Hivi ukimfumania mwenza wako utafanya nini?

Hivi ukimfumania mwenza wako utafanya nini?

Kwanini afikie kufanya na mwingine wakati wewe upo?
Kwanini ukamchungulie ulikuwa wapi kujua kuwa mkeo si mwaminifu?
 
Ukifumania ndio utajua..........
 
unakaa chini unatafuta possible reasons za kwa nini yeye achepuke wakati upo. Ukishazijua ndo unajua cha kufanya
 
Katika mahusiano hakuna swala gumu kama kumfumumania mwenza wako mke au mume hebu tujadiliane. Nini utafanya pindi ukimkuta mwenza wako live kitandani akifanya majambozi?
Mkuu Aboubakar, kwanza asante!, pili kwanini ufumanie?!, huko ni kutoaminiana na kutojiamini!. Unapaswa every move you make, unamtaarifu mwenzi wako, ili kumpa nafasi usifumanie!.

No one is perfect, hivyo inawezekana kabisa, wewe sio bingwa wa mwenzi wako, ila yuko na wewe kwa sababu tuu!, ili na yeye afurahie maisha, lazima asake bingwa wake, anaweza kuwa house boy, dereva, fundi bomba, fundi umeme, fundi friji au yoyote mwenye access na nyumbani kwako!, unachopaswa kufanywa ni kumtaarifu tuu mwenzi wako kuwa unarudi ili huyo fundi bomba amalizie "kukaza'" lile bomba la chumbani lililokuwa linatirisha maji!.

Na siku ikitokea umesafiri kurudi home, umesahau charger, hivyo simu imezima, na kushindwa kumtaarifu mwenzio, then ukirudi, piga hodi kwa nguvu, akichelewa kukufungulia, hata akifungua huku anahema, na wasiwasi, mpige busu, mkabidhi begi na kuaga unakwenda kwanza dukani kununua soda ili kupa mwenzio "safe passage!!" ila kama una moyo wa chuma kama wangu, unaingia tuu unamwambia wife amuite yule mgeni atoke chumbani aende, au unaingia room na kumwambia, mwenyewe umerudi!. Huna haja ya ku mind sana a kupanic, kwa sababu hakuna chochote huyo jamaa ataondoka nacho!, atatumia tuu na kuacha kila kitu kama kilivyo, na ile kitu haina makombo!, and the worst, is ...

Matumizi ya mashine ile ni contrary to matumizi ya mashine nyingine zote!.Kwa mashine nyingine the more you use them, the more "ware and tear", ila ile, the more you use the better it becomes and the sweeter it gets, ndio manna wale dada zebu kwenye lie "biashara" wateja hawakauki!.

You can only mind kama wa kwanza ulikuwa ndio wewe, lakini kama wewe haukuwa wa kwanza, pia hutakuwa wa mwisho!.

Watu ni lazima muwe na moyo wa upendo wa kweli, vizuri share na wenzio!.Kwa wale wa zamani, sijui ni nani wanaikumbuka story ya "Niadhibu Tafadhali" iliyotungwa na John Rutayisingwa (RIP) kwenye gazeti la Mzalendo, earl 80's?.

Kufumania is No big deal!.

Thanks.

Pasco
 
Katika mahusiano hakuna swala gumu kama kumfumumania mwenza wako mke au mume hebu tujadiliane.

Nini utafanya pindi ukimkuta mwenza wako live kitandani akifanya majambozi?

namwambia mwana sasa hapa tugonge show ya threesome...wee endelea huko huko mbele wacha mie nizame huko kwenye tigo. baada ya hapo namwambia ndoa imekufa. alafu jamaa namwambia asante sana.
 
Nakaa hapohapo, nawaambia wafanye ili na me nijifunze labda kama Kuna kitu kipya....
 
Hii hali mara nyingi jibu lake ni kuachana nae huna haja ya kuhangaisha mwili na akili, lakini jibu zuri zaidi ni kwamba utafanya utakachoona kinafaa kwa wakati huo kadri hisia zitavyokuongoza.

Kuna ambao waliua, wapo walizimia wao, wapo walichanganyikiwa, wapo walitengeneza pesa....wapo wanasamehe kabisa na wanakuvalisha nguo na kukwambia usirudie huu ujinga, wapo wanao amua kudharirisha majibu ni mengi ila hasa hisia za wakati huo zitaamua utakacho fanya.

Endelea kumvizia mwenzi wako siku ukifumania utapata jibu.
 
mimi nikifumania simsemeshi mtu, minacho kifanya ni mdogo mdogo naondoka eneo la tukio bila hata kuwasemesha
 
kama ni mwanaume ndo umemkuta mke au demu wako akiliwa haina haja ya ugomvi just muache tu wanawake wako kibao could be blessing in disguise uko mbele ukapata kitu hasa!!!
 
Kuna vitu huwa sitaki hata kuvifikiria nisije nikajiumiza nafsi yangu!!! Na kama itanitokea cha kufanya kitaonekana hapo hapo!! Ila Mungu na aniepushie kwa kweliii
 
Kumfumania Mpnz Wako/mke Ni Zaidi Ya Msiba! Nasepa Mdogomdogo Hadi Hom
 
kama ni mwanaume ndo umemkuta mke au demu wako akiliwa haina haja ya ugomvi just muache tu wanawake wako kibao could be blessing in disguise uko mbele ukapata kitu hasa!!!

Kwani Kuna Mtu Ambae Hajui Hlo Mkuu Au Maumivu Ya Moyo
 
Back
Top Bottom