Hivi Tanzania Imelaaniwa?????

Hivi Tanzania Imelaaniwa?????

1.e mails/mtandaoni
2.kwa maelezo yake alikuwa na vithibitisho
3.inategemea utachukuliaje...kwangu mimi mwenye laana ni anaetupa mwanae sio anaemuokota na kumu-adopt
4.hamna sehemu nimesema ana under 18[anachezea under 21]
5.hii habari nimemsikia kijana huyu akihojiwa live kwenye tv kupitia skype....sina muda wa kwenda uhamiaji,tff....wao wakanushe maanake ilikuwa live kwenye kituo cha tv

unajua hata mimi nilipata passport yangu within a week bila kutoa hata sumni lakini hilo halinifanyi kuamini kuwa kila mtu anapata passport kirahisi. unaweza ukawa na kila kitu lakini kwa ukosefu wako wa information hawa jamaa wakaamua kukuyumbisha na kama huna back up[hela??] inakula kwako.
Niwajuavyo Waingereza, naamini hata uwajuavyo wewe, siamini kama Taasisi yoyote ya Uingereza inaweza kuji-commit kumwalika kijana kwenda kufanya majaribio kwa uzito wa mawasiliano ya mtandaoni tu. Ikonamna hapa. Na kama unavyohisi hukuwa na haja ya juwahoji hao wengine, Uhamiaji nao wana haki ya kutohisi haja ya kukanusha habari wanazoamini kuwa si za kweli. Na ah! Kuakisi (ku-adapt) si kutoa Pasi ya kusafiria pekee. Uganda wanaweza kumpa Pasi mpya kijana huyo, lakini haiwezi kufuta historia na uhalisia wa uraia wa kijana huyo kwa Tanzania. Labda iwe alipitia tar tibu zote za kuomba uraia wa Uganda, ambalo sidhani kama lilfanyika ndani ya muda huo mfupi uliotajwa kuwa aliutumia kupewa hiyo pasi.
 
mawasiliano yanaanzia mtandaoni then process nyingine zinafuata kama kutuma evidence, kuletewa barua ambayo itakuwezesha kwenda huko,kuhusu kupewa ueaia au kufuta uraia haina uzito muhimu ni kuwa ana pasi ya uganda anawakilisha uganda.
 
Kuna passport za EA na za muda za karatasi moja tu. Kijana alitaka passport ya kijani, uhamiaji hawakumpa, nafikiri TIBA utakuwa umenielewa.
 
Mimi nachoweza kusema ni kwamba Mwenyezi Mungu ampatie huyu mchezaji kama haja ya Moyo wake.

Huyu ni mfano kwa wachezaji wengine waliopo timu kubwa ambazo ziko madaraja ya juu wanaokatishwa tamaa na wadau wanaotakiwa kusimamia soka letu hususani viongozi.
 
Nina wasiwasi tunapoteza muda kwa kujadili watu wa 'Kufikirika' ya Shaaban Robert!
 
nimemsikiliza kwa makini huyu dogo. kwanza walimzingua morogoro akaenda dom akakipiga copa cocacola kupitia mkoa wa Dodoma. Mimi nimekubaliana naye lakini kwa uchungu aliposema hana mpango wa kuichezea tanzania hata akija kupata nafasi ya kuitwa kwani alichofanyiwa hataweza kukisahau. Ilinisikitisha sana kwa kweli halafu TFF wakawa wanadai wako kwa ajili ya kutengeneza soka la TZ. THIS IS A SHAME

Pale TFF kuna wahuni tu hakuna wa kutengeneza soccer...!
 
Mbona hatuongelei vijana wa mitaani walivyoitoa Tanzania AIBU YA KUWA KICHWA CHA MWENDA wazimu?Hatukufurahia huu ushindi?
 
Back
Top Bottom