MUREFU
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,331
- 353
kwakweli nilifikiri mimi tuu kuwa niliwahi kupata shida hiyo huko tanga maana kwakweli kama huku nunua kitu unachokitaka jion basi ndio ujue usubiri mpaka kesho saa nne na nusu. na khs hayo mazingira hamna kitu chochote hapo mimi ninaona wanajitetea na ukiangalia ndio maana wanakuwa wapo vyuma kimaendeleo wewe mji mpaka saa nne haujafunguliwa maduka. kazi yao kuzaana tuu