Hivi ni mpaka aharibikiwe ndio akukumbuke?

Hivi ni mpaka aharibikiwe ndio akukumbuke?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,360
Reaction score
11,588
Wanawake bhana, akishaona mambo yamemwendea kombo ndipo anakumbuka kuna boya mmoja aliwahi kunitaka, anaamua kukutafuta

Kwa kipindi hiki nitakutakaje wakati tayari umeshafubaa? Nilitamani kumuona tena yule Khadija mwenye weusi wake wa kuteleza, jumlisha kishundu juu, mtoto ulikuwa unanawili, figure nane mashaallah! kifua kinaeleweka, ila hapo kwenye kishundu daaah dah! Leo hii unajipempela ilihali mwili ushakuwa kama sabufa za seapiano, ukigeuka nyuma ni kama mbele, umepauka pau, umezalishwa, sasa unapojaribu kuwa karibu yangu nitakupendaje ilihali kuna vibinti vibichi vibichi vinazagaa kwa mtaa vikitafuta wakunaji? Eti na yeye anaramba make up anakaa mbele yangu, ananyuka vimini ili mushedede ashtuke😀

Nilichokigundua, thamani ya mwanaume inazidi kupanda na ongezeko la umri, competition ya mabinti dhidi yake inakua kila kukicha. Thamani ya mwanamke inashuka jinsi umri unavyozidi kwenda, jumlisha kuzaa zaa huku. Thamani yake sasa imeshuka, anatafuta mtu wa kumuangushia jumba bovu

Kuna siku nimempa salamu akiwa njiani, akajihisi kusamehewa maake sio kwa ule muitikio, aliitoa sauti ya asili isiyo na maringo, kwa uchangamfu mkubwa. Alipoharibu ni pale anamwambia mwanae "msalimie baba yako", katoto nako "amo baba!" babaje?😁 Hali aliyofikia, wanawake wengi walio kwenye status kama hii ndipo hutafunika sana kwa kuwa wana uoga wa kuendelea kuitwa single mother, hivyo anajitokeza mwanaume anamuahidi kumuoa, anampa tumizi la siku mbili tatu, anamvutia Kitojo G/House, anaimunyiza mbun'go, anapita hivi


Kweli maisha yanabadilika aisee! ila namuonea wivu sana aliyeigusa hiyo pisi kipindi hicho inanawili maake ilinipeleka puta sana, sasa hivi imedorosa, imekuwa cha wote, halafu ni kama inawaza future na mimi, ili tulee mtoto wetu🤣🤣🤣🤣


Asalaam Aleikyum...
 
Ndio maana sijawahi kuhurumia hii gender! Mna dharau sana mbwa nyinyi!😏

Kwahiyo hutokuwa na mke kisa mabadiliko ya mwili, unasubiri watoto wa wenzio wakikuwa uwapitie kisa ubichi?

Inasikitisha sana!
 
Sijui nini kinaendelea duniani juu ya wanawake aisee! Kama mwanamke, kama mama, kama dada, naumia sana!😢

8D4D4568-28F2-4C66-8E1A-6D8AB9704A23.jpeg
 
Ujinga ujinga tu kuna watu hii dunia wanaona wao ndo watakiwa kuwepo yaani wa control kila jambo hata kama ni la kipuuzi ,kuwashusha watu ajiona yy ndo wa muhimu kuliko wengine, but muda ni mwalimu mzuri sana katika maisha
Kama alifeli kumbakiza basi imetokea kama mistake hakuna haja ya kum-body shame achana naye move on! Mbona ni rahisi sana!
 
Back
Top Bottom