G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,282
- 38,876
Naombeni tu kuwauliza waungwana.
Mma uhakika kuwa Rais wetu Samia ana damu ya kitanzania.
Hivi hizi kauli na matendo yanayoendelea dhidi ya watanzania zinaakisi kuwa yeye ni mtanzania?
Naona hata kipindi Mbowe anashtakiwa kwa ugaidi ilikuwa ni hali kama hii tu sema hii ya sasa imekumba wengi.
Nikiri tu kuwa sijawahi kuona kujikweza kwa aina hii!
Asanteni sana.