Apollo one spaceship
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 242
- 431
Wadau nauliza kama UKIMWI upo maana uzinzi na uasherati baina ya wahusika umekuwa kama mnyororo fulani na hakuna anayejali. Basi ukigusa huo mnyororo, imeisha hiyo.
Ni dhahiri kwamba mlolongo wa ngono zembe ktk jamii upo baina ya makampuni, vyuo, shule, vijiji, bar, maofisi, mahoteli, mageto, familia n.k.
Mfano mzuri ni dada zetu wa chuo ambao kila akienda discussion kwenye geto la mdau hatoki salama, na hizo discussion mpaka amalize chuo amekuwa amezifanyia kwenye mageto ya wadau wengi tabia yake lazima arudi nayo kijijini kwao au hata akienda kazini ataiendeleza. Watu wa tabia hii ni wengi katika jamii mithili ya mnyororo fulani.
Je, ni kwamba UKIMWI haupo au tumejisahau tu?
#Binafsi sidhani kama Mkapa alitania aliposema kwamba UKIMWi utatumaliza.