Aisee kumbe hata mke wa chenge naye ni mtata tu kama alivyo chenge mwenyeweAliyewagonga wale wadada wawili hakuwa Chenge bali alikuwa ni Mke wake. Chenge alinunua kesi ili kumnusuru mamsapu.
Hiyo issue ilihusika na Wivu wa kimapenzi. Chenge alikuwa anatafuna mmoja wa hao madada waliokuwa kwenye Bajaj. Na siku ya tukio wale madada walikuwa "chimbo" moja mitaa ya Oyster Bay wakijiachia na mheshimiwa Chenge. Mama Chenge aliupata mtonyo na akaenda kuwalia timing sehemu akiwa na wapambe.
Wale wadada walipotoka pale chimbo wakitumia usafiri wa Bajaj mama Chenge aliwafuatilia kwa nyuma...mpaka walipofika maeneo ya pale Morogoro stores/Maisha Club ndipo mama alipopata mwanya na kuitandika ile Bajaj kisawasawa.
Kilichofuata hapo Mzee akanunua kesi na kulipa faini na maisha yakaendelea.
Pumzikeni kwa Amani wahanga wote wa Ajali ile.
Huyo binti si ndiye aliyesomea pale Muhimbili?Naskia ni mtu poa sana,na mzigo anao,mpaka kuozeshwa mtoto mkubwa wa mzee K si mchezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wadada wa mjini (wadangaji) siku hizi hawana Adabu wala heshima kwa Wake za madanga yao mkuu.Aisee kumbe hata mke wa chenge naye ni mtata tu kama alivyo chenge mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo binti si ndiye aliyesomea pale Muhimbili?
Mi nilisikia msela alikua wa kawaida tu upande wa mpunga ila yule binti alimpenda sana mpk dingi akawa anapaniki afu ukiweka msela alikua mkristo ikawa balaa zaidi mpk binti akatengwa na familia kiaina flani hivi ila baadae ikawa fresh tu ndo jamaa kaanza kupewa madili na kina riz na watoto wengine wa mjini.
Jamaa hakuwa kawaida upande wa Mpunga kama mnavyofikiria. Alikuwa vizuri na ni mpambanaji wa kitambo sana. Tena yeye ndio alimfundisha mishe mishe na kumuamsha Riz. Ulizaliwa watu wanaomfahamu watakueleza mkuu. Riz alikuwa kawaida kabla hajakutana na Albert. Albert ndio amemuweka Riz kwenye Ramani.Huyo binti si ndiye aliyesomea pale Muhimbili?
Mi nilisikia msela alikua wa kawaida tu upande wa mpunga ila yule binti alimpenda sana mpk dingi akawa anapaniki afu ukiweka msela alikua mkristo ikawa balaa zaidi mpk binti akatengwa na familia kiaina flani hivi ila baadae ikawa fresh tu ndo jamaa kaanza kupewa madili na kina riz na watoto wengine wa mjini.
Huyo jamaa ana hela kitambo sana sema sio mtu wa makeke mengi. Ni mmoja wa vijana wa mjini waliokuwa na pesa miaka hiyo ya nyuma. Alikuwa boss wa kina Davis Mosha na wengine wengi. Watu wengi hawamfahamu kwa sababu jamaa ni mtu low key sana. Wengi mmemfahamu baada ya kumuoa Dr. Salama.Uko sahihi mkuu.mi nilimaanisha hela anayo sasahivi,sio kabla ya kuwa mkwe wa mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sa hivi jamaa ni fogo mbaya kabisa mkuu,ma deal mazito mazito alihusika sana.Uko sahihi mkuu.mi nilimaanisha hela anayo sasahivi,sio kabla ya kuwa mkwe wa mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa fupi tu Gen. Ernest alimlea Marwa na hata hilo jina la Marwa jamaa anatumia tu jina la ukoo.Jamaa hakuwa kawaida upande wa Mpunga kama mnavyofikiria. Alikuwa vizuri na ni mpambanaji wa kitambo sana. Tena yeye ndio alimfundisha mishe mishe na kumuamsha Riz. Ulizaliwa watu wanaomfahamu watakueleza mkuu. Riz alikuwa kawaida kabla hajakutana na Albert. Albert ndio amemuweka Riz kwenye Ramani.
Baba yake Albert alikuwa Mkuu wa Majeshi Gen. Ernest M. Kiaro (1988-1994).
True,inawezekana alikuwa vizuri kabla,ila amekuwa vizur zaidi baada.Ukitaka maisha yawe smooth kuwa low key,bongo kuna watu wanahela na mafanikio lakini hawana majina,na wanapenda iendelee kuwa hivyo.Huyo jamaa ana hela kitambo sana sema sio mtu wa makeke mengi. Ni mmoja wa vijana wa mjini waliokuwa na pesa miaka hiyo ya nyuma. Alikuwa boss wa kina Davis Mosha na wengine wengi. Watu wengi hawamfahamu kwa sababu jamaa ni mtu low key sana. Wengi mmemfahamu baada ya kumuoa Dr. Salama.
Sasa mtu aliyekulea unamwita jirani!!? Kama hauna unachojua sio vyema kuongea. Na pia uwe unakubali kueleweshwa pale usipokuwa na uelewa. Point hapa haikuwa Baba yake ni nani au katokea wapi? Point ilikuwa jamaa amepata utajiri enzi za JK. Ndio nikakuweka sawa ya kwamba jamaa ana hela zamani sana. Mbowe anamfahamu vizuri huyu jamaa. Maana at some point alikuwa anakuja kuchukua hela pale kwenye petrol station yake mjini.Kwa taarifa fupi tu Gen. Ernest alimlea Marwa na hata hilo jina la Marwa jamaa anatumia tu jina la ukoo.
Asili yake msela ni Uganda,ambako Gen alimtoa baada ya vita vya Kagera na sio baba yake kama unavyosema hapa.
Ni kweli kabisa mkuu. Jamaa ni mpambanaji na anajua kutafuta na kuzitumia fursa. Low key ndio mpango mzima. Kuna watu wana pesa wako kimya. Huwasikii Instagram wala Facebook na maisha yanasonga tu. Kijana wa Mengi Abdiel umeshawahi kumuona mitandaoni!?True,inawezekana alikuwa vizuri kabla,ila amekuwa vizur zaidi baada.Ukitaka maisha yawe smooth kuwa low key,bongo kuna watu wanahela na mafanikio lakini hawana majina,na wanapenda iendelee kuwa hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Braza hujui chochote ila unalazimisha uonekane mjuaji,nimekukosoa ile point ya kwanza kukuonyesha hamna kitu unajua ila mzee wa story za kijiweni.Sasa mtu aliyekulea unamwita jirani!!? Kama hauna unachojua sio vyema kuongea. Na pia uwe unakubali kueleweshwa pale usipokuwa na uelewa. Point hapa haikuwa Baba yake ni nani au katokea wapi? Point ilikuwa jamaa amepata utajiri enzi za JK. Ndio nikakuweka sawa ya kwamba jamaa ana hela zamani sana. Mbowe anamfahamu vizuri huyu jamaa. Maana at some point alikuwa anakuja kuchukua hela pale kwenye petrol station yake mjini.
Huna lolote Wewe. Huna unalojua wala uelewa juu ya Albert. Wewe ndio umemfahamu kwa stori za vijiweni.Braza hujui chochote ila unalazimisha uonekane mjuaji,nimekukosoa ile point ya kwanza kukuonyesha hamna kitu unajua ila mzee wa story za kijiweni.
Na bila kumuweka Mbowe na Chadema unakua unahisi story zako hazijakamilika.
Khs habari za utajiri wa mshkaji sikutaka kuongelea tena maana nimeshaona naongea na mtu wa kijiweni.
Hahah alikua anafanya biashara na Mbowe pale Petrol stesheni,hahah.Huna lolote Wewe. Huna unalojua wala uelewa juu ya Albert. Wewe ndio umemfahamu kwa stori za vijiweni.
Unataka kupotosha umma kwa kujifanya unamfahamu Albert unamjua sana! Ukifuatilia posts zangu huwa sipendi watu kupotosha umma kwa kujifanya wanajua na kutoa taarifa za UONGO.
Kama unamjua Albert alikuwa anafanya biashara gani iliyomtoa kitambo!? Na Ofisi yake ilikuwa wapi pale mjini!? Na ni kina nani walikuwa wafanyakazi au partners wake hapa mjini na baadhi Yao ni matajiri wakubwa tu!?
Nijibu hayo tu kwanza.
Joka linajua kucheza na systemchenge nyoka mwenye makengeza ulishawahi kumuona ? ndiyo huyo baba kila skendo yumo tena zile kubwa lakini hakamatiki ni mjanja sana kwenye mikataba yake anakuwemo lakini hakuna pa kumkamatia
Hata mm hyo nliskia tena kutoka kwa poti mmja obay ......Sema ndy hvyo master aliwawahiUtamdanganya nani ?
Wewe ni mtu wa ajabu kweli kweli aisee! Dah! Najilaumu kwa nini nilijaribu kukuelewesha na kupoteza muda wangu.Hahah alikua anafanya biashara na Mbowe pale Petrol stesheni,hahah.
Usisahau kumsalimia Gen Ernest unayesema ni baba yake Marwa,hahah.
Wewe ni boya tu,mshamba flani hivi umekalia kujipendekeza kwa wanaume tu.Wewe ni mtu wa ajabu kweli kweli aisee! Dah! Najilaumu kwa nini nilijaribu kukuelewesha na kupoteza muda wangu.
Nilimtaja Mbowe kwa sababu kwenu huyo jamaa na mungu mtu, yaani alipo mpo, akitajwa mmetajwa. Ndio maana nikakuelewesha ili uelewe kiuchumi Albert unayemuita alikuwa kawaida sana kipesa. Mmezoea kukimbizana na kina Papaa Kizaizai and the likes.
Acha Ushoga Wewe! Ni wapi niliposema ALIKUWA ANAFANYA BIASHARA YA MAFUTA NA KINA MBOWE.Wewe ni boya tu,mshamba flani hivi umekalia kujipendekeza kwa wanaume tu.
Kuna mtu alikutuma umtaje Mbowe hapa au wewe huyo ni Mungu wako ndio maana unamtaja taja kila thread?
Ni kweli huyo jamaa alikua na pesa sana si umesema alikua anafanya biashara ya mafuta na kina mbowe sio,hahah.
Huyo binti si ndiye aliyesomea pale Muhimbili?
Mi nilisikia msela alikua wa kawaida tu upande wa mpunga ila yule binti alimpenda sana mpk dingi akawa anapaniki afu ukiweka msela alikua mkristo ikawa balaa zaidi mpk binti akatengwa na familia kiaina flani hivi ila baadae ikawa fresh tu ndo jamaa kaanza kupewa madili na kina riz na watoto wengine wa mjini.