Hivi ni nani mshauri wa Mbowe na Dr Slaa..?

Hivi ni nani mshauri wa Mbowe na Dr Slaa..?

Kwa nini unaongelea maendeleo ya CDM wakati umehamia CCM??
Ni vema ukajikita na washauli wa CCM ili muendelee kukaa madarakani
Hata hivyo mawazo yako ni ya kinafiki kwa kuwa kama CDM ni dhaifu basi hao waliokutuma wasingefanya hivyo kukutuma hapa pia ingekuwa CDM ni dhaifu basi hao wasingekununua wewe kuhamia CCM ni kwa nini hawanunui watu wa vyama vingine??

Toto bado linaonekana lina mapenzi na CDM sijui liliacha MCHUMBA huko.................!! Yericko Nyerere na Ben Saanane tupeni ya ndani ................. huyu demu alisahau nini huko Chadema!!??
 
Last edited by a moderator:
Wakati ukiwa chadema kama kiongozi kabla hujahamia nyumba ya jirani ambako huna cheo chochote, hao viongozi walikuwa wanashauriwa na nani?

Mbona watu mnakuwa wepesi wa kusahau fadhira? Maisha ni zaidi ya siasa, ngoja tuone mwisho wa future yako maana sie wengine toka mababu zetu mpk mama zetu walikuwa huko huko ila leo sisi ndiyo tunawasaidia kwa hali na mali

Mnatumia pesa nyingi sana kuua upinzani nchini wakati mnauwezo wakupeleka mswaada bungeni wa kufuta kabisa vyama vya upinzani mkabakia nyie tu, maana mmeshindwa hata kuhudumia watanzania na kuwapa maisha bora kwa sababu pesa inatoka bila mahesabu na nyingi inapelekwa kwenye mbinu za kimafia za kuua ama kuhonga viongozi wa vyama vya siasa

To be honest chama cha mapinduzi kinatengeneza chuki ya ajabu sana kwa siku za mbeleni, tutakuja shindwa hata peana mikono sababu ya chuki zenu na ubinafsi uliyowajaa mpk puani, trust me hamtakaa madarakani milele
Jibu hoja kwa hoja sio hoja kwa chuki za waziwazi kwa mleta mada.... Chadema bado mna muda wa kuweza kubadilisha mwelekeo mbaya wa chama, chukueni ushauri mnaopewa ikibidi hata safu ya uongozi wa juu wa chadema ikae pembeni
 
mchezaji wa team ya simba anatoa ushauri kwa makocha wa team ya yanga.

its so pity the poor & desperate girl from CCM always dance the song played by CHADEMA.
 
hiki kizazi ninani alio waloga?vijana wengi siasa zetu zimejaa ushabiki kama wa simba na yanga.ifikie wakati tubadilike.

Mleta mada katoa ushauli tu kwa cdm,kama mnaona hayana maana msitukane.haileti maana kuona vijana mnaotarajiwa kuliongoza taifa hili mnashindwa kujibizana kwa hoja zenye mashiko baada yake nimatusi navijembe kama waimba taarabu.

Hakika wazee wanapaswa kutuazibu.usiangalie nani kasema,angalia kimesemwa nini.
 
hv mbowe na slaa ni wanachama wa chadema au ni waajiriwa wa chadema?
sielewi kabisa
 
Watu wengine bure kabisa....kutoka makamu mwenyekiti wa vijana kwa chama kikuu cha upinzani hadi kuwa mzururaji wa Chama tawala usiye na majukumu maalum ukibebwa bebwa tu ili usijisikie vibaya na uendelee kuwatukana akina Mbowe waliokulea na kufanya walau hao manyang'au wakuone ni mtu.........

Unaishi kwa ahadi sasa while ukiwa makamu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ulikuwa ukiishi ndoto zako........subiri wakati ufike akili zikukae sawa......
Ndugu yangu mtazamo..umekosa mtazamo wa sawasawa. Wala haujui ndoto zangu na wala haujui kipi ni sahihi kwangu na kipi si sahihi kulingana na ndoto zangu.

kama umeshindwa kujadili hoja ndani ya bandiko langu hautaweza pia kujadili ndoto zangu. Ni very complex to be discussed by one of ur mindset...!!!
 
Huyu binti alipoombwa kuisaliti CHDEMA aliahidiwa kupewa ukuu wa Wilaya, usanii wa JK uliishia kumkumbatia tu, siku alipo pokelewa kwenye chama cha mizalilishaji. Julian ameusubiri ukuu wa Wilaya mpaka ameathilika Kisaikojia. Hivi sasa anahangaika kumshambulia Dr. Slaa, akifikili JK atamkumbuka, kumbe ilikuwa ahadi hewa lol.

attachment.php

kwa bahati mbaya huku hatuahidiani vyeo kama huko. Unataka kunikumbusha niliyoyasahau, naifahamu chadema kuliko wewe unavyowatambua kaka zako mliozaliwa tumbo moja.
 
hii ni hatari..ikiwa unashindwa hata kutofautisha kati ya porojo na hoja makini. Wewe ni mzigo katika jamii na mzigo hapa JF.

Duh! yaani mimi nimekuwa mzigo kama wewe walivyoku"drop off" CDM!

Honestly, binti unahaingaika sana kuipaka CDM matope kwa vipost vyako vya kila mara hapa JF. Unajidhalilisha sana, bora unegeendelea na mengine. By the way, mbona sasa sikuoni kwenye misafara ya CCM mikoani? Au ndo ume-expire mdogo wangu? I hope haujaenda the "Tambwe" way...
 
Chadema wanapumulia kwenye mashine, muda si mrefu tutawaimbia parapanda....huwa wanashauriana kukwapua wake za watu tu baaaaaaaaaas.....leo mara wako dubai, kesho wako israel....ilimradi kula bata
 
Nimechoka ban kwenye sred zako sijui kuna kitu gani cha siriiii!
 
Kama ukoo wa mapanya (ccm) unaweza kuwekeza kwa zero brain kama wewe, basi huko kwenye ukoo wenu wa mapanya kuna tatizo kubwa kuliko nilivyokuwa nafikiria. No wonder mwenye-chair wenu anatambulika kama "Mr. Dhaifu".

Kama kila mmoja atamtaja mwenyekiti wa mwenzie kwa lugha unayomtaja mwenyekiti wangu basi hawa mods watanihukumu vibaya. Na ni ubaya ulioje kwa mjinga kujibiwa kwa kiasi cha ujinga wake..jifunze kujiheshimu na kuheshimu wengine.
 
Naendelea kuwafunza Siasa, ikiwa tu mpo tayari kujifunza.
Wakati unajipa matumaini kuwa unawafundisha watu ....mimi nakuambia tuu hukuwa worth upuuzi ccm waliofanya.HIVI KM UMEAKAAA CDM NA UMEJIUZA CCM KWAUWADANGANYA KUIJUA CDM NJE NDANI...leo unasema hujui nani anamshauri Dr.Slaa na Mbowe?sasa zile kelele zilikuwa za nini?ulidanganya watanzania waio na chama na MaCCM?
 
kwa bahati mbaya huku hatuahidiani vyeo kama huko. Unataka kunikumbusha niliyoyasahau, naifahamu chadema kuliko wewe unavyowatambua kaka zako mliozaliwa tumbo moja.

Niondolee uchuro wako hapa! Ulifikiri siasa inalipa, matokeo yake umetuaibisha Wanyiha wote kwa kutembea na mtu gaidi (Mwigulu Nchemba).
 
Kama kila mmoja atamtaja mwenyekiti wa mwenzie kwa lugha unayomtaja mwenyekiti wangu basi hawa mods watanihukumu vibaya. Na ni ubaya ulioje kwa mjinga kujibiwa kwa kiasi cha ujinga wake..jifunze kujiheshimu na kuheshimu wengine.

unajishughulisha na kazi gani dada Juli
 
Back
Top Bottom