We una miaka mingapi mkuu?😅😅😅Mimi kuna rafiki yangu ameniomba nimkopeshe pesa lkn kwa kutambua atasumbua kunilipa niliamua ni muahid ntampa. Ilipofika siku nikakataa kumpa aisee huwezi amini amenichukia adi sasa ivi. Imekua km ni ma adui ss. Wakati alikua rafiki yangu wa karib kbs.
Au nlikosea ndugu zangu?
Tumuachie Yesu tu atatendaNimeona hii post roho ikaniuma sana jamani mie nimedhulumiwa pesa ndefu mno na rafiki jamani,ameishia kuniblock kabsa,sasa sijui watu kama hawa tunadeal nao vipi!
Sawa.Tumuachie Yesu tu atatenda
BAK hii haina uhusiano na mapenzi kabisa..!!
Nimejifunza roho mbaya kwasababu ya watu wasio waaminifu kwenye kulipa madeni mtu anakuja mikono nyuma na shida ilhali anajua kabisa na wewe upo juu ya mawe unajitolea kumdhamini kwa mtu akipewa hela kurudisha majanga anakuachia msala. Nitasaidia ndugu yangu wa damu ambaye najua hata nikifulia hanitupi au mpita njia najua nakua nimetoa sadaka ila rafiki sisaidii asilani bora urafiki uishe. E, S, N mlichonifanya kunibebesha madeni ya mamilioni ya shilingi na kuniacha nilipe nimewasamehe ila sitakuja kuwasahau na mmenifundisha kitu.
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Nguvu ya Carleen imemshinda BAKAngalia hii para 1 ulivyoandika:
ukweli hili suala limenifika shingoni, kadri muda unavyozidi kwenda naona khali inazidi kuwa mbaya, na hii tabia inazidi kuota mizizi mno, yaani sahii ukitaka uwe na uadui na mtu wako yeyote yule wa karibu wala hata usitumie nguvu kubwa, wewe ihusishe tu PESA.
Mtu wa karibu anaweza pia kuwa mpenzi. Au nasema uongo Carleen? 😂😂😂
Hiyo iliyodondokea kwenye mchuz ndo anza nayo mkuuHahahaha poleni Sana sameheni madeni yenu Mimi niliamua kusamehe wote ninaowadai na hawanilipi
Sasa hivi hela sikupi hata uwe mpenzi wangu..nafuu Nile
Acha tu niwe na roho mbaya niwe mbinafsi maninaView attachment 1794593View attachment 1794595
Nowdays umekua umeacha ujinga...ila nitumie namba yako pm nikupe hata ela ya sodathank you cha uchokozi,
Navyokwambia mpaka leo hii tunapigiana simu kama kuna tatizo la kifamilia tu ambalo ni lazima kama ndugu kujulishana! Sasa ilipopita tarehe 30 sasa alipotaka kwenda kulipa ada benk akanipigia kunikumbusha nikamwambi tu mwezi huu mambo yamekua mengi dada nimekwama kidogo weeeee alilalamika mpaka. Makusudi tu nikamkumbusha ileee nilomkopeaga kalipa kidogo akamute ikanicost kuimalizia mimi mwenyewe afu ilikua nyingi sasa weeee aliongeeaa aliongeaaa wewe umeninyea wewe nimefua mikojo yako jamani!!!Pole mahondaw ila nimecheka huko mbele ulivyomuwahi pia..!
👍Kitu maisha yamenifunza ni kuwa siyo lazima yakutreat vizuri hata kama wewe ni mtu mzuri.! Ila pia usiache kuwa mwema sababu ya tabia mbovu za wengine..!! Be good always Fohadi..!!
Basi kama ni kweli, you are one in a million.Ninashukuru Mungu huwa nina roho ya kisultani Son of Gamba..!!
Pole saana, mwachie ili upate amani, tena msamehe tu.Nimeona hii post roho ikaniuma sana jamani mie nimedhulumiwa pesa ndefu mno na rafiki jamani,ameishia kuniblock kabsa,sasa sijui watu kama hawa tunadeal nao vipi!
Umesomeka Mura,Ila kwenye roho mbaya kuliko kote Ni taasisi pendwa mnazoziskia,huko Kuna maajabu,huwezi amini kuwa hao ni wasomi pendwa na wenye distinction kibao,hao watu Ni hatari kwa nchi.Afrika ina laana,ndo maana wachina hawataki kitu kinaitwa chotara,mzungu,yeye na blood line yake pekeeHahahaha poleni Sana sameheni madeni yenu Mimi niliamua kusamehe wote ninaowadai na hawanilipi
Sasa hivi hela sikupi hata uwe mpenzi wangu..nafuu Nile
Acha tu niwe na roho mbaya niwe mbinafsi maninaView attachment 1794593View attachment 1794595
Wahasibu wa nchi hii pamoja serikali yetu,wanatakiwa washtakiwe,ni watu wako kama allien.Mnaambiwa mlime soko hawaonyeshi,wadhabuni mkiona wanaumwa jua wazi wametapeliwa na mfumoPole saana, mwachie ili upate amani, tena msamehe tu.
watu wa hivyo nahisi huwa wana roho flan mbaya, afu wao wanajiona ndo wajanja, wabinafsi sana.
Huwa hawaumii wala hawawazi juu ya Hilo.., we ndo unawaza.