Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,915
- 97,412
Hajastaafu tuš¤£Labda upampula affairs
Hajastaafu tuš¤£Labda upampula affairs
refresh utume tenaKwanza jibu pm yangu wewe minister!
Thubutuuu, hawezi.Hajastaafu tuš¤£
Hawa hata ukinuka mdomo kosa, wanakuanzishia uzi! Hawana dogo etiš«¢Mama chanja relax! Hawa Gen Z hawana dogo. Zama zetu kama demu ama madhaifu flan hua tunakula kimya kimya hatusemi.
Wamempopoa hana hamu huyu mzeeš
Nimeacha Figo zipumue hata miezi sita shindiiThubutuuu, hawezi.
Na badoWamempopoa hana hamu huyu mzeeš
Inaumiza sana! Sasa ni body-shaming kila mahališš¾Kuongezeka kwa population na mabinti hasa wasomi na wa mjini wamekuwa na mapicha picha mengi na drama nyingi sana kwa sababu ya utandawazi huku upande mwingine umasikini ukizidi kushamiri kwa vijana.
Imagine halafu nilikuwa nako chuo kimoja tunapishana nacho barabarani tunakichukulia poaaš¤Kila mtu atapiga kwa wakati wake kikubwa tuheshimu foleni unafikiri Whozu angeweza kumpiga miti Wema 2014 akiwa kwenye prime yake? Lakini saiv ndo hvo jamaa anaiwekea mkono.
Ufe?Nimeacha Figo zipumue hata miezi sita shindii
Wacha we! Sio zinaendeshwa na pombe?Nimeacha Figo zipumue hata miezi sita shindii
Mdogo wangu, watoto wa kike wanatakiwa kujifunza survival instincts nyingi sana kuishi kwenye dunia ya kiume.Ndio maana sijawahi kuhurumia hii gender! Mna dharau sana mbwa nyinyi!š
Kwahiyo hutokuwa na mke kisa mabadiliko ya mwili, unasubiri watoto wa wenzio wakikuwa uwapitie kisa ubichi?
Inasikitisha sana!
View attachment 3600745
Umesema vyema Dadaāake, mwanamke amefunzwa kukaa kimya na kuinamia ego ya mweanaume! Hata siku moja hawainui shingo na kusema haya, mpaka watakapojitambua!Mdogo wangu, watoto wa kike wanatakiwa kujifunza survive instincts nyingi sana kuishi kwenye dunia ya kiume.
Kwa ujumla mtoto wa kike anapaswa kulelewa haswa akaleleka, unfortunately mtoto wa kike kwenye jamii anafundishwa mambo mepesi mepesi yasiyokuwa na any practical value, moja ya survive instincts ni kujua namna ya kudeal na ego ya mwanaume, ukiumiza ego ya mwanaume matokeo yake hayawezi kuwa mazuri kamwe, atakusubiri tu mahali akuvunjevunje. Ndio kinachotokea hapa kwa hiki ambacho umekiita ādharau ā so survival skill hapa ni kuwa ukiumiza ego ya mwanaume kimbia mbio ndefu sana usigeuke nyuma š
As an observant person nimejifunza hili at very early age, shuleni kwetu wavulana walikuwa wanawapangia team ya kuwatongoza /kuwasumbua wadada wanaofaulu sana ili kuwatoa kwenye reli, huu ni mfano tu wa wanaume ego yao ikishambuliwa namna wanavyoreact, so kama mdada hujui hii mbinu utaanguka lazima. Watoto wa kike tunapofundishwa utii, kuheshimu, kusaidia etc wanaume wanaachwa kujifunza āmaliceā ndio maana mfano niliotoa unatokea.
To sum up, kwenye mapenzi mtu akiwa yuko kwenye jamii ambayo hakutani na option nzuri za kudate /kuoa/kuolewa they are more likely kuwarudia ex zao, wanaume wanatufanyia hivi mara nyingi sana , nikisema kila mwanamke alete screenshot hapa mambo kwa ushahidi tutakimbia huu uzi, lakini wadada masikini yall too nice hamuwasemi wanaume hata! EGO!
Linda afya yako maana mpaka zamu yako ifike ni parefu.Naaam Naam Mwenyekiti ni kutafuta Chimbo na kunoa Rungu.
Mgao upo Tu Master.
Huenda alikua anakupanga ukawa unamfungia milango, saizi mngekua zenu ndani anakubinya binya hayo matinginya.Imagine halafu nilikuwa nako chuo kimoja tunapishana nacho barabarani tunakichukulia poaaš¤
Hichi kizazi hatari sana.Hawa hata ukinuka mdomo kosa, wanakuanzishia uzi! Hawana dogo etiš«¢
Hahaha ningewekea pending kwanza akimalizana na masupa star ndio arudi!Huenda alikua anakupanga ukawa unamfungia milango, saizi mngekua zenu ndani anakubinya binya hayo matinginya.
Whozu mi namjua tangu kipindi hajaanza kuimba alikua anadance events nyingi za Majengo Sec pale Moshi ilikua humkosi.Hahaha ningewekea pending kwanza akimalizana na masupa star ndio arudi!
Alikuwa diploma nakumbuka, ni mdogo wozzu basi tu taamaa ya old š±
Mimi nimemjua ushirika alikuwa anaimba sana! Sikujua tu kama atakuja toboa..Whozu mi namjua tangu kipindi hajaanza kuimba alikua anadance events nyingi za Majengo Sec pale Moshi ilikua humkosi.