Ukweli Usemwe
Senior Member
- Oct 29, 2013
- 168
- 77
Washauri wa nini wakati sie viongozi wetu wanajua kila kitu!!
Naendelea kuwafunza Siasa, ikiwa tu mpo tayari kujifunza.
HIVI JULIANA UNAWEZA KUWA mshauri wa cdm ? Hii ni dharau kubwa sana .
wewe ulitimuliwa cdm kwa usaliti , usitake kurudi kwa mlango wa uani , UMEVUNA ULICHOPANDA .
Washauri wa nini wakati sie viongozi wetu wanajua kila kitu!!
Mie najibu kichwa cha habari; Josefina.
Hiki kitu nilimwambia Mohamedi Mtoi kwenye Thread yake ya jana
Ni umbumbu uliopitiliza kwa Upinzani na hasa CDM kutegemea CCM waisaidie CDM kujijenga kila mda wenyewe wanalalamika CCM wanawafanyia rafu sasa walitegemea Mwigulu na Nape wafanye kazi ya kuimalisha CDM halafu wakale wapi?? Polisi??
Mshauri wa Mbowe ni Joyce Mukya na mshauri wa Dr Slaa ni Josephine Mushumbusi
Naendelea kuwafunza Siasa, ikiwa tu mpo tayari kujifunza.

wewe ulitimuliwa cdm kwa usaliti , usitake kurudi kwa mlango wa uani , UMEVUNA ULICHOPANDA .
Mshauri wa Mbowe ni Joyce Mukya na mshauri wa Dr Slaa ni Josephine Mushumbusi
mbona mnaongea kivice versa?? kitila alikikacha chama au alifukuzwa?nikweli kabisa na hii yoote inatokana na washauri makini kukikacha chama mfano Dr kitila mkumbo nadhani watamkumbuka sana
I can see that...
Mbona hajasema kuwa wameshindwa kushauri? Defensivenesswewe pumbaf kweli! kama huwezi kushauriwa na mke wako au rafiki yako mpenz kumbe wana umuhimu gani kwako in the first place? why at all be close to somebody who cannot advice you? hao wakina uliowataja hapo wana upunguf gani hata washindwe kushauri? au kwa vile ni kina mama?