Hivi ni sawa kwa mwanaume aliyeoa ku-hang out muda mwingi na marafiki ambao hawajaoa?

Mbona mnakimbilia kwenye ushoga?? Ina maana haiwez kuwepo sababu nyingine?
Kuhusu miaka mume 33 mm 27
 
Kidini si sawa, kishikaji ni sawa
 
We nawe mawazo mabaya ya nini? Huyu jamaa hajalala kwa rafiki yake, Ila rafiki yake ndo anatumika kuficha uovu..

Ni kwamba jamaa aliopoa mlupo akaingia nao lodge, afu mke akapangwa eti leo nalala kwa rafiki yangu..
 
Mimi ninachoweza kukushauri ni kwamba
Jitahidi kuwa Rafiki yake
Hata Mimi ninachelewa kurudi home ila ni Kwa vile mke wangu ana gubu sana Usiku ukiingia naanza kuwaza
Huwa wanaume tunapenda kuwa na furaha. Kama hupati furaha nyumbani utaitafuta kokote.
 
Yaani hatujawahi gombana na ni marafiki sana ndo maana huwa ananipa story za huyo rafiki yake na hata akitoka nae ananiaga pia, sijawahi kuwa na gubu
 
We nawe mawazo mabaya ya nini? Huyu jamaa hajalala kwa rafiki yake, Ila rafiki yake ndo anatumika kuficha uovu..

Ni kwamba jamaa aliopoa mlupo akaingia nao lodge, afu mke akapangwa eti leo nalala kwa rafiki yangu..
Yaani Kwa comment hizi nimeamini watu mawazo Yao yanatumika na ibilisi mkuu..
 
Yaani Kwa comment hizi nimeamini watu mawazo Yao yanatumika na ibilisi mkuu..
Watu wanacomplicate sana vitu, hiyo ndo mbinu wanaume wengi wanatumia..

Anakutambulisha rafiki yake mmoja, tena mkiwa na shida atakuwa anakuambia amewakopesha, ili tu umwone rafiki wa maana.

Huyo ndo atakuwa chaka la kumtoa nyumbani..

Kama ambavyo ulikuwa unamtumia rafiki yako anakutoa home mkatembee na wanaume
 
Yaani hatujawahi gombana na ni marafiki sana ndo maana huwa ananipa story za huyo rafiki yake na hata akitoka nae ananiaga pia, sijawahi kuwa na gubu
Usipaniki relax
Hebu muulize nini anakosa kwako alafu ujiongeze na wewe
Kingine Usimuonyeshee kama anafanya kitu Cha ajabu sana utaharibu
Mshauri tu Kwa upole
Mwambie wewe ni Baba .... Sasa hivi heshima yako ni kubwa jaribu kufanya kama watu wanavyokuona/kukufikiria.
Mwambie Kwa upole mkiwa kitandani ila ukiwa kwenye hisia Kali
Utaona litamtoa machozi alafu unamfuta pole pole.
Hakuna mkate mgumu kwenye chai. Kumbuka hilo
Mwanamke umeumbiwa silaha nyingi sana Zitumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…