Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,633
- 5,615
Wamasai walikuwa walikuwa wakitahiri vijana wao kabla ya Uisilamu.Hata kuzika watu ni matokeo ya Uislamu! Kabla ya hapo mlikuwa mnaacha mizoga ijiozee yenyewe..
Shikamoo maana yake nashika miguu yako /nipo chini ya miguu yakoFafanua zaidi please.
Yaani wazanzibar badala ya kumpeleka watoto nursery wao wanashindisha watoto madrasa. Baadae matoto yanakuwa yanajua mambo ya mudi tu hayajui math, science, English then unasema ni matokeo ya mapinduzi na Nyerere? Hebu rudi kidogo hapa unieleweshe. Mi naona elimu ya zenji ni dhaifu kisa kuendekeza uislam we unasema kisa ni Nyerere na mapinduzi. Kivipi mkuu??Hayo ni matokeo ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Nyerere,unazani ingekuwepo ile Zanzibar ya Sultani wa Zanzibar Tanganyika ingeona ndani leo hii,kweli wajinga wengi sana, Zanzibar ilikuwa zaidi ya Dubai watu walikuwa wanatoka sehemu mbalimbali ya Afrika kwenda kusoma Zanziba,historia inaweza kuhalibiwa na watu kwa makusudi na wajinga wakaja kutukana
"Shika" au "kushika" ni neno la Kibantu,hiyo "Moo" ndiyo sijui asili yake.Shikamoo maana yake nashika miguu yako /nipo chini ya miguu yako
Ukiangalia hiyo maana inabeba zile tabia za waarabu kuta kuabudiwa/kusujudiwa enzi hizo na biashara yao utumwa
Nimejaribu tu
Stara kwa mujibu wa Uisilamu lakini Waafrika walikuwa na Mila na Desturi zao sio mpaka kuvalishwa hijabu ndio stara.Uislamu umeleta stara
Hayo ni matokeo ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Nyerere,unazani ingekuwepo ile Zanzibar ya Sultani wa Zanzibar Tanganyika insigeona ndani leo hii,kweli wajinga wengi sana, Zanzibar ilikuwa zaidi ya Dubai watu walikuwa wanatoka sehemu mbalimbali ya Afrika kwenda kusoma Zanziba,historia inaweza kuhalibiwa na watu kwa makusudi na wajinga wakaja kutukana
Soma article hiyo chini kutoka kwa wajerumani wakikiri in middle ages waislamu na waarabu ndio walikuwa wameendelea kisayansi hadi ikapelekea maneno mengi ya english na kijerumani kuchukuliwa kutoka kwenye lugha ya kiarabuuislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
wewe una kipaji cha upumbavuuislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Masikini ni huko mashambani kwenu mlikotokea na ndo mana mnakwenda kwenu kuzikana na sikukuu zenu tu.Wacha weeeeeeeeh.... Ustaarabu wa vigodoro, ushoga, umaskini,ujinga, kubeba mabusha, uvivu, unywaji kahawa siku nzima.... Angalia maeneo yaliyojawa na waislamu hata Dar.ni maeneo ya watu waswahili maskini. Temeke, Buguruni kwa mnyamani, tandale,mbagala,vingunguti,mburahati. Asilimia 80 plus kumejaa waislamu.
Ikulu yako ya magogoni ilikuwa madrasa!
Ustaarabu wa usafi wa mwili umeletwa na Uislam, huko kwenu ushenzini mpaka leo wanachambia majani!
Haki, ndoa, mahusiano uvaaji wa nguo umeletwa na Uislam.
Mapishi yote yote yameletwa na Uislam..
Hata kuzika watu ni matokeo ya Uislamu! Kabla ya hapo mlikuwa mnaacha mizoga ijiozee yenyewe..
Wahitaji zaidi?
Unajua ukitaka kukielewa kitu weka chuki pembeni,mfano ni mdogo tu,Dubai ilikuwa na maisha duni sana,na kalibu asilimia 100 ni Waisilamu,walipogundua mafuta ndipo inchi ikapiga hatua kubwa kiuchumi,na siyo kwamba waliacha kuwafundisha watoto zao madrasa kama unavyosema, mpaka leo wanafundishwa elimu ya Dini.Yaani wazanzibar badala ya kumpeleka watoto nursery wao wanashindisha watoto madrasa. Baadae matoto yanakuwa yanajua mambo ya mudi tu hayajui math, science, English then unasema ni matokeo ya mapinduzi na Nyerere? Hebu rudi kidogo hapa unieleweshe. Mi naona elimu ya zenji ni dhaifu kisa kuendekeza uislam we unasema kisa ni Nyerere na mapinduzi. Kivipi mkuu??
Kama Afghanistan?Uislamu umeleta stara
Minazi na mitende.uislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Sio kweli,Wareno ambao walikuwa ni Wakatoliki walileta mazao pia kutoka South Amerika hadi Swahili Coast yakowemo mahindi na korosho.Miti yote maarufu ya matunda ililetwa na waislamu pamoja na mazoo ya biashara.