Hivi tanga hakuna wachaga?

Hivi tanga hakuna wachaga?

Unataka wachaga wa watu waamke mapema ili walogwe! shindwa wewe!
 
Tanga watu wanakula bata aisee...nani aamke mapema????Mkuu Ndandawamalenja piga supu kwanza hapo nyinda mswaki baadaye wakiamka hao wavivu.. !
 
Tanga Raha bana, nani kakwambia Tanga kuna kutoa jasho?
 
Back
Top Bottom