Hivi umeshawahi kuishi na mpenzi msumbufu?

Hivi umeshawahi kuishi na mpenzi msumbufu?

We ni wale watu wakoloni na wabinafsi sana. Huwezi kaa na watu kwa amani kama vitu vidogo vinakujaza upepo.
Mmmmmmhmn sasa vitu vya kukera ndio ukoloni? Mfano wewe hauna vitu ambavyo haupendi vifanyike mazingira unayoishi yaani kila kitu unafurahia?!

Basi wewe ni mwanadamu wa ajabu sana hapa Duniani.
 
Usiombe uwe unapenda vitu vikae kwenye mpangilio mzuri mandhari safi na tulivu halafu mwenzako awe mvurugaji na rafu. Aise inakera mno

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Inakera sana aiseee. Me mwenzangu anapokuwa ananipa utaratibu huwa namsikiliza sana kwa umakini ili nisimkwaze. Kama amesema hapo ndani nisitembee peku basi nitafuata maana yeye ndie anasafisha.

Akisema usitupe nguo chini basi nitafuata maana sipendi nimkwaze na kumvunja moyo kwenye usafi. Kama jiko lake ni safi basi nikila nitaosha chombo changu na chake ili tu aone namuunga mkono kwenye usafi wa jikoni.
 
Mmmmmmhmn sasa vitu vya kukera ndio ukoloni? Mfano wewe hauna vitu ambavyo haupendi vifanyike mazingira unayoishi yaani kila kitu unafurahia?!

Basi wewe ni mwanadamu wa ajabu sana hapa Duniani.
Vitu ulivyotaja havimfanyi mtu kuwa msumbufu. Huwezi shtaki kwa watu kuwa mke wangu msumbufu halafu wakakuuliza anafanyaje ukasema "Anamuamsha mtoto ili amsalimie."
 
Huyo mpenzi umempata kimasihara?
Mtu hadi umuweke ndani ulisharidhika na tabia yake
Kuna tabia huwa zinachomoza baada ya kuzoeana. Mfano usafi , unakuta binti wakati unafukuzia akija anapiga usafi nyumba nzima ila baada ya kuja kuishi na wewe anaanza kurundika vyombo vinalala anaosha asubuhi.
 
Aaaah nyie watu sometimes ni wasumbufu sana. Sijasema ni wanawake tu lakini, nimesema hata wanaume wasumbufu wapo.
Wanaume wasumbufu nao ni kero aisee alafu Kuna Hawa waongeaji sana Yani kitu kidogo anakusomea waraka hat masaa matatu anaongea yeye tu tunawaitaje sijui
 
Vitu ulivyotaja havimfanyi mtu kuwa msumbufu. Huwezi shtaki kwa watu kuwa mke wangu msumbufu halafu wakakuuliza anafanyaje ukasema "Anamuamsha mtoto ili amsalimie."
Sasa wewe hiyo imekaa sawa kwako?! Mfano unamtoto ambae anasumbua sana kulala halafu umebembeleza amelala anakuja jamaa yako anamuamsha halafu hakai nae hata dakika kumi anakurudishia mtoto macho makavu amenza kulia tena na muda huo una kazi nyingine, wewe hiyo imekaa sawa?

Kwann asimuache mtoto alale amtazame tu kimya kimya asubirie akiamka atakaa nae acheze nae.
 
Wanaume wasumbufu nao ni kero aisee alafu Kuna Hawa waongeaji sana Yani kitu kidogo anakusomea waraka hat masaa matatu anaongea yeye tu tunawaitaje sijui
Hao wanaitwa wazee wa ngenga wanachonga ngenga balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao wanaitwa wazee wa ngenga wanachonga ngenga balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂Aisee unakosa amani ya maisha Yani usipopokea simu tu anakujia live na waraka masaa matatu had manne haachi kitu na wanajua kupanga Kwa mtiririko kweli wazee wa ngenga😂😂

Usiombe mkutane bahatmbaya njiani iyo siku umemkera utasimama had utaamua kuchuchumaa 😂😂😂
 
Hata we una vijitabia ambavyo watu wanakuvumilia na ili uishi na watu lazima ujue ku-blend in japo kwa kiasi fulani. Kila mtu anakuwa na malezi aliyopewa huko alikotoka cha muhimu ni kuelezana zile kero za mara kwa mara kwa utulivu atasikia.
 
Back
Top Bottom