Hivi pesa inapatikana wapi?

Tuonane basi namie, mi jasiri niliekubuhu 😁
 
Mkuu usichukulie poa kuna mambo yanahitaji ujasiri sana ule wa kumuua simba ukiona anakuja livelive, hapa wengi huwa wanatoka mbioooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naua mkuu niamini πŸ˜‚
 
Definitely yes
 
Nchi maskini, wanunuaji maskini, wauzaji maskini

Nchi tajiri, wanunuaji matajiri, wauzaji matajiri.

Inategemea wanauzia wapi na wanamuuzia nani. Kwa vile ni mtaani basi malipo ni ya mtaani.
Wanasema kila biashara uionayo imetoa matajiri kwa hapa Tanzania huu msemo haufanyi kazi?
 
Zinapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii. Ukitaka chapchap itabidi uchungulie ulimwengu wa roho.
Watu wa ulimwengu wa roho mnatupanga sana hatuoni matokeo tuonesheni pesa ziliko na sio roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…