Hivi ujanja wa sinza ni upi hasa

Na ujanja mwingine ni kuwa huduma ya baa sinza ipo indoor,
huna haja ya kwenda mbali,
ukitoka tu nje ya nyumbani kwako mlango unaokutana nao ni baa/pub!!!!!

Uzuri wa Sinza ukiona bia zimepanda bei unahama bar na hutembei umbali mrefu kama wamembatisha 100 we unahama
 
Post za kipuuzi hizi, unaposema vijana wengi magraduet wanakwenda kupanga sinza, kwahiyo unamaanisha wale ambao hawajapata elimu ya juu sio vijana. wewe ni mvivu wa kufikiri. edit upya thread yako ili uilete jamvini. pesa ndio mpango mzima na sio kugraduet.
Kudaa diidaaaa kimbiza huyooo.
 
he!! kumbe kugraduate ni elimu ya juu tu...pole yako maana ww ndo mvivu wa mwisho na unajistukia...apo wa la saba,form 4 akaenda ufund stadi,useremala,ushonaji,unesi whatever wote wanaingia kundi hilo..ata driver aliyeenda training ni graduate kwa maana ya mhitimu in kiswahili..huo ni mtazamo wako!
Nipeni vyeti vyenu saa hiiii, nikitoka safari ntawaamua niko buze kidogo.:plane:
 
atm unakuta haina hela,unapita sheli unakuta wamelala mlinzi anakwmbia jaribu bamaga,baada ya bamaga unaenda sansiro unacheza kidogo kenye ukumbi mkubwa wenye watu ka 10 unaamua kuondoka.unafika nje unakuta umeibiwa kioo.unaamua kwenda bill's.cd ya sinza ana harufu.

Acha kupadis cnza mkuu utaumia! huko bilz malaya bei gali mana ht malaya w kw mfuga mbwa akishafika posta anajidai matawi!! sinza buku tano yako 2 unang'oa tena ile mida mida y saa11 asubuhi unajibebea goma lako buure bila kutoa ht mia ....... jamani sinza! mkoa crudi tena.
 
jamani,hapo ndo nimekupamba na maua,mie mkurya ndo nimemaliza hapo. lakini nimekupa na suluhisho jamani! afu huku hata kama kodi huna,unahudumia ng'ombe za mwenye nyumba au unamuoa bintiye kabisaa unamaliza tatizo sugu!

sorry ya aina gani hii mbona unaendelea kunikwaza.
 
asante mpendwa.
safety last naomba unisamehe kwa moyo wa dhatii!

<img src="http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/71139_117310695006173_6528686_q.jpg" border="0" alt="" /></p>
<p>&nbsp;</p>
<p><img src="http://hot255.com/cloudsfm/wp-content/uploads/2011/05/CIMG4946.jpg" border="0" alt="" />
</p>
<p>&nbsp;</p>
 
pale b.bar unakesha ukiangalia mpira wa uefa labda.mbona hamna kitu pale.eti sinza kuna bar,9t club.sijaon bado.bar zenyewe chafu,nzi kibao,viti vya plastic tena vya promotion ya cocacola,kili,safari au pepsi.b.bar yenyewe moshi wa kitimoto bar nzima.9t club ipi?ambiance au?haina hat sehemu ya kuchezea.ukiingia kidogo tu unatokwa jasho.niache kdog

sun cirro!
 
he hiv huko sinza ni wap au ndo kwa obama!mbona mnakusifia hvy..he hi hatar kwa kijana wa taifa la leo.,takwim zinasema asilimia 90 ya wakazi wa sinza ni wa kuja kwan hufuata mkumbo ni hayo tu.
 
Sinza,aargh! Ovyo kabisaa,poor drainage,nyumba nyingi vyoo vimejaa jaribu kutembelea ndugu au jamaa kipindi cha masika,nyumba nyingi ni kuukuu with little modifications to meet rising demands
 
halafu mie wabongo wananiudhi sana eti magraduate wengi, kuna graduate tanznia.....kwani wanaoishi Sinza wote wamesoma Tumaini? Fweza ndo inaifanya sinza iitwe kwa wajanja...

Mkuu hapo kwenye RED sana tuuu! nikiwa bongo sinza ndio home! maeneo ya Lion hotel! nimekulia Abuja "Mnyama" a.k.a abajalo ... timu iliyotoa wachezaji maarufu ligi yetu! tumehamia sinza 1986 enzi hizo ni mashamba ya mpunga!

SINZA NI YA WAJANJA NA ITABAKI HIVO... SIKU ZOTE!! NYIE MNAO DISS SINZA WOTE WAKUJA ..
 
Sinza,aargh! Ovyo kabisaa,poor drainage,nyumba nyingi vyoo vimejaa jaribu kutembelea ndugu au jamaa kipindi cha masika,nyumba nyingi ni kuukuu with little modifications to meet rising demands

Aaaah ww 2take radhi wapi bongo hii mvua ikinyesha huoni kinyec kikielea .......labda masaki! na masaki penyewe cna uhakika.
 
yaani wameweka kituo cha ukimwi kingine pale sinza mori, kona baa mpya imeanzishwa
 
Ukienda Masaki,k'nyama,mikocheni,au mbezi,95% ya nyumba zote ni watu wanaofanya kazi serekalini, na wenye nafasi ya kufanya ufisadi,au kwenye mashirika makubwa km bandari,TRA,TANESCO, Makampuni makubwa km TCC,TBL,BARRIC na kwenye taasisi za fedha km BoT,.Ukiona mjengo wa ukweli tegemea kuambiwa aaah,huyu jamaa yupo ama TRA,BP,BoT,TCC,TBL,au serekalini..sinza 90%imejengwa na wafanyabiashara, wa k'koo,tandale,mwananyamala,na kwingineko ndo maana inaitwa ya wajanja, hakuna ufisadi,ni upambnaji tu.
 
Mbona unanipandisha sana elimu, mimi sikufanikiwa kupata elimu ya secondary school.

we nafikiri ulimaanisha ambaye hajahitimu hata darasa la saba, na pesa ipo anawekwa kundi gani? Au nae ka graduate elimu ya mtaani elimu dunia?
 
Back
Top Bottom