Kuna shida mahali na pa kuanzia ni kwa Mkuu wa chuoMkuu km unajua hatua za kufuata ili ipatikane elezea maana hapo ndio panaleta utata wapi pa kuanzia?
Mwanafunzi hana tatizo maana alipoenda wamecheck mbele ya msajiri km mwanafunzi ana tatizo wakasema mwanafunzi hana tatizo lolote Ila sasa transcript kutoa na kumpa ndio inakua ngumu maana ipo ndani ya laptop inaonekana na mara zote amekua akienda anaonyeshwa transcript yako ipo hii hapa Ila kuiprint ili apewe ndio anazungushwa achukue hatua zipi ili aweze kupatiwa? Sio Chuo Cha kata ni Chuo cha Serikali
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app