Hivi umeshawahi kuishi na mpenzi msumbufu?

Hivi umeshawahi kuishi na mpenzi msumbufu?

Hahahahah poleni sana wazee [emoji3][emoji3][emoji3] ila kiukweli lililonigusa ni hilo la simu na jf. Nikiwa nimerudi home nimekaa tu hakuna story naamua nishike simu niperuzi hapo ndio story zinaanzishwa sasa. Usipozingatia story kelele yani we na hio simu huko jf wakupe mshahara sasa. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Watu hata hatuwezi ongea tukaskilizana.
Halafu hapo unakuta kuna kazi kibao za kumkeep busy ila ana amua kukughasi tu. Vyombo vichafu, chakula ndio muda wa kuandaa, chumbani hakujatandikwa. Basi hata atazame TV ili awe distracted.
 
Wanawake wanapenda attention,ukishamuelewa wala huwez ona Kero mambo anayoyafanya
Attention anapewa sana tu sasa muda ukimpa attention anajikwepesha mara ajifanye ana kazi mara sijui nini. Ukisema sasa ngoja nimuache aendelee na shughuli zake na mimi nifanye zangu, hako hapo kamekujia kama boda boda.
 
Hii ni kero sana. Mi mme wangu alikua na hizi mambo akija akikuta kitoto kimelala haridhiki mpaka akishike shike mashavu akisemeshe. Basi hapo mtoto akijigeuza mara mbili kashaamka. Utaskia njoo mnyonyeshe naishia tu kuvuta mdomo. Na kuna hii mtoto kila akilia anakuambia mnyonyeshe kwani muda wote mtoto anataka kunyonya tu. Ye akimbeleza kidogo tu "mchukue".
Akimuamsha mwambie ninakazi pambana nae kidogo. Unaanza kupiga deki pumbavu zake ashike adabu. Hii tabia inakwaza sana aisee.
 
Sahihi. Na hata ukimkuta nayo atajifanya hata kuwapigia wa kwao kuwajulia hali kupitia simu yako,
Hii mbinu alikuwa nayo bibie nikastukia. Anakuja na simu yake kashika mkononi anakwambia imeisha salio na anaweza itumia hadi battery ikawa low ikazima halafu anakuomba simu yako acheki kitu Instagram na kupiga.

Maana anajua akinambia kupiga nitampa kitochi na kitochi hakina mambo mengi. Sasa anataka simu kubwa ataomba kutumia Instagram Dah hii kitu huwa inanikata.

So nakuwa makini sana na simu yake akifika tu namuwekea chaji. Atajizungusha wee akisema simu yangu haina kifurushi namuunga halafu namsikiliza sasa aseme kisingizio gani kingine.
 
Raia hawaelewi tu. Mtu unaweza kufeli mahusiano sababu unalala vibaya tu usiku mtu akakuona tatizo maana anajiuliza huyu mtu mimi ndio nakwenda kuoa au ndio mtu ataolewa nae halafu ana ulalaji wa hovyo hivi, mtu anageuka hovyo usiku unashangaa amekuwekea limguu la shingo, unatoa mara kidole cha jicho, mara haujakaaa sawa anakupumulia usoni kama dragon, bado anakoroma kama meza inasogezwa kwa kuburutwa.

Hapo mapema sana nasign out maana nitakuwa nateseka mimi wewe unalala usingizi mnono, aisee sitaki kero kitandani.
Wakati niko chuo siku moja nilitoka out kujaribu kuona kama tunaweza date, mtu alianza kutafuna chakula kama anapambana nacho, tuliishia palepale 😂😂
 
Raia hawaelewi tu. Mtu unaweza kufeli mahusiano sababu unalala vibaya tu usiku mtu akakuona tatizo maana anajiuliza huyu mtu mimi ndio nakwenda kuoa au ndio mtu ataolewa nae halafu ana ulalaji wa hovyo hivi, mtu anageuka hovyo usiku unashangaa amekuwekea limguu la shingo, unatoa mara kidole cha jicho, mara haujakaaa sawa anakupumulia usoni kama dragon, bado anakoroma kama meza inasogezwa kwa kuburutwa.

Hapo mapema sana nasign out maana nitakuwa nateseka mimi wewe unalala usingizi mnono, aisee sitaki kero kitandani.
Uko sahihi kabisa
Au unakutana na mtu anakoroma kama trekta unajikuta hupati kabisa usingizi hapo ndo mwanzo wa mahusiano unabaki unajiuliza kwa hiyo mimi kwa mikoromo hii ntakuwa kila siku nakesha mwenzangu analala.
 
Hiyo sector naiweza sana hata nikikutana na marafiki wanao ongea sana huwa naitikia bila kuelewa wameongea nini saa hiyo mawazo nimehamishia sehem nyingine, shida huwa inakuja pale anaponiuliza swali linalo hitaji jibu huwa nashindwa hata nijibu nini maana sijaelewa hata kimoja alichoongea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Same to me,marafiki zangu wengine mpaka wananitukana inapofika muda ninaulizwa swali natakiwa kuchangia mada ambayo nilikuwa naitikia tu bila kumsikiliza[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom