda yeye anakuja analala anavuruga halafu anaamka anaenda jikoni anachukua chombo anatumia anaacha mezani. Anatoa juice, maziwa au maji kwenye friji halafu hayarudishi anaacha mezani. Au umefagia yeye anakuja anaingia na viatu as if haoni kuwa sakafu ni safi na haitakiwi kuingia na viatu.
Unakaa unatazama zako movie au upo zako Jamii Forum, mwanamke kazi kulazimisha kukuongelesha sababu kaona attention yako ipo kwenye simu au Tv. Mara ajipitishe pitishe hapo mbele yako halafu anakutazama,anakuongelesha story ambazo hazina kichwa wala miguu.
Ukimwambia akungojee kidogo umalizie unachofanya anakuwekea ile sura ya "haya baba samahani kwa kukusumbua".
Kwann watu huwa wanakuwa wasumbufu hivi aisee. Kimsingi kuna watu ni wasumbufu aiseee. Yaani wanakuwa ni kero kwa matendo yao.
Huyo ni chaguo lako [emoji445]