Kiriba
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 540
- 258
nadhani wewe ndio haujui mimi nataka nini...
then kuhusu matusi ya Mh TUNDU kila mmoja ameyasikia, labda muulize mzee Mtei kwanini alimjibu Lissu waziwazi.
huo nimtizamo wa mtei. Hats mimi binafsi na mkubalisana nyerere lakini kuna mambo mengi natofautiana nae sana.
Kwanye argument huwa kuna lugha tofauti zinatumi na inategemea na mtu anavyo zitafsiri.