Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,082
- 2,358
Kama ni sex sio lazima kivile katika maisha, kuwa na familia pia ni muhimu lakini sio lazima.
So ya nini kuishi na jitu ambalo lenyewe litataka kuwa liboss lako,yaani nilipikie, nilifulie, nilizalie na bado nikizingua linidunde makofi wakati hata baba angu hajawahi kunipiga makofi nikimzingua, mbaya zaidi unakuta jitu umelizidi kuanzia kipato mpaka ujanja wa kutafuta pesa,
So kwangu mimi sioni umuhimu wa kugandana sijui mpaka kifo kitutenganishe na upuuzi mwingine unaofanana na huo.