Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,049
- 7,489
Kama Umbea na Upashkuna ingekuwa ni michezo, basi mngekuwa mnapokelewa kwa ndelemo na vifijo kila mwaka airport mkiwa na kombe lenu la dunia la mambo hayo...
Sasa wewe ni mkenya au ni mvulana unayebeba box kwa hiyo unajisikia sio mtanzania tena?