Hivi ukimfumania mwenza wako utafanya nini?

Hivi ukimfumania mwenza wako utafanya nini?

Mwanamke unafukuza kama wewe ni mwanamke umemfuma mumeo unamsamehe kwa masharti labda anakutoa mshiko wa maana na vitu vingine! Hapa wanawake hupata fursa ya kujipatia mahitaji yao ambayo waliyadai muda mrefu..! Umesikia misschagga siyo unaleta mapenzi ya tamthilia that what we do in Africa.
 
Last edited by a moderator:
Kama ameamua yeye sina sababu ya kugombanae nitamuacha aendelee na maisha yake aliyoamua
 
Mie nitaendelea tu na mambo yangu maana tayari nitakuwa nimezidiwa kete
 
naweza nisimfanye kitu chochote na nikarudiana nae
 
Katika mahusiano hakuna swala gumu kama kumfumumania mwenza wako mke au mume hebu tujadiliane.

Nini utafanya pindi ukimkuta mwenza wako live kitandani akifanya majambozi?
Nadhani akina Kimario, Mrema na wengineo wa kanda ile wanaweza wakawa na majibu mazuri sana
 
kiukweli mimi msg nikikuta nayo mara ya kwanza nakaa kimya,ya pili aisee nitachofanya UTAKUJA NITAFUTA HATA MIAKA 10 IPITE
 
Mi namchukua tunarudi nyumbaniii basii
 
Namwacha amalizie maana tayar nshamkuta hakuna kinacho badilika
 
dah! najua hao hawawez kuachana ila wataendelea tena kwa kujfcha zaid nikumuacha2 ndo kilicho bakia hapo
 
Back
Top Bottom