Kibali gani, kwani farasi ni wanyama pori Hadi ukatafute kibali?Hivi mtu akitaka kufuga farasi anahitaji kibali au tu unafuga tu kama unavyofuga mbuzi?
Nimeuliza mkuu, hivi unajua ukichinja ng'ombe ukamchuna ngozi ukataka kuisafirisha mpaka upate kibali wizara ya mifugo, hivi unajua ukichukua kipande cha mti ukachonga kinyago ukitaka kukisafirisha nje mpakaa uchukue kibaki maliasili?Kibali gani, kwani farasi ni wanyama pori Hadi ukatafute kibali?
Mazao yeyote ya msitu na yasiyokuwa ya msitu, ulitaka kuyauza nje sharti upate kibali. Wewe umeuliza kufuga farasi sio kuuza ngozi yake au nyama yake nje ya nchi. Sasa Kama kufuga kwako kutahitaji farasi uwatoe nje ya nchi, hapo kumbuka utahitaji kibali kuwaingiza. Hii ni pamoja na certificate of health kudhibiti vimelea vya magonjwa toka nchi moja kuja hapa. Kufuga unataka kibali gani? Mbona watu wamefuga punda Kule singida Wana vibali?Nimeuliza mkuu, hivi unajua ukichinja ng'ombe ukamchuna ngozi ukataka kuisafirisha mpaka upate kibali wizara ya mifugo, hivi unajua ukichukua kipande cha mti ukachonga kinyago ukitaka kukisafirisha nje mpakaa uchukue kibaki maliasili?
Hivyo nidyo maana nimeuliza maana nchi hii ina vibali vingi mkui
😂😂😂😂😂Farasi mwenyewe anauzwa sh ngapi na lazima ufuge pacha ?
Hivi ,farasi jike akipandwa na dume la ngombe kitazaliwa kitu gani?
ng'orasiFarasi mwenyewe anauzwa sh ngapi na lazima ufuge pacha ?
Hivi ,farasi jike akipandwa na dume la ngombe kitazaliwa kitu gani?
Farasi ni Wild animal?Ndiyo kinahitajika.
Sheria inataka hata kanga kufugwa anahitaji kibali sema watu wanapuuzia tu.
Huhitaji kibali, Tena Nafaka njoo nikupeleke wanakouzwa unilipe changu tuachaneHivi mtu akitaka kufuga farasi anahitaji kibali au tu unafuga tu kama unavyofuga mbuzi?