Hivi Uingereza waliwezaje Kutawala Dunia?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,355
Reaction score
15,082
Huwa najiuliza sana kuhusu hii nchi iitwayo Uingereza, hivi waliwezaje kutawala nchi zote hizo hapa Duniani mbona wamechoka hivyo... Yaani zaidi ya lugha hakuna chochote kingine walichonacho hata Kiingereza chenyewe unaweza kusema ni shauri ya Marekani ndio maana wote leo hii tunataka kujifunza.

Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijawahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota
 
Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijwahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota

Wanajivunua: BS Codes, Sterling Pound tu! Vinginevyo miji yao ilikuwa superpower wakat wa Industrial Revolution, hivyo ni miji ya kale, siyo ya kisasa saaana! Kuhusu hela yao jamaa wanajua co maintain status!
 
Huwa najiuliza sana kuhusu hii nchi iitwayo Uingereza, hivi waliwezaje kutawala nchi zote hizo hapa Duniani mbona wamechoka hivyo... Yaani zaidi ya lugha hakuna chochote kingine walichonacho hata Kiingereza chenyewe unaweza kusema ni shauri ya Marekani ndio maana wote leo hii tunataka kujifunza.

Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijawahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota

Una miaka Mingapi dogo? Kasome Historia ndipo utajua nini maana ya Super Power... Huwezi linganisha na Soccer... nadhani utakuwa na akili kama za Iran na argentina walipoweza kuifunga England wakaona kama ndio wamelipa kisasi cha kunyang'anywa Kisiwa chao... japo hicho kisiwa wanaoishi humo ni Waingereza wenyewe... Iran naye aliifunga Marekani kwenye World cup huko kitambo akaona ndio kaishinda kwa kila kitu... ni Akili ndogo sana...

Hujawahi ona kitu kimeandikwa Made in U.K pole sana sisi tuliotumia tokea kitambo hadi sasa tunasikitika kuvikosa kwani wao wanajari ubora kwanza... British airways waliondoka kwa sisi kutopenda ubora wakatuacha na makanjanja wetu tuwapendao... hawajui au hawataki kitu kinachoitwa Rushwa... Ukiwa na kitu kilichoandikwa Made in U.K lazima ueshimike na kutambulika mpenda vitu bora... Nenda ukatue London,Manchester,New Castle na miji mingine ujue kwanini walikuwa super power... Marekani nayo inaundwa na Waingereza...

Katika Dola zilizowahi Tawala Dunia na zilizobaki imara U.k wapo Njema Bado... Roman ndio yaweza kuwa Choka mbaya,The Great Alexander wa Greek au Greek alipotea,Persian,Nebuchadnezzar, Farao n.k

Uingereza ni United hata wakiamua kwa Sasa wanaweza ila haina Haja... Ukienda New Zealand,Australia,Hong Kong japo ni wachina ila wapo bega kwa Bega na Uingereza hawamtaki mchina... Marekani majimbo kibao, Canada hao bado ni Waingereza tu hivyo usishangae kiingereza kwa Marekani kimetoka wapi ni hao hao tu... walikuwa wengi sana walikuwa hawatoshi kwenye visiwa vyao... wamechanganyikana na Wayahudi ndio usuper power utokeamo...

Nenda kwenye List ya vitu wanavyotengeneza Waingereza humu ukurasa hautatosha... hayo Magari ya Toyota yamejaa kwenye Nchi Masikini tu... watu wanatumia magari ya Gharama full Luxuary... Jaguar,Rolls-Royce,Gari za Mr.Bean,Austin McLaren Haswa za Mashindano... And Then Inaelekea hujawahi Panda Mabasi ya Leyland kabisa wewe unapanda aina ya TATA mauda yenu...
 
i
 
Kila zama ina Super power yake na inatamba kwa muda maalum aliopangiwa...Marekani ametamba na taratiiiibu tunamuona muhula wake unaelekea ukingoni...China anachomoza, watakaokuja kuishi baadae watashangaa kama wewe kusikia Marekani nayo iliwahi kuwa Super Power..Historia inatufundisha hivyo...
 
Una miaka Mingapi dogo? Kasome Historia ndipo utajua nini maana ya Super Power... Huwezi linganisha na Soccer... nadhani utakuwa na akili kama za Iran na argentina walipoweza kuifunga England wakaona kama ndio wamelipa kisasi cha kunyang'anywa Kisiwa chao... japo hicho kisiwa wanaoishi humo ni Waingereza wenyewe... Iran naye aliifunga Marekani kwenye World cup huko kitambo akaona ndio kaishinda kwa kila kitu... ni Akili ndogo sana...

Hujawahi ona kitu kimeandikwa Made in U.K pole sana sisi tuliotumia tokea kitambo hadi sasa tunasikitika kuvikosa kwani wao wanajari ubora kwanza... British airways waliondoka kwa sisi kutopenda ubora wakatuacha na makanjanja wetu tuwapendao... hawajui au hawataki kitu kinachoitwa Rushwa... Ukiwa na kitu kilichoandikwa Made in U.K lazima ueshimike na kutambulika mpenda vitu bora... Nenda ukatue London,Manchester,New Castle na miji mingine ujue kwanini walikuwa super power... Marekani nayo inaundwa na Waingereza...

Katika Dola zilizowahi Tawala Dunia na zilizobaki imara U.k wapo Njema Bado... Roman ndio yaweza kuwa Choka mbaya,The Great Alexander wa Greek au Greek alipotea,Persian,Nebuchadnezzar, Farao n.k

Uingereza ni United hata wakiamua kwa Sasa wanaweza ila haina Haja... Ukienda New Zealand,Australia,Hong Kong japo ni wachina ila wapo bega kwa Bega na Uingereza hawamtaki mchina... Marekani majimbo kibao, Canada hao bado ni Waingereza tu hivyo usishangae kiingereza kwa Marekani kimetoka wapi ni hao hao tu... walikuwa wengi sana walikuwa hawatoshi kwenye visiwa vyao... wamechanganyikana na Wayahudi ndio usuper power utokeamo...

Nenda kwenye List ya vitu wanavyotengeneza Waingereza humu ukurasa hautatosha... hayo Magari ya Toyota yamejaa kwenye Nchi Masikini tu... watu wanatumia magari ya Gharama full Luxuary... Jaguar,Rolls-Royce,Gari za Mr.Bean,Austin McLaren Haswa za Mashindano... And Then Inaelekea hujawahi Panda Mabasi ya Leyland kabisa wewe unapanda aina ya TATA mauda yenu...

Hizo story kila Mtu anaweza kuzitengeza hata mimi naweza kukutungia Mambo kibao kuhusu Nchi yangu za TZ nikasema ilikuwa Super power...wakati wa Mafarao huko Misri.. tunaishi sasa hivi hatuishi Miaka 700 iliyopita...

Ndio sijawahi kuona kitu made in Uingereza lkn nimeona Made in Ufaransa, Made in Marekani, Made in Ujapani, Made in Ujerumani, Kanada, Korea nk lkn sijawahi kuona made in Uingereza ukiachilia mbali mavunja migongo maland rover...

Mafanikio kwenye Kombe la Dunia ni ishara tosha kwamba Nchi iko njema... haiwezekani usishinde mechi hata moja halafu useme wewe uko vizuri hata Marekani ambayo soka sio kihivyo lkn wanasonga mbele angalia Ujapani wamo tu...
 
Super power itakayo Kuna baada ya china Ni Brazil, then nchi ya Africa,
 
Hizo story kila Mtu anaweza kuzitengeza hata mimi naweza kukutungia Mambo kibao kuhusu Nchi yangu za TZ nikasema ilikuwa Super power...wakati wa Mafarao huko Misri.. tunaishi sasa hivi hatuishi Miaka 700 iliyopita...

Ndio sijawahi kuona kitu made in Uingereza lkn nimeona Made in Ufaransa, Made in Marekani, Made in Ujapani, Made in Ujerumani, Kanada, Korea nk lkn sijawahi kuona made in Uingereza ukiachilia mbali mavunja migongo maland rover...

Mafanikio kwenye Kombe la Dunia ni ishara tosha kwamba Nchi iko njema... haiwezekani usishinde mechi hata moja halafu useme wewe uko vizuri hata Marekani ambayo soka sio kihivyo lkn wanasonga mbele angalia Ujapani wamo tu...

Mkuu Wajua Gari Ziitwazo Range Rover? au hujawahi kutana nazo kitaa unaishi Bush ipi?

Hakuna Mlofa anayeweza kunua hii mikitu labda Hii hapa chini

Wewe endelea na Toyota... tu Wenye pesa zao waache ni Super power wanaishi ulimwengu ambao huwezi kuufikia ndio maana kinachokushangaza kuwa honi sababu ya hao jamaa kuwa Super Power... Historia inasema katika vita fupi Duniani iliyowahi piganwa ni kati ya Uingereza na Zanzibar Nusu saa tu Waingereza wakaishika Nchi ya Zanzibar. Kuna Matrekta yanaitwa Massey Ferguson ushawahi yasikia?
 
Mkuu

Waingereza ndio mabepari halisi apendwi mtu bali lina pendwa pochi, wameacha kutengeneza vitu vingi sana kwa sababu ya gharama za uzalishaji wa ndani. Ndio maana maviwanda mengi sana wameya amishia ugenini lakini kumbuka kwakuwa base zipo uingereza they have to pay their taxes that is what the government cares.

Pili ni kweli they do not produce much but the economy is centered around the service sector finance being the heart of their economy and many of those business are multinational kodi zao hao ni nyingi kuliko za toyota.

Halafu kuna swala la london kupendwa na matajiri, in fact it is a single city with most billionaire than anywhere in the world matanuzi ya hawa jamaa ni makubwa sana na wanatoa mchango mkubwa kwenye kodi, in short mwingereza is a clever individual these people always think ahead, what next should it come to this, just like me.

Bado kuna swala la patents ambazo huwezi amini ingawa hakuna kiwanda cha computer lakini most of the software patents are held by UK businesses, kuna swala la exportation of skilled workers every in the world. In short kwa juu juu tu unapata picha ambayo siyo, but then looks can be deceiving.

Timu ya mpira kwakweli is pampered too much, some people think three lions get the treatment suitable for pussycat dolls thats not how to treat a football team.

On a serious note its very hard to spot or nurture talent in premiership kwanza kushuka daraja pekee kuna igharimu team a minimum of 20 million pounds. Kwa mtaji huo kucheza premiership is a big deal, na timu kubwa kukosa champions league football it cost them 30 million pounds in revenue upwards. Sasa unakuta these people have no time with nurturing talent all they want is to maintain there status matokeo yake premiership na daraja la kwanza limejaza worldwide talents even in their academies.

Meanwhile the tax man is happy with these policies maana the more you lure talent and pay them hundreds of thousands the coffers get 40 percent on income tax, plus other benefits on footballers expenditures, dont expect the government to change that any time soon.

Ni swala ambalo sasa linaangaliwa upya kuna mjengo mpya wa FA academy ambao umejikita kukuza wazawa bila kupitia clubs, football is a big deal kwa waingereza na hiyo timu ya taifa inapewa kila kitu isipokuwa there isn't enough talent.
 
Huwa najiuliza sana kuhusu hii nchi iitwayo Uingereza, hivi waliwezaje kutawala nchi zote hizo hapa Duniani mbona wamechoka hivyo... Yaani zaidi ya lugha hakuna chochote kingine walichonacho hata Kiingereza chenyewe unaweza kusema ni shauri ya Marekani ndio maana wote leo hii tunataka kujifunza.

Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijawahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota

(1) Dunia imebadilika; wakati wa kujinyakulia ardhi na kuitawala umekwisha. Ila waingerea walikuwa mbele ya dunia yote wakanyakua maeneo na kuyatawala kwa muda mrefu sana.

(2) Kipimo ulichotumia cha matokeo ya mchezo wa mpira wa miguu ni kipimo dhaifu sana. Hata Marekani imeanza kucheza mpira wa miguu majuzi tu ingawa sidhani kama una wasiwasi wowote na nguvu za marekani.

(3) Ingawa Uingereza ni mojawapo ya nchi zinazojulikana kuwa na timu kali za mpira wa miguu, wachezaji wengi kwenye timu hizo ni wa kulipwa wakiwa ni wale best wanaotokea nchi nyingine. Kwa hiyo kombe la dunia ambalo kila mchezaji anatakiwa kuchezea nchi ya uraia wake ndiyo maana unakuta uingereza haina nguvu.

(4) Kama hujui kuwa uingereza inatengeza vitu basi ni kwa sababu umezowea vitu vya ubora wa chini na bei nafuu vinavyotokea nchi za Asia. Uingereza, Ufaransa na Ujerumani ndiyo mataifa yanayojulikana kwa kutengeneza vitu vya ubora wa hali ya juu duniani. Injini kubwa za ndege za airbus na baadhi ya ndege za boeing hutengezwa na rolls royce ya uingereza; ndege kasi za Concorde zilitengezwa na ushirikiana baina ya Uingereza na Ufaransa; magari ya kifahari ya jaguar, rolls royce na range rover na kama ulikuwa hujui, ile rada ya kimataifa ya BAE iliyosababisha tuibiwe pesa na wajanja, vyote vinatoka uingereza.
 
Mkuu Wajua Gari Ziitwazo Range Rover? au hujawahi kutana nazo kitaa unaishi Bush ipi?

Hakuna Mlofa anayeweza kunua hii mikitu labda Hii hapa chini

Wewe endelea na Toyota... tu Wenye pesa zao waache ni Super power wanaishi ulimwengu ambao huwezi kuufikia ndio maana kinachokushangaza kuwa honi sababu ya hao jamaa kuwa Super Power... Historia inasema katika vita fupi Duniani iliyowahi piganwa ni kati ya Uingereza na Zanzibar Nusu saa tu Waingereza wakaishika Nchi ya Zanzibar. Kuna Matrekta yanaitwa Massey Ferguson ushawahi yasikia?

Watu waliovalishwa shuleni Vibao vya Iam Stupid for Speaking Kiswahili utawajua tu! Tena dizaini wewe ndio uliokuwa Kiranja wa kuwabandika wenzako vibao migongoni!
 
Hizo story kila Mtu anaweza kuzitengeza hata mimi naweza kukutungia Mambo kibao kuhusu Nchi yangu za TZ nikasema ilikuwa Super power...wakati wa Mafarao huko Misri.. tunaishi sasa hivi hatuishi Miaka 700 iliyopita...

Ndio sijawahi kuona kitu made in Uingereza lkn nimeona Made in Ufaransa, Made in Marekani, Made in Ujapani, Made in Ujerumani, Kanada, Korea nk lkn sijawahi kuona made in Uingereza ukiachilia mbali mavunja migongo maland rover...

Mafanikio kwenye Kombe la Dunia ni ishara tosha kwamba Nchi iko njema... haiwezekani usishinde mechi hata moja halafu useme wewe uko vizuri hata Marekani ambayo soka sio kihivyo lkn wanasonga mbele angalia Ujapani wamo tu...

mbona india na china wako vizuri kuliko hata brazil lakin waneshindwa kushiriki world cup? mpira ni mchezo tu ata wewe unaweza cheza
 
Hawajashindwa Mchezo namba 1 wa India ni Kriketi na China ni mambo ya kung fu na karate, Wakati Uingereza mchezo wao ni Mpira wa miguu hivyo ina maana wamewekeza nguvu yote hapo, lkn bado hawajashinda mechi hata moja. Halafu isitoshe huwezi kulinganisha India na Brazili hata kwa nini, Brazili wako mbali sana Kiuchumi kupita hata Uchina kama ukichukulia pato la mtu kwa kichwa...
 
Huwa najiuliza sana kuhusu hii nchi iitwayo Uingereza, hivi waliwezaje kutawala nchi zote hizo hapa Duniani mbona wamechoka hivyo... Yaani zaidi ya lugha hakuna chochote kingine walichonacho hata Kiingereza chenyewe unaweza kusema ni shauri ya Marekani ndio maana wote leo hii tunataka kujifunza.

Embu angalia Kombela La Dunia wanaondoka kama waliivyokuja hawajashinda mechi hata moja, kweli wakati huo Dunia nzima ilikuwa imelala...Sasa wanaweza nini, Tangu nizaliwe sijawahi kukutana kitu kimeandikwa made in Uingereza ukiachilia Ma land rover ambayo hakuna mtu anataka...watu wana ma GXR8 Toyota

Mkuu kwa jinsi ninavyoelewa Muingereza aliwah kufanya vizuri ktk uchumi wa dunia kabla ya vita vya kwanza vya dunia, lakn ktk vugu vugu la utaifa baran ulaya yaliweza kutokea mataifa mengne km vile Germany hvyo kumpa mwngereza ushndan mkubwa ktk medani za kiuchumi.! Lakin ukiachilia mbali vita, ukiritimba wa mwingereza na kutoendele. Kuwekeza zaid ktk sayansi na teknolojia ndicho kimechangia mwingereza akapigwa gap.
 
Hizo story kila Mtu anaweza kuzitengeza hata mimi naweza kukutungia Mambo kibao kuhusu Nchi yangu za TZ nikasema ilikuwa Super power...wakati wa Mafarao huko Misri.. tunaishi sasa hivi hatuishi Miaka 700 iliyopita...

Ndio sijawahi kuona kitu made in Uingereza lkn nimeona Made in Ufaransa, Made in Marekani, Made in Ujapani, Made in Ujerumani, Kanada, Korea nk lkn sijawahi kuona made in Uingereza ukiachilia mbali mavunja migongo maland rover...

Mafanikio kwenye Kombe la Dunia ni ishara tosha kwamba Nchi iko njema... haiwezekani usishinde mechi hata moja halafu useme wewe uko vizuri hata Marekani ambayo soka sio kihivyo lkn wanasonga mbele angalia Ujapani wamo tu...

Unapotea sasa..mpira na u'super power unavilinganshaje? kwahyo brazil ni zaid ya uingereza! tumia common sense mkuu' pia alichokwambia mkuu Mlaleo kiko sawa kabsa bas2 cjui unapnga nn!

Argue don' shout!

Sent from my iPhone4 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hawajashindwa Mchezo namba 1 wa India ni Kriketi na China ni mambo ya kung fu na karate, Wakati Uingereza mchezo wao ni Mpira wa miguu hivyo ina maana wamewekeza nguvu yote hapo, lkn bado hawajashinda mechi hata moja. Halafu isitoshe huwezi kulinganisha India na Brazili hata kwa nini, Brazili wako mbali sana Kiuchumi kupita hata Uchina kama ukichukulia pato la mtu kwa kichwa...

Kwenye G10 brazil haipo ila china na india zipo..inamana wamezngatia vgezo gan?

Naomba msaada wako mwanauchumi

Sent from my iPhone4 using JamiiForums
 
Kaka Kichuguu, RR waliuza kwa BMW na Jaguar na Land Rover wakamuuzia TATA (Mhindi).

Ila ni kweli Engine za ndege za RR bado ni Made in UK na ndiyo zinazotumika kwenye MAPIPA makubwa kama Airbus A380 au Boeng 747 nk. Ila labda kumkubusha Bibie Kijakazi kuwa, hili gari niliwazalo sana, ni Made in Britain.....

Samuel Etoo na Aston Martin lake, zimetokea mara nyingi kwenye Film ya James Bond.....
aston_martin_one_77_samuel_eto.2i4c853cfyg40wkockg0kk8oc.a5fuq7lrqzkgc0ccw4ss08gso.th.jpeg

Prince William na Mkewe, waliazima Aston Martin ya baba na kutesa nayo JUST MARRIED.
340558-royal-wedding-aston-martin.jpg

(4) Kama hujui kuwa uingereza inatengeza vitu basi ni kwa sababu umezowea vitu vya ubora wa chini na bei nafuu vinavyotokea nchi za Asia. Uingereza, Ufaransa na Ujerumani ndiyo mataifa yanayojulikana kwa kutengeneza vitu vya ubora wa hali ya juu duniani. Injini kubwa za ndege za airbus na baadhi ya ndege za boeing hutengezwa na rolls royce ya uingereza; ndege kasi za Concorde zilitengezwa na ushirikiana baina ya Uingereza na Ufaransa; magari ya kifahari ya jaguar, rolls royce na range rover na kama ulikuwa hujui, ile rada ya kimataifa ya BAE iliyosababisha tuibiwe pesa na wajanja, vyote vinatoka uingereza.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye G10 brazil haipo ila china na india zipo..inamana wamezngatia vgezo gan?

Naomba msaada wako mwanauchumi

Sent from my iPhone4 using JamiiForums

Aliyekwambia Brazili haimo G 10 ni nani? Kwa taarifa yako Brazili ni nchi ya 7 yenye Uchumi mkubwa Duniani na imeizidi Uingereza na isitoshe ukubwa wa Uchumi siyo ishu bali ishu ni pato la kwa kichwa (GDP per capita) ambao uki google utaona kwamba Brazili wana $12 000 za kimarekani kwa kichwa wakati India wana Dola za kimarekani $4000 na Uchina wana dola za Kimarekani $6000 hivyo pato la mwananchi wa Brazili ni mara mbili la pato la Mchina na mara tatu ya pato la muhindi!

Kila kitu kipo wazi google tu Nchi zote tatu uone mwenyewe!

Na hilo "pato la kwa kichwa" kwa Uingereza ni dola ngapi?

Na impact ya kiutamaduni na kisheria ya Uingereza unaifahamu?
 
Pato la Uingereza kwa kichwa ni dola za kimarekani $ 37 000 ambazo ni ndogo sana ukichukulia Nchi ambayo ilitawala karibu 1/4 ya Dunia wakati kuna nchi kibao hazikuwa na Koloni hata moja kama Korea Kusini zimeshagota Dola za kimarekani 30 000 na zinakuwa... Na hapo Waingereza bado wanaiba Rasilimali za makoloni yao kwa bei kutupa lkn bado majanga tu, Je wangekuwa hawana kitu pa kuiba kama akina Taiwani, Korea &Co. sio ndio wangekula barafu? na hapo bado Waskotlandi hawajaaamua kujitenga wakijitenga hao, hiyo takataka kwishney...
 
Back
Top Bottom