Hivi tunaingia kwenye ndoa ili iweje?

Hivi tunaingia kwenye ndoa ili iweje?

kama ni sex sio lazima kivile katika maisha,kuwa na familia pia ni muhimu lakini sio lazima.
so ya nini kuishi na jitu ambalo lenyewe litataka kuwa liboss lako,yani nilipikie,nilifulie,nilizalie na bado nikizingua linidunde makofi wakati hata baba angu hajawahi kunipiga makofi nikimzingua,mbaya zaidi unakuta jitu umelizidi kuanzia kipato mpaka ujanja wa kutafuta pesa,
so kwangu mimi sioni umuhimu wa kugandana sijui mpaka kifo kitutenganishe na upuuzi mwingine unaofanana na huo.
Dogo unaonekana umeshachezea za uso liSanii limekuingiza mitini na kukukula papu chiii sasa umeamua kuExplode hapa Jf
Haya kila rakheli binti chura
 
Nenda na Mipesa yako kanunue MIDOLI (Sex toyz) ujimalizie haja yako..!

Kwanza kupika kwenyewe hujui...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] [emoji115]
 
wewe huwa unakazwa mara ngapi kwa siku?
Mara moja tu vyuma vya magu! ILA FUATA USHAURI TAFUTA WA KUKUKAZA SIO UNATAFUTA KIKI J.FORUMS i think upo above 30 so endelea kuomba tu utapata.
 
Unayoyasema yana ukweli mchungu sema ukichukulia ni Majukumu yako Kama kula na kwenda chooni haiwezi kuwa kero,, japo kushushiwa kipigo sikubaliani nalo ntakulaza lockup especially tukiwa na ndoa [emoji23] Kama hatuna nakupitisha [emoji117] na utashughulikiwa kwa njia mbadala
 
Nadhani taasisi ya ndoa ni pana mno na ni zaidi ya sex...walio ingia watakua na maelezo zaidi.Suala la ndoa ni bahati sio kila mja ataoa na kuolewa.Ukiona haikufai unakaa pembeni tu ila upweke ukikukung'uta ndo utajua maana halisi ya ndoa nadhani.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji4]
 
Kama ni sex sio lazima kivile katika maisha, kuwa na familia pia ni muhimu lakini sio lazima.

So ya nini kuishi na jitu ambalo lenyewe litataka kuwa liboss lako,yaani nilipikie, nilifulie, nilizalie na bado nikizingua linidunde makofi wakati hata baba angu hajawahi kunipiga makofi nikimzingua, mbaya zaidi unakuta jitu umelizidi kuanzia kipato mpaka ujanja wa kutafuta pesa,

So kwangu mimi sioni umuhimu wa kugandana sijui mpaka kifo kitutenganishe na upuuzi mwingine unaofanana na huo.
Unatujaribu eeh?
 
Laiti mama yako mzazi angekuwa na mawazo kama yako, sidhan kama ungekuwepo leo. Watoto wa kishua ndio nyie. Usister du mpaka kwenye masuala muhim. Inaonyesha umri wako bado mdogo au hujaelewa maana ya ndoa.

umri ukifika wewe mwenyewe utaanza kukimbizana kwenye nyumba za ibada ukiomba Mungu akupe mume.
 
Kama ni sex sio lazima kivile katika maisha, kuwa na familia pia ni muhimu lakini sio lazima.

So ya nini kuishi na jitu ambalo lenyewe litataka kuwa liboss lako,yaani nilipikie, nilifulie, nilizalie na bado nikizingua linidunde makofi wakati hata baba angu hajawahi kunipiga makofi nikimzingua, mbaya zaidi unakuta jitu umelizidi kuanzia kipato mpaka ujanja wa kutafuta pesa,

So kwangu mimi sioni umuhimu wa kugandana sijui mpaka kifo kitutenganishe na upuuzi mwingine unaofanana na huo.
Bad Image, sio ndoa zote duniani zinafanana na ndoa za huko kwenu Tarime.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom