Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,562
- 3,559
Poleni na Majukumu wana JF wote, zaidi wale mashabiki wa jukwaa la Jamii intelligence.
Nilipenda kutupia UZI (thread) huu katika jukwaa la Great thinkers, kwa imani kule wapo Wasomi, Wazee wenye busara na hekima, na baadhi Wadadisi ama wajuzi wa mambo.
Kwa bahati mbaya/nzuri, wengi mnaelewa taratibu za kuanzisha UZI katika jukwaa hilo...!
Naanza kwa kujiuliza/kuuliza maswali haya kama ifuatavyo:-
Hivi ni kwa nini...!? Jamii yetu (hii ni kila kona Ulimwenguni) imetawaliwa na maneno haya mawili..
(1) Chini ya Kapeti (Zuria).
(2) Nyuma ya Pazia.
Swali ni je..!? Kwanini Binaadamu tumesahau kutoa Pongezi , kutungia Mashairi mazuri, kuandika vitabu, kutoa sifa (kuu) kuelezea/kuzungumzia UBAO (Blackboard) kama Nyezo muhimu na hazina, katika kuyabadirisha Maisha ya Binaadamu, na Ulimwengu wake kwa Ujumla.
Naweza kusema Baada ya Mungu, ulifuatia Ubao (si Mzungu kama wahuni wengi wanavyo sema).
Nareje Mafundisho kutoka katika Qur'an (halisi), tunafundishwa kuwa, baada ya Mungu kuwaumba Malaika na Baba yetu Adam (a.s.w)
Inasemekana waliona UBAO uliandikwa jina la Mtume Muhammad (s.a.w) na wakamuuliza Muumba juu ya Ubao huo..
Nisizame sana, naamini kwa atakae taka kujua zaidi, anaweza kuwatafuta Waalimu wa Elimu/Dini hii.
Tunaambiwa pia, katika kitabu alicho pewa Babu yetu, Nabii Musa (a.s.w.) zile Amri alizo elekezwa, zilikuwa zimeandikwa katika kipande cha Ubao.
Swali lingine, ni kwanini...!?
Waalimu, Wanafunzi, Profesa, Wanazuoni n.k...wanashindwa kueleza SIRI NYUMA YA UBAO.
Ambapo/ambao leo hii, ndio chanzo cha Mabadiriko, Kisiasa, Kiuchumi, Sayansi na teknoloji na kila kitu ambacho ndio Amani, Vita, Chuki, Upendo, Maradhi, Afya, (viko vingi na kila mmoja anaweza kutaja)
NB: Mada ingependeza kama tukipata "KAPSHEN" mbali mbali za Watu (Waalimu/Wanafunzi) wakiwa katika Ubao.
Naomba kuwasilisha Mada.
Karibuni tujadiri.
Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app