kwa hiyo na mimi nikikuuliza mama yako amelaaniwa? au wewe ni m@#s$%nge? utajisikiaje uwe na heshima unapoandika, Tanzania ni nchi ina watu zaidi ya milioni arobaini kusema imelaaniwa ni ukosefu wa akili
Naangalia mahojiano kati ya kijana mmoja yuko LONDON na SHAFII DAUDA katika kipindi cha SPORTS BAR YA CLOUDS TV kupitia skype.
Huyu kijana ni mtanzania alikuwa anacheza mpira na ameshiriki COPA COCA COLA. baadae akaamua kutafuta timu nje ya nchi. akafanikiwa kupata trio UK. Sasa akaenda wizara ya mambo ya ndani apate passport ili asafiri,immigration wakakataa na kumwambia sio mtanzani.
Akaenda TFF na kuwaomba wamsaidie kupata passport na akawaambia kuwa waangalie kumbukumbu zao alizxoshiriki COPA COCA COLA wakamwambia hawawezi,basi huyu kijana kwa sababu alisoma uganda akarudi kule na kuwaambia ukweli kuwa ni mtanzania ila wamemnyima fursa. WAGANDA WAKAMPA PASSPORT NA SASA HIVI ANACHEZEA WEST HAM YOUTH TEAM KAMA MGANDA NA AMEAPA HATA CHEZEA TANZANIA TENA,na mimi simlaumu.
kwahio wanaweza kuruhusu mtu ambae si mtanzania kuiwakilisha tanzania lakini akitaka kusafiri ndio unamwambia wewe sikutambui kama mtanzania.
hebu soma post ya Jaslaws hapo juu ndio utawajua uhamiaji vizuri. huyo dogo angekuwa na hela leo hii angekuwa na passport ya tanzania. kuna wakenya/wahindi/wapakistani kibao wana hizo passport bila kutimiza vigezo.
Huyu kijana alikuwa anaiwakilisha Tanzania wapi? Na wakati akiiwakilisha Tanzania alikuwa anasafiri kwa passport ipi? Naogopa kuwalaumu uhamiaji bila kupata kusikia version yao ya sababu za kumnyima huyu kijana passport.
Tiba
Mimi pia ni muhanga wa hili..nlisoma uganda kma miaka kumi na moja hivi ila kwa mda wote nlikua natumia pasport ya tz sasa nlivofka form 2 ilinibidi nirudi kusoma tz matatizo yalianza hapa ..ilitokea twende tour ya kidini ujeruman kwenda uamiaji walikataa kabsa kunitambua na pasport yangu.safar ilikufa nkabaki naangaika na uraia wangu..hyo mambo ypo na yanaudhi sana.
Huyu kijana alikuwa anaiwakilisha Tanzania wapi? Na wakati akiiwakilisha Tanzania alikuwa anasafiri kwa passport ipi? Naogopa kuwalaumu uhamiaji bila kupata kusikia version yao ya sababu za kumnyima huyu kijana passport.
Tiba
Umesema kweli: ni vizuri kupima mambo:
alienda kuomba passport; je alipeleka cheti cha kuzaliwa?
Je, alikuwa na data zozote za kuthibitisha kwamba amezaliwa TZ?
ukiwa na data na unajua historia yako kwa nini unyimwe passport?
:nod:
Hapa kuna maswali mengi yanakosa jawabu. 1. Uingereza waliwasiliana naye vipi kabla ya kumwona hata watake kumjaribu? 2. Alikuwa na utambulisho, uthibitisho wowote kutoka Uingereza kwamba anahitajika kwa majaribio? 3. Baina ya Tanzania ambayo kwa faida ya mtoa hoja imemnyima raia wake pasi ya kusafiria na Uganda iliyopora raia wetu kwa tamaa ya umaarufu kisoka, ipi inapaswa kuambiwa imelaaniwa? 4. Kwa raia chini ya miaka 18 kama huyu, Hati ya kusafiria itatokaje bila ya idhini ya wazazi wake? Au nao wamekula njama naye 'kujiripua'? 5. Kabla ya kuwasilisha uzi huu jamvini, mtoa hoja alijiridhishaje na usahihi wa kauli ya mlalamikaji? Aliwahi kuwahoji Uhamiaji, TFF, wazazi wa huyo kijana ili apate upande wa pili wa swala lenyewe?
nadhani kabla ya kuishuku Tanzania, kulipaswa kujibiwa kwanza maswali haya na kama haya.
Ndugu yangu tunaweza tukawa tunawabebesha uhamiaji mzigo wa lawama bure kumbe mwombaji passport ndiye aliyekuwa na matatizo. Sioni ni kwanini uhamiaji wakunyime passport kama umetimiza vigezo vyote vinavyotakiwa. Suala la rushwa ni kweli lipo lakini wanadai rushwa kwa wenye haraka au wasiokuwa na sifa na hivyo wanataka wapewe favor, otherwise unaweza kuanza hatua ya kwanza mpaka mwisho bila kutoa hata senti tano ya rushwa endapo mambo yako yote yako sawa na hauna haraka.
Tiba
Naangalia mahojiano kati ya kijana mmoja yuko LONDON na SHAFII DAUDA katika kipindi cha SPORTS BAR YA CLOUDS TV kupitia skype.
Huyu kijana ni mtanzania alikuwa anacheza mpira na ameshiriki COPA COCA COLA. baadae akaamua kutafuta timu nje ya nchi. akafanikiwa kupata trio UK. Sasa akaenda wizara ya mambo ya ndani apate passport ili asafiri,immigration wakakataa na kumwambia sio mtanzani.
Akaenda TFF na kuwaomba wamsaidie kupata passport na akawaambia kuwa waangalie kumbukumbu zao alizxoshiriki COPA COCA COLA wakamwambia hawawezi,basi huyu kijana kwa sababu alisoma uganda akarudi kule na kuwaambia ukweli kuwa ni mtanzania ila wamemnyima fursa. WAGANDA WAKAMPA PASSPORT NA SASA HIVI ANACHEZEA WEST HAM YOUTH TEAM KAMA MGANDA NA AMEAPA HATA CHEZEA TANZANIA TENA,na mimi simlaumu.
Naangalia mahojiano kati ya kijana mmoja yuko LONDON na SHAFII DAUDA katika kipindi cha SPORTS BAR YA CLOUDS TV kupitia skype.
Huyu kijana ni mtanzania alikuwa anacheza mpira na ameshiriki COPA COCA COLA. baadae akaamua kutafuta timu nje ya nchi. akafanikiwa kupata trio UK. Sasa akaenda wizara ya mambo ya ndani apate passport ili asafiri,immigration wakakataa na kumwambia sio mtanzani.
Akaenda TFF na kuwaomba wamsaidie kupata passport na akawaambia kuwa waangalie kumbukumbu zao alizxoshiriki COPA COCA COLA wakamwambia hawawezi,basi huyu kijana kwa sababu alisoma uganda akarudi kule na kuwaambia ukweli kuwa ni mtanzania ila wamemnyima fursa. WAGANDA WAKAMPA PASSPORT NA SASA HIVI ANACHEZEA WEST HAM YOUTH TEAM KAMA MGANDA NA AMEAPA HATA CHEZEA TANZANIA TENA,na mimi simlaumu.
alienda wapi???uganda?? kwa east africa unatumia passport za muda hazina issue.