Hivi Tanzania tunaweza mchezo gani?

I've been around Africa, and I have contacts abroad, and I read alot on the web. I can say Tanzanians ni wazuri kwa NGONO. Fuatilia sehemu mbalimbali Afrika, Ulaya, Amerika, Asia na mahali kwingine duniani utagundua jinsi akina dada zetu wa Kitanzania wanavyosifika na kujishughulisha zaidi around NGONO na mambo na mazao yanayoendana nayo. Laba ndio jambo ambalo tumebarikiwa zaidi kwenye sayari hii.
Louis, Dar
 
tunaweza mambo haya,

1-majungu
2-umbea
3-uongo
4-uzushi
5-ushabiki usio na maana
6-ujuaji
 
Sisi kwenye michezo kwa kweli ni wasindikizaji. pengine tungejaribu kuupigia debe mchezo wa bao uwe wa kimataifa tunaweza kweili tutoka na huo lakin mingine sio siri ni wasindikizaji.
 
Imani za kishirikina na ushirikina wenyewe. USHIRIKINA BALL.

Umewahi sikia wapi watu wanawinda albino(binadamu wenzao) utafikiri nchi imekuwa game reserve ya albino,???? wapi timu zinaingia uwanjani kwa kuruka ukuta wakati basi walilokuja nalo linaingia tupu????? wapi mtoto amekutwa na kichwa cha mtoto mwenzake akikila???? wapi umesikia mtu anavaa suti huku kiunoni kuna hirizi inapumua????

Umesikia wapi wabunge wanamwaga unga kwa imani za kishirikina bungeni kwenye viti vya wabunge wenzao?

Umewahi sikia wapi Rais badala ya kuchaguliwa kwa ridhaa ya wananchi....anajitokeza mganga mmoja wa kinajimu na kuamua nani awe Rais....na kutangaza kuwa atakayempinga ATAKUFA????HALAFU IKULU INATETEA HUO UNAJIMU.???!!!!!

Wapi umesikia watoto wa shule za msingi wanaanguka anguka na mwalimu mkuu anaita waganga waje wapunge mapepo au walokole wafukuze mapepo??????

Umesikia wapi inapofika wakati wa uchaguzi mji fulani unatembelewa kwa wingi na wanasiasa(mfano bagamoyo) kwa ajili ya kujiimarisha kishirikina??????

Umesikia wapi Timu ya mpira kubwa kwenye nchi inakuwa na kamati ya ufundi(technical comittee) lakini ambayo ujuzi pekee walio nao ni ushirikina??????

BONGO KWA USHIRIKINA!!!!!!!!!!!!!! LOH!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Majuzi nilikuwa Angola baada ya CAN, wakaniuliza, hivi Tanzania favourite sport yenu ni nini? Nikashindwa kujibu. Ila kwa kuwa ni mwanaume nikajibu "lakini tunapenda mpira wa miguu"
Wakaniuliza tena, mbona hatukuwaona CAN?. Nusu niwaambie, tunacheza sana bao.
Sasa mnisaidie ninyi wenzangu, hivi favourite sport yetu ni nini?

kila kitu hatuwezi, sasa sielewi tatizo ni lishe utotoni au akili na viungo havina coordination? maana tukisema viongozi wabovu ina -maana miaka yote tangu uhuru hatujawahi kuwa na viongozi wowote wazuri?

Kuna jamaa ananinongoneza kuwa " tunaweza mchezo wa baba na mama" .ha ha ha

Tutabakia kuangalia kina Toure kwenye runinga tu - kugombea viti pale Rose garden kucheki mechi - miaka nenda miaka rudi.
 
I've been around Africa, and I have contacts abroad, and I read alot on the web. I can say Tanzanians ni wazuri kwa NGONO. Fuatilia sehemu mbalimbali Afrika, Ulaya, Amerika, Asia na mahali kwingine duniani utagundua jinsi akina dada zetu wa Kitanzania wanavyosifika na kujishughulisha zaidi around NGONO na mambo na mazao yanayoendana nayo. Laba ndio jambo ambalo tumebarikiwa zaidi kwenye sayari hii.
Louis, Dar
Kichwat,

Ni sehemu gani ya Afrika uliyopita ambayo hawajui ngono? Kujua ngono si kukatika pekee, hata kuthubutu kufanya kiholela holela ni kulekule tu!
 
Majuzi nilikuwa Angola baada ya CAN, wakaniuliza, hivi Tanzania favourite sport yenu ni nini? Nikashindwa kujibu. Ila kwa kuwa ni mwanaume nikajibu "lakini tunapenda mpira wa miguu"
Wakaniuliza tena, mbona hatukuwaona CAN?. Nusu niwaambie, tunacheza sana bao.
Sasa mnisaidie ninyi wenzangu, hivi favourite sport yetu ni nini?
Baada ya swali lao, jibu lako lilipaswa kuwa "tulitolewa katika hatua ya makundi" kwakuwa sio timu za Africa nzima zilifuzu.
Na kuhusu swali lako kwamba favourite sport yetu ninini hapa pia jibu ni rahisi, kwamba ni futbol ila mara nyingi maandalizi yetu ya timu ya taifa yamekaa kimzaha mzaha hivi na hata wachezaji bado hatujawa na wachezaji wengi ambao ni proffessionals ambao ndio huzifanya timu zote za mataifa ya dunia kuwa na kiwangao bora kwa mashindano ya kimataifa.

Naamini pamoja na ubovu tulionao ungeongeza uzalendo kidogo ingesaidia kujenga image ya utaifa ulionao kwa nchi yako. Baba yako hawezi kusemwa vibaya na watu wanaokuheshimu mbele yako na wakategemea kwamba utawakalia kimya.
 
...Hii kali,

Yaani ulitaka nijipake mafuta kwa mgongo wa chupa? Ishu inabaki palepale, hao waliofuzu wana nini?

Pia hata nao walijua sio timu zote za Africa zilizofuzu; so what?
 
Ningekuwa mi ningewajibu kuwa tunapenda sana soccer na suala la kutoenda Angola ni sawa tu na vile kwanini wao hawataenda South Africa from june 11 to July 11.
 
Kama Umbea na Upashkuna ingekuwa ni michezo, basi mngekuwa mnapokelewa kwa ndelemo na vifijo kila mwaka airport mkiwa na kombe lenu la dunia la mambo hayo...
 
tehe tehe tehe,
jipeni moyo wabongo..
hii ndio inaitwa ari mpya,kasi mpya, nguvu mpya, nini nini mpya, na chochote unachokijua mpya....!!
fungeni mikanda, ndege yenu ndio inakaribia kupaa, na ukizingatia serikali yenu hailali, inafanya kazi mchana na usiku...!
ipo siku mtabemba ndoo (kombe la dunia) na kulileta tff hapo karume...kwani serikali yenu inafanya kazi mchana na usiku, hailali kwa hilo
 
Ningekuwa mi ningewajibu kuwa tunapenda sana soccer na suala la kutoenda Angola ni sawa tu na vile kwanini wao hawataenda South Africa from june 11 to July 11.
...soka bila matokeo mazuri ni soka gani hilo? Kumbuka walipouliza hivi walikuwa informed pia, kwani hata yale mashindano yaliyopita ya Ghana hawakutuona pia!
 
Mkuu asante kwa ujasiri wako, maana yake watu wamezunguukaaaa - wanaogopa kukataja ka mchezo ketu tunakokapenda.

He heh he he! Kumbe na wewe unajua hilo basi mimi na wewe tunapenda hilo na wengine!!!
Gwe gwe gwe!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom