Hivi pesa inapatikana wapi?

kuna member humu anaitwa UMUGHAKA ashawahi kutoa ushuhuda kwamba kuna jini lilikua linamletea hela room kwake
 
Tafadhali share soft copy ya hcho ktabu hapa. nimekitafuta online cjakipata
 
Mkuu ninajiona kabisa kwa nilipofikia ninahitaji kupambania na simba. Tena mwenye njaa ili nipate pesa.
Kama kwako kuna simba niunganishe naye mkuu.

Mkuu usichukulie poa kuna mambo yanahitaji ujasiri sana ule wa kumuua simba ukiona anakuja livelive, hapa wengi huwa wanatoka mbiooo😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…