Hivi ni nani mshauri wa Mbowe na Dr Slaa..?

Hivi ni nani mshauri wa Mbowe na Dr Slaa..?

kamshauri katibu mkuu na nape na msukuma na mwenyekiti wa wazazi ...wasizunguke kula posho
1.kila mkoa
2.kila wilaya
kuna mwenyekiti wa chama na mkuu wa wilaya na mkoa wote ni viongozi wa chama chetu kwa nini kinana na nape wasikae ofisini waletewe repoti badala yake wanazunguka kutukana ukawa na kulaumu viongozi wa serikali yetu
3.nini faida yake
4.hao walioko wilayani na mikoani hawana maco na masikio kusikiliza shida au kutatua matatizo yetu
 
kwa bahati mbaya huku hatuahidiani vyeo kama huko. Unataka kunikumbusha niliyoyasahau, naifahamu chadema kuliko wewe unavyowatambua kaka zako mliozaliwa tumbo moja.

Kwa vile unaukataa ukweli, utaendelea kuwa mtumwa, pole sana binti ambaye umeamua kuuza utu wako.
 
Katika jambo ambalo haulijui ni kuwa tupo kwenye siasa ya vyama vingi. Hivyo imehalalishwa kwa vyama vya siasa kushindana ili mbabe atakayeshinda wenzake aweze kuongoza dola.

kulalamika kuwa CCM inauangamiza upinzani, ni sawa na CCM kulalamika Upinzani Unawamaliza. Ni ujinga uliopindukia kulaumu watu ambao wanapaswa wafanye unachokilalamikia ili waendelee kuwepo na wapate mafanikio.

Kama nyie mmeridhia kuwa fedha ya ruzuku ajikopeshe babu na nyingine achukue mbowe aende picnic Dubai mnategemea nini..?

Ni ujinga kuilaumu CCM kuwa inaua Upinzani, kwani huko ndiko kuimarika kwake.

Hiki kitu nilimwambia Mohamedi Mtoi kwenye Thread yake ya jana

Halafu nyinyi mnaojiita makamanda ndio mnaokitangaza hiki chama cha ACT kwa kasi ya ajabu Mnaitangaza ACT kuliko hata ACT wanavyojitangaza

pili kwa akili zenu mlitegemea CCM kama chama Tawala kifanye kazi ya kuimarisha upinzani????

Ni umbumbu uliopitiliza kwa Upinzani na hasa CDM kutegemea CCM waisaidie CDM kujijenga kila mda wenyewe wanalalamika CCM wanawafanyia rafu sasa walitegemea Mwigulu na Nape wafanye kazi ya kuimalisha CDM halafu wakale wapi?? Polisi??
 
Kama kila mmoja atamtaja mwenyekiti wa mwenzie kwa lugha unayomtaja mwenyekiti wangu basi hawa mods watanihukumu vibaya. Na ni ubaya ulioje kwa mjinga kujibiwa kwa kiasi cha ujinga wake..jifunze kujiheshimu na kuheshimu wengine.

Sio mimi ninayemuita "Mr. Dhaifu", hiyo ni kwa mujibu wa hansard za bunge.
 
mjinga utamtambua kwa maneno na matendo yake. Anakiongea asichokijua na anafanya asilolifahamu. Jifunze kuwa mtu makini. Usifikiri hizo senti unazopewa ndio kila kitu kwako...,fanya mambo ya msingi uijenge jumuiya.

Naona unataka kuanza matusi nami kitu ambacho hukiwezi. FYI mimi sio mtoto mdogo kama wewe na sina njaa kama unavyofikiria. Hakuna anayeweza kunilipa nchi hii kwa kutowa mawazo yangu. Comprende? Nimekuuliza wewe si ulikuwa kiongozi mwandamizi w a CHADEMA sasa iweje leo uje utuulize sisi nani mshauri wa aliyekuwa Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa chama kilichokufukuza? Jibu hoja yangu na acha kunitafuta kwa mengine.
 
Jenga hoja za kufanya CCM iendelee kuaminiwa na wananchi, huu ni wakati wa Bajeti - Kuna wakulima wa jembe la mkono, mama ntilie, wamachinga, wajasiliamali wadogo wadogo, wanafunzi nk hao wote Chama chako cha CCM kinawafikiriaje ili sasa washiriki kwenye uchumi wa nchi yao.

Hizi hekaya dhaifu za kuwasema CDM hazikusaidii kukujenga wewe kisiasa na wala haziwasaidii watanzania waliokosa matumaini ya kuishi ndani ya nchi yao, kumbuka wewe upo chama tawala kwa sasa, chama kinachounda Serikali, tumia muda wako mwingi kujenga mikakati ya kutatua matatizo ya wananchi hasa wale maskini - ukitumia ilani ya uchaguzi yenu ya 2010 kama msahafu wako.

Sasa wewe kila siku ni CDM hivi, CDM vile - hii inawasaidia vipi wananchi waliokata tamaa kimaisha? Kadadaa haupo CDM tena, haupo UPINZANI tena, wewe upo chama tawala, fikiri ki-utawala. Tunataka utuletee MAJIBU na ufumbuzi wa matatizo ya watanzania ili waiamini CCM.
 
Maiti anapoishauri maiti mwenzie mbinu za namna ya kufufuka ilihali na yeye bado ni maiti
 
juliana is trying to stay relevant,hana shughuli ya kufanya na akina nape wamemtema...
 
Nyie moods acheni hizo, mnafuta coment yangu kisa nimemsema Zitto ni ex wa shonza ? Nyie kama vipi nipeni tu ban nijue nimefanya kosa lkn kwa utamaduni wa kipuuzi hivi hii sio tena ya kusema kwa uwazi bali ni sehemu ya kumpamba zzk
 
Last edited by a moderator:
Juliana chadema inakufa kwa kasi, wakati CCM ilishakufa kitambo sana

kwa kifupi ulichosema ni branding power ya CDM ilikuwa inauza kuliko ukawa!!!! ila ndio hivyo tena.....akili ndogo kuvuta akili kubwa

na ushauri unaoutoa kwa CDM sioni mantiki yake wakati ulikuwa huko na sasa uko CCM, unamaanisha unataka CDM ibadilike na kuwa juu ya CCM?? au ni kuonyesha uzalendo kwa vyama vyoote vya siasa?? Mbowe , slaa, kikwete , unawajua vizuri akina maalim seif, lipumba, mbatia wote hawa wamebeba ule UAFRIKA HALISI na laana ile ile ya enzi

hawa wanasiasa hakuna msaada, hakuna msikivu, hakuna anayejali, hakuna anayefikiri next 50 yrs wajukuu zetu itakuwaje, wanauza mpaka panya wa nchi hii!! hawaachi kitu..

Leo ukimuuliza slaa au mbowe kitu kidogo cha kutatua matatizo ya watanzania watakueleza mpaka washike nchi!!! upinzani ni comedy, na waliokuwa at least influentials ( na wanaowaza nje ya box) ndio hao wanafukuzwa kama mbwa.

watanzania kwa ujumla wake ni mizigo kila idara, madudu ya mbowe, slaa, kikwete ndio hayo hayo yanafanyika makanisani, kwa familia, kwenye vyuo, mashirika ya umma n.k ndio tulivyo

hatuheshimu, elimu, kazi, productions, na tunaishi maisha ya kuigiza wakati ki ukweli tunaishi miaka ya 1500 AD wenzetu dunia ya kwanza ndio wako 2014...aibu

hawa hawa CCM na CDM na wenzao 'wale' wakakusanyana dodoma kama mambuzi fulani hivi yanajadili serikali mbili au tatu-(mipum.ba.vu) as if watanzania leo priority yetu ni serikali mbili na serikali tatu!!!!!! kwa mjadala huo UKAWA ikazaliwa Ikawa

Eti matatizo ya mashuleni, barabara, hospitalini , n.k tunawaza S2 au S3??? i thought it was high time kwa CDM ku divert mjadala na wakapata support ya wananchi.........wakaangua shimo lile lile la merehemu CCM,-uroho wa madaraka

Juliana, piga kazi, ANZA KUBADILIKA NA WEWE, SHAWISHI WANAOKUZUNGUKA kwanza -siasa za Tanzania, kichefuchefu zipo tu na mnapiga hela ndefu kwenye kampeni na ndizo hizo mnazipata kupitia ESCROW..............na njia hizo zingine

kwa tuliopevuka-wenye matured mind, anayejiita mwanasiasa ni mwongo, muuaji, mnafiki, mwizi, wako wachache identifiable human ambao wanakwepa NA HAWANA tabia hizo, ila tunawapandikiza na kuwaaka rangi wafanane na sisi wachafu.......... system ina wa reject because they dont resemble/they are not compatible............muulize Salim A. Salim, Zitto na mimi- tutakusimulia

Inauma lakini ndio ukweli, ebu tuangalie upande mwingine CCM ikiongezwa herufi ya katikati inakuwa CDM na wapenzi hawa wanajuana vizuri kwa kila kitu. All jobless na desperate people waliotayari kuua, kutoa kucha za watu, kutunga uongo na uzushi wamo humu kwenye makundi haya ambayo HAYANA HURUMA YA KWELI YA KUMKOMBOA MTANZANIA

Please Juliana , usipoteze muda wako kuishauri CDM

I mean usipoteze muda wako kuishauri CCM pia

hawasikii hawa, walevi hawa, waroho hawa, wahuni-to be precise

Unless you are that ''identifiable human'
Waberoya..
 
Mi nabaki nacheka tuu jinsi Chadema inavyoogopwa na CCM kama Friends of Simba wanavyomuogopa Wambura.
 
Naendelea kuwafunza Siasa, ikiwa tu mpo tayari kujifunza.
Shonza wewe si mwanasiasa na huwezi kumfunza yeyote siasa!! ukawafunze wachumia tumbo wenzako! ona thread uliyotoa haina kichwa wala miguu!! umebwabwaja hovyo hovyo!! huna lolote!! chuki tu zinakusumbua! Hujataja hata kauli moja ya Dr unayomsengenya nayo hapa!! Wala hujafanya utafiti wa kutosha kuhusu mazishi unayozungumzia!! Siasa za tanzania zinaharibiwa na vijana "wasio na uti wa mgongo" kama wewe BADILIKA!!
 
Nipo mahali salama kisiasa kuliko CHADEMA, sina haja ya kutangatanga. Nimefika sehemu ambayo mchango wangu unathaminiwa na kuheshimiwa.

Nimepokelewa kwa mikono miwili, nimefunzwa siasa na kuandaliwa njia ya mafanikio.

Naendelezwa kielimu, kwani katika siasa za Sasa watu wana-invest katika knowledge. Nyie mnatumika bure huko UFIPA huku sie tunaokwa kuwa viongozi bora wa baadae. Ni mjinga tu ambae hatjitambui ndie atatoka CCM na kujiunga na Chadema.

Kwanini unasubiri kuwa kiongozi baadaye na si sasa? Una maana gani? Ina maana kuwa kwa sasa wewe si kiongozi? And how can you be a leader in the future? Au ulitaka kusema unaandaliwa kupewa cheo baadaye? And do you think you can learn to be a successful leader?
 
Waberoya,

Juliana hana uwezo wa kumshauri mtu awaye yeyote hivyo ushauri wako ni void. Na kuhusu muda, Juliana ana muda wote katika ulimwengu huu kwa sababu tokea amalize kabachelor kake ka elimu, kutokana na ufaulu wake hafifu hajafanikiwa kupata ajira mpaka leo. Usihofu kuhusu muda kabisa, ndio maana anakesha jamii forums. Hana maisha, hana hela na Nchemba keshamzeesha kamuacha.

Kama haumjui mtu usilazimishe kumjua. Waulize wanaonifahamu wakueleze mimi ni nani.

Waulize juu ya Elimu yangu...

waulize wakueleze juu ya ajira na kipato changu...mimi sio kama wewe ambaye analipwa kwa kukesha JF.,naingia jf kwa hobby binafsi na kwamba sitegemei malipo ama posho kwa kuandika chochote hapa, wapo akina Saa Mbili asubuhi na yule anayejifanya ni mjukuu wa Mwalimu wao wapo hapa kwa ujira maalum kutoka mtaa wa Ufipa.
 
Dada angu Juliana, umri wako haukurusu uliko, sio sir n umepoteza dira 'kuna wimbo na ukumbuka wa dini' ulikua unaibwa hiv. Umepoteza dira ndugu yangu, umepoteza dira dada shoza. Rudi nyumbani kwani hata mwanampotevu alirudi.
 
We Juliana tulia huko uliko hakuna aliyekuomba ushauri wala huna sifa, elimu na uzoefu wa kushauri cdm. Ushauri toa huko huko uliko ili upate mlo uliokupeleka huko.
 
kwa bahati mbaya huku hatuahidiani vyeo kama huko. Unataka kunikumbusha niliyoyasahau, naifahamu chadema kuliko wewe unavyowatambua kaka zako mliozaliwa tumbo moja.

Huku ni wapi? Na huko ni wapi? Sina hata chembe ya shaka kuwa wewe ni kama wanasiasa wengine uchwara nchi hii wanaoendeleza siasa za maji taka na wanaoshiriki siasa kwa maslahi binafsi. Mnashiriki siasa ili mpate nafasi za kuiba. Wewe na wenzio mmejaa uroho, mnafanya siasa ili kupata mali. Huna nia wala uwezo wa kuisaidia jamii inayokuzunguka. Unapoteza sifa automatically kwa kuishabikia CCM. Mtu mwenye dhamira safi, tena kijana, mwenye fikra huru na huruma kwa watu wa nchi hii, jasiri, asiyesukumwa na tamaa za mali etc. anawezaje kutumia muda wake wote usiku na mchana kuisifu CCM? Kweli? This is insane. When will this insanity stop?
 
ukishajua hao washauri itakusaidia nn acha unafiki kijana kwani kinana anashauriwa na nani/
 
Kama haumjui mtu usilazimishe kumjua. Waulize wanaonifahamu wakueleze mimi ni nani.

Waulize juu ya Elimu yangu...

waulize wakueleze juu ya ajira na kipato changu...mimi sio kama wewe ambaye analipwa kwa kukesha JF.,naingia jf kwa hobby binafsi na kwamba sitegemei malipo ama posho kwa kuandika chochote hapa, wapo akina Saa Mbili asubuhi na yule anayejifanya ni mjukuu wa Mwalimu wao wapo hapa kwa ujira maalum kutoka mtaa wa Ufipa.

This is too low. Lakini ndivyo mlivyo. Why brag about your job and income? Huwezi kusema ulikuwa unajibu hoja. Hizi zote ni dalili za ubinafsi. Selfishness. And you guys are ruining this country.
 
Back
Top Bottom