Juliana chadema inakufa kwa kasi, wakati CCM ilishakufa kitambo sana
kwa kifupi ulichosema ni branding power ya CDM ilikuwa inauza kuliko ukawa!!!! ila ndio hivyo tena.....akili ndogo kuvuta akili kubwa
na ushauri unaoutoa kwa CDM sioni mantiki yake wakati ulikuwa huko na sasa uko CCM, unamaanisha unataka CDM ibadilike na kuwa juu ya CCM?? au ni kuonyesha uzalendo kwa vyama vyoote vya siasa?? Mbowe , slaa, kikwete , unawajua vizuri akina maalim seif, lipumba, mbatia wote hawa wamebeba ule UAFRIKA HALISI na laana ile ile ya enzi
hawa wanasiasa hakuna msaada, hakuna msikivu, hakuna anayejali, hakuna anayefikiri next 50 yrs wajukuu zetu itakuwaje, wanauza mpaka panya wa nchi hii!! hawaachi kitu..
Leo ukimuuliza slaa au mbowe kitu kidogo cha kutatua matatizo ya watanzania watakueleza mpaka washike nchi!!! upinzani ni comedy, na waliokuwa at least influentials ( na wanaowaza nje ya box) ndio hao wanafukuzwa kama mbwa.
watanzania kwa ujumla wake ni mizigo kila idara, madudu ya mbowe, slaa, kikwete ndio hayo hayo yanafanyika makanisani, kwa familia, kwenye vyuo, mashirika ya umma n.k ndio tulivyo
hatuheshimu, elimu, kazi, productions, na tunaishi maisha ya kuigiza wakati ki ukweli tunaishi miaka ya 1500 AD wenzetu dunia ya kwanza ndio wako 2014...aibu
hawa hawa CCM na CDM na wenzao 'wale' wakakusanyana dodoma kama mambuzi fulani hivi yanajadili serikali mbili au tatu-(mipum.ba.vu) as if watanzania leo priority yetu ni serikali mbili na serikali tatu!!!!!! kwa mjadala huo UKAWA ikazaliwa Ikawa
Eti matatizo ya mashuleni, barabara, hospitalini , n.k tunawaza S2 au S3??? i thought it was high time kwa CDM ku divert mjadala na wakapata support ya wananchi.........wakaangua shimo lile lile la merehemu CCM,-uroho wa madaraka
Juliana, piga kazi, ANZA KUBADILIKA NA WEWE, SHAWISHI WANAOKUZUNGUKA kwanza -siasa za Tanzania, kichefuchefu zipo tu na mnapiga hela ndefu kwenye kampeni na ndizo hizo mnazipata kupitia ESCROW..............na njia hizo zingine
kwa tuliopevuka-wenye matured mind, anayejiita mwanasiasa ni mwongo, muuaji, mnafiki, mwizi, wako wachache identifiable human ambao wanakwepa NA HAWANA tabia hizo, ila tunawapandikiza na kuwaaka rangi wafanane na sisi wachafu.......... system ina wa reject because they dont resemble/they are not compatible............muulize Salim A. Salim, Zitto na mimi- tutakusimulia
Inauma lakini ndio ukweli, ebu tuangalie upande mwingine CCM ikiongezwa herufi ya katikati inakuwa CDM na wapenzi hawa wanajuana vizuri kwa kila kitu. All jobless na desperate people waliotayari kuua, kutoa kucha za watu, kutunga uongo na uzushi wamo humu kwenye makundi haya ambayo HAYANA HURUMA YA KWELI YA KUMKOMBOA MTANZANIA
Please Juliana , usipoteze muda wako kuishauri CDM
I mean usipoteze muda wako kuishauri CCM pia
hawasikii hawa, walevi hawa, waroho hawa, wahuni-to be precise
Unless you are that ''identifiable human'