Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

Bado special force we2 hawajafikia hadhi ya kuitwa swat, nimeona demostation Ni zakawaida,hakuna advanced weapens kidogo Kuna tactics.

usiwadharau wanaweza kukutoa kidevu
πŸ˜› πŸ˜€kuna jamaa alimuangalia Bibie wa jamaa wako Bar akageuzwa shingo, sijui kesi iliishia wapi
After accepted, SWAT officers undergo about 15 to 30 weeks of specialized training. The topics include crisis situations, self-defense, weaponry, hostage negotiation, and crowd control.
 
Hiyo namba 3 ni jungu kubwa...hawatoki Rwanda ni wa hapa hapa Tena basi wa miaka mingi..hakuna haja ya details hapa...
 
Hatujawahi kumpata leader muoga kama huyo mcukuma
 
Jaribu kwenda siku nyingine utawakuta wa Uganda, kongo, china, Marekani n.k, hayo Ni Mambo ya kawaida katika majeshi kuna mafunzo ya pamoja
 
WAMUHIMU KABISA NI WALE WAZEE WA KAMATI YA UFUNDI HAO WANAAMINIWA KULIKO WOTE NA TUNGULI ZAO
 
Wanajeshi huwa wanashirikiana katika mafunzo ya kijeshi ukiona mwanajeshi yupo nchi isiyo yake ujue yupo katika mafunzo au mission fulani anafanya.
 
Hi Hivi ni kweli au uzushi kwamba jamaa analindwa na wanyarwanda
 
Wale Mabaka mimi nilikutana na mmoja wao tangu enzi za JK ila mara nyingi walikuwa Ikulu na sare zao.

Baada ya ujio wa JPM nikawaona katika misafara ya Rais.

Watanzania wana Propaganda nyingi sana na hawajikubali.

Wakasingizia ni wa nchi jirani 🀣🀣🀣🀣
 
Hiyo namba tatu ni uzushi na ulofa wa watanzania wengi kumezeshwa maneno issue ya ulinzi wa Raisi ni sensitive sana kwa taifa kama Tanzania lenye vikosi vyenye weledi huwezi kuleta walinzi kutoka nΓ§hi jirani ndio wahusike kwenye ulinzi muwe mnafanya reasoning sio kuandika tu ili mradi uonekane umeandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…