Hivi ni muda upi sasa wa Kijana wa kiume kuanza kumtengeneza au kumtafuta mwenzi ili kujenga future?

Azimio la kazi

Senior Member
Jun 7, 2023
138
451
Habari wakuu ni matumaini Yangu nyote ni wazima wa afya.

Na Kitu naomba kujua japo ni personal kidogo, sababu tuna toka kwenye familia na jamii ambazo kimsingi ni ngumu kuuliza baadhi ya mambo hasa mahusiano na ndoa Kwa ujumla.

Naomba kujua hivi ni muda upi sasa wa Kijana wa kiume kuanza kumtengeneza au kumtafuta mwezi kwa jairi ya kujenga future?

Binafsi Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi moja ya chuo kikuu apa Tanzania, na umri wa miaka 23 hadi muda huu Sijawah kuwa na mpenzi,kwani nime okoka na mpenda YESU. Sasa Kuna binti tupo nae pale chuo ni mwana casfeta kwa kweli kimaadili ametulia sana Sasa nashidwa kumu approach mana naona still bado na safari ndefu sana ya kujitafuta kimaisha.

Ualimu ni wito.
 
Ila wokovu na kumpenda Yesu havina mahusiano kabisa na mapenzi mbona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom