Kama ni sahihi je idadi ya matundu mwilini mwa he na she ipo sawa?
Kama si sahihi a. je nani ana matundu mengi zaidi? b. taja jina la tundu ambalo limeleta utofauti huo na kazi ya tundu hilo.
He na She wana idadi sawa ya matundu:
Masikio - 2
Macho - 2
Pua - 2
Mdomo -1
Haja kubwa -1
Haja ndogo - 1
____________
Jumla: 10
____________
Pengine nimesahau tundu jengine?
Matundu yote yana kazi sawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.