Hivi ni mpaka aharibikiwe ndio akukumbuke?

Kwa hiyo ndugu zanguni mmeamua kunipondea? Mimi ni kama Viva Roma, kwenye ukweli nitazungumza!

Haikuwa na maana ya yeye kuanza kujisogeza kwangu tena ilihali alinioneshea dharau na majibu ya kejeli, kisha kunisema akiwa na marafiki zake ili wanicheke i.e sina hela, sina mbele wala nyuma

Leo meza imegeuka, mnataka akijisogeza nimwambie "Pole mama, pole sana na mahangaiko ya kutafuta wanaume sahihi pasi na mafanikio, yaliyopita si ndwele tugange yajayo, sogeza mtoto wetu ndani tumlee! sawa mama, tuanze moja bila, huo mwili uliokoboka tutaanza kuzingatia dayati, sawa kipenzi, nimekusamehe kipindi kile nimekushika mkono barabarani ukawaka mpaka bodaboda wakapiga mirudhi, sawa kipenzi"

Hayajawakuta😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Sasa si ukamwambie yeye unamuogopa au?
 
Sikuwa na cha kumwambia zaidi ya kubaki namcheka tu, sasa ndo aniangalie kama paka mwenye mawazo, ungekuwa wewe usingecheka?
Siwezi kumcheka, nobody is perfect in this world, wewe wote walio kuhitaji uliwakubali? Kwenye maisha kuna kukubalika ama kukakataliwa, amerudi kwako kama Kipozeo na hajapata pa kwenda, akipapta atakuaga tena! So usijisifu sana!
 
Kwa hiyo ndugu zanguni mmeamua kunipondea? Mimi ni kama Viva Roma, kwenye ukweli nitazungumza!

Haikuwa na maana ya yeye kuanza kujisogeza kwangu tena ilihali alinioneshea dharau na majibu ya kejeli, kisha kunisema akiwa na marafiki zake ili wanicheke i.e sina hela, sina mbele wala nyuma

Leo meza imegeuka, mnataka akijisogeza nimwambie "Pole mama, pole sana na mahangaiko ya kutafuta wanaume sahihi pasi na mafanikio, yaliyopita si ndwele tugange yajayo, sogeza mtoto wetu ndani tumlee! sawa mama, tuanze moja bila, huo mwili uliokoboka tutaanza kuzingatia dayati, sawa kipenzi, nimekusamehe kipindi kile nimekushika mkono barabarani ukawaka mpaka bodaboda wakapiga mirudhi, sawa kipenzi"

Hayajawakuta😁😁😁😁😁😁😁😁
Kwa hiyo sasa hivi una hela, una mbele na nyuma?
 
Sikuwa na cha kumwambia zaidi ya kubaki namcheka tu, sasa ndo aniangalie kama paka mwenye mawazo, ungekuwa wewe usingecheka?
Unamcheka wakati bado upo kwenye ligi yake?! Ungekuwa level nyingine wala asingekujia kirahisi rahisi. Inshort hapo ulikuwa unamcheka pacha wako ila hujajigundua tu😀

Aliyewafundisha kuwa mnajipa umuhimu msiokuwa nao aliwakosea sana!
 
Inaumiza sana! Sasa ni body-shaming kila mahali🙌🏾
Kuna tabia mbaya wanawake hasa wa mjini inatakiwa wasemezane waziache kwani sasa zimewafanya waonekane ni wafanyabiashara wa mapenzi.

Kama humtaki mwanaume achana naye kabisa, kata mawasiliano naye mapema, Usitake pesa za mwanaume wakati humpendi.

Wanawake waache kuomba omba pesa za kusuka (mwanamke sio lazima usuke au uvae wigi), wajitahidi pia hata kujilipia angalau nauli zao.

Wanawake wasipende kuishi maisha yaliyowazidi kimo kama hawawezi kugharamia au kuchangia, kama huwezi kujinunulia hata safari lager usiwe na tamaa ya bruto.

Wazazi wajitahidi sana kuhudumia watoto wao.

Matatizo makubwa ya wanawake wa mjini hasa Africa huwa yanaanzia na tamaa za kupitiliza za maisha wasiyoweza ku afford.
 
Mdogo wangu, watoto wa kike wanatakiwa kujifunza survive instincts nyingi sana kuishi kwenye dunia ya kiume.

Kwa ujumla mtoto wa kike anapaswa kulelewa haswa akaleleka, unfortunately mtoto wa kike kwenye jamii anafundishwa mambo mepesi mepesi yasiyokuwa na any practical value, moja ya survive instincts ni kujua namna ya kudeal na ego ya mwanaume, ukiumiza ego ya mwanaume matokeo yake hayawezi kuwa mazuri kamwe, atakusubiri tu mahali akuvunjevunje. Ndio kinachotokea hapa kwa hiki ambacho umekiita “dharau “ so survival skill hapa ni kuwa ukiumiza ego ya mwanaume kimbia mbio ndefu sana usigeuke nyuma 😀

As an observant person nimejifunza hili at very early age, shuleni kwetu wavulana walikuwa wanawapangia team ya kuwatongoza /kuwasumbua wadada wanaofaulu sana ili kuwatoa kwenye reli, huu ni mfano tu wa wanaume ego yao ikishambuliwa namna wanavyoreact, so kama mdada hujui hii mbinu utaanguka lazima. Watoto wa kike tunapofundishwa utii, kuheshimu, kusaidia etc wanaume wanaachwa kujifunza “malice” ndio maana mfano niliotoa unatokea.

To sum up, kwenye mapenzi mtu akiwa yuko kwenye jamii ambayo hakutani na option nzuri za kudate /kuoa/kuolewa they are more likely kuwarudia ex zao, wanaume wanatufanyia hivi mara nyingi sana , nikisema kila mwanamke alete screenshot hapa mambo kwa ushahidi tutakimbia huu uzi, lakini wadada masikini yall too nice hamuwasemi wanaume hata! EGO!
Wanawake pia wajitahidi sana kujitegemea kiuchumi au kuishi kwa kujibana badala ya kuwageuza boyfriends wao ATM, waume au wazazi.
 
Unamcheka wakati bado upo kwenye ligi yake?! Ungekuwa level nyingine wala asingekujia kirahisi rahisi. Inshort hapo ulikuwa unamcheka pacha wako ila hujajigundua tu😀

Aliyewafundisha kuwa mnajipa umuhimu msiokuwa nao aliwakosea sana!
Ukweli mchungu! Mwanaume hana cha kupoteza
 
Kuna tabia mbaya wanawake hasa wa mjini inatakiwa wasemezane waziache kwani sasa zimewafanya waonekane ni wafanyabiashara wa mapenzi.

Kama humtaki mwanaume achana naye kabisa, kata mawasiliano naye mapema, Usitake pesa za mwanaume wakati humpendi.

Wanawake waache kuomba omba pesa za kusuka (mwanamke sio lazima usuke au uvae wigi), wajitahidi pia hata kujilipia angalau nauli zao.

Wanawake wasipende kuishi maisha yaliyowazidi kimo kama hawawezi kugharamia au kuchangia, kama huwezi kujinulia hata safari lager usiwe na tamaa ya bruto.

Wazazi wajitahidi sana kuhudumia watoto wao.

Matatizo makubwa ya wanawake wa mjini hasa Africa huwa yanaanzia na tamaa za kupitiliza za maisha wasiyoweza ku afford.
Uko sahihi, saa nyingine tamaa na kuiga maisha wanayoyaona kw awengine, hiyo bruto yenyewe mkuu hata ukiionja haina maajabu ndiomaana nasema ni tamaa tu!

Kusuka sio lazima kama unasuka means kuna mahali unahitajika, na huko unapohitajika kwenda umesuka lazima panakuingizia kipato! Tofauti na hapo suka minyoosho tulia nyumbani endana na maisha yako halisi period!

Kama unaenda kuonana na mtu hamna ukaribu kiasi cha kusema huna nauli ni mambo ya aibu sana kuomba nauli, namshukuru Mungu huu ujinga umenipita labda mtu anipe mwenyewe sikatai pesa, ila kitendo cha kumwambia mtu huna nauli tayari anakuweka katika kundi moja la wapumbavu! Unapataje nguvu za kutoka hata nyumbani na huna Hata nauli! What if hiyo mtu akipata dharura unafanyaje huna hata balance! Ni kujidhalilisha sana aisee..
 
Mwanaume Fala takataka ndio anaweza fanya hivyo. Binti uwe kwenye ubora wako nikuhitaji ukikataa sio vibaya lakini sio uendee kwa wanaume wengine wakuchezee ,wakuzalishe uchoke halafu urudi unitafute ni upumbavu uliopitiliza.
Huwa naona maboya wengine huwafungulia milango na wengi ukiwachunguza ni mafala tu wanaoendeshwa kwa hisia.
 
In this life you have to be much selfish out of that you will keep working for people and not you .

Say no , and don't give a fuc*k to anybody including to those people closed to you.
 
Back
Top Bottom