Hivi tanga hakuna wachaga?

Hivi tanga hakuna wachaga?

ndandawamalenja

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
548
Reaction score
664
Nimezunguka karibu mji mzima kutafuta mswaki maduka yamefungwa mpaka saa hizi? (mbili na nusu?) Huu mji wachaga hakuna au waliopo wavivu!! I can't imagine mchaga mvivu anakuwaje?
 
Nimezunguka karibu mji mzima kutafuta mswaki maduka yamefungwa mpaka saa hizi? (mbili na nusu?) Huu mji wachaga hakuna au waliopo wavivu!! I can't imagine mchaga mvivu anakuwaje?
 
Labda saa nne nne hivi ndo watafungua. Hawana haraka na maisha!
 
Nimezunguka karibu mji mzima kutafuta mswaki maduka yamefungwa mpaka saa hizi? (mbili na nusu?) Huu mji wachaga hakuna au waliopo wavivu!! I can't imagine mchaga mvivu anakuwaje?
wachaga tupo mkuu ila waswahili wametuaribu,imetubidi tuyakubali maisha yao,maaba ata ukifuungua duka apema akuna mnunuaji.
 
Kila jumamosi ni Kalembo Day (siku ya usafi) biashara haziruhusiwi kufunguliwa hadi kuanzia saa tatu ndiyo maana umekutana na kadhia hiyo. Ungetakiwa ufanye shopping jana jioni.
 
Suala siyo wachaga! Skiza nikupe hii, last year baadhi ya JF members tulikuwa kule 28.12.2012-30.12.2012, they arent active at all (upande wa biashara) wakati wa kuondoka PakaJimmy aliagiza taxi day b4 they came late tukapanda daladala instead!
 
Last edited by a moderator:
Nimezunguka karibu mji mzima kutafuta mswaki maduka yamefungwa mpaka saa hizi? (mbili na nusu?) Huu mji wachaga hakuna au waliopo wavivu!! I can't imagine mchaga mvivu anakuwaje?

Na wewe huna tofauti na waliochelewa kufungua maduka kwani ungekuwa makini ungekuja na mswaki Kutoka kwako Au umetoroka nyumbani kwako
 
...washaga tupo babaangu, ila hukuu masingira hayaruusu kufungua beeshara yako asubuu.....asuhi kweli.Nshoo badaae, mwatumu m'bado ananipapasa papasa...
 
wachaga tupo mkuu ila waswahili wametuaribu,imetubidi tuyakubali maisha yao,maaba ata ukifuungua duka apema akuna mnunuaji.

mmea haribiwa na na waarabu sio washwahii kutokana na tamaa zenu za utajiri wa haraka haraka. Na watawaharibu sana kwani huko nyuma hamkuwa hivyo. Hadi umeamua kukiri hadharani umeharibiwa!!Pole sana mengimeli
 
heee.............kumbe hadi tanga!!?mimi hii niliikuta unguja bana na nilishangaa sana mkuu,hadi saa tatu hakuna duka wazi.......nilienda ofisini bila kupiga mswaki ila breki ya chai ndo nikatafuta duka nikaswafi kinywa.waswahjili noma sana aisee!
 
Leo ni siku ya msaragambo kwa ajili ya kufanya usafi wa mazingira, siku kama ya leo huduma na maduka hufunguliwa saa 4:30 hadi 5 asubuhi kwa sisi wenyeji wa hapa huu ni utaratibu tulio zoea.

Usafi wa mazingira wa aina hii huwa kila jumamosi ya kwanza ya mwanzo wa mwezi, leo imekuwa maalumu kwa ajili ya kuazimisha sherehe ya Mapinduzi.
 
Aise nawapongeza wana Tanga kwa namna hii mnayofanya, hata hivyo nafikiri ni baada ya Manispaa kuto timiza majukumu yake ipasavyo. Pamoja na hayo ni muhimu pia huduma nyingine za kijamii zikaendelea.
Leo ni siku ya msaragambo kwa ajili ya kufanya usafi wa mazingira, siku kama ya leo huduma na maduka hufunguliwa saa 4:30 hadi 5 asubuhi kwa sisi wenyeji wa hapa huu ni utaratibu tulio zoea.

Usafi wa mazingira wa aina hii huwa kila jumamosi ya kwanza ya mwanzo wa mwezi, leo imekuwa maalumu kwa ajili ya kuazimisha sherehe ya Mapinduzi.
 
Suala siyo wachaga! Skiza nikupe hii, last year baadhi ya JF members tulikuwa kule 28.12.2012-30.12.2012, they arent active at all (upande wa biashara) wakati wa kuondoka PakaJimmy aliagiza taxi day b4 they came late tukapanda daladala instead!
Ha ha haaa, Arushaone umenikumbusha wale madereva taxi!
Wale jamaa bana!..tulikubaliana waje saa11.40 alfajiri, wakaja saa 12.00!, tuliboreka tukachukua usafiri mwingine, ndo tunakutana nao njiani, wala hawana haraka, wakaishia kutulaumu, but we were very innocent!

Kitu kingine, mabasi yanayotoka Tanga kwenda Arusha ni mengi, lakini la kwanza(12.00asubuhi) ni la Mchaga(Ngorika), na la pili(saa12.15asubuhi) pia ni la Mchaga(Mtei), then yatafuata mengine akina Freys, Simbamtoto, n.k ambayo hayana haraka yoyote, kila abiria anasubiriwa kwa nafasi yake, ha ha haaaa!
Nasikia wenyewe wanasema kuwa "Tanga haihami Babu, iko hapohapo miaka yote, cha kukimbilia nini!"

Lakini pia ukitaka kujua ushapu wa mchaga termbelea eneo maarufu linaitwa Nyinda Bar and Restaurant, utapata Kongoro, Mtura, Trupa, Bomu, Michemsho ya kila aina hadi wa mchicha, vyapativyapati, Chomachoma za kila aina- mixed grill etc etc!

Sina ubia wowote na Wachagga wa Tanga, lakini kila mwenye macho anaweza kuona tofauti waziwazi!
 
Biashara ya kule mara nyingi ni usiku!Mchana hawana mwamko wa biashara..
 
Back
Top Bottom