min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 59,383
- 171,285
Unazijua shindiiKumbe kuna tarehe za hela na hamniambii? Ndio zipi hizo shindii?
Unazijua shindiiKumbe kuna tarehe za hela na hamniambii? Ndio zipi hizo shindii?
Labda upampula affairsSawa minister of internal affairs 😁
Na katika utani ndipo watu hupitishia ukweli wao.Hapa kuelewana shida.
Now days utani umekuwa mkubwa sana kuliko uhalisia..naamini hivoo. I'm out.🏃🏾
Ndio zipi?Unazijua shindii
Za masherehe , mbege si inatoka sana shindii au ulikula mtaji na mashirima?Ndio zipi?
Shindii hauaminigi uwezo wangu kabsa😁Labda upampula affairs
Mama chanja relax! Hawa Gen Z hawana dogo. Zama zetu kama demu ama madhaifu flan hua tunakula kimya kimya hatusemi.Hakuna jokes za namna hii, ana body shame mwanamke kisa alimkataa akazalishwa huko, anamlimganisha na mabinti wadogo, dada yake akifanyiwa hivi hawezi kufurahia! Hii sio sahihi kabisa!
Mimi nashindwa kuelewa huu uvumi unatokana na nini? Nilikuwa naona hivyohivyo ajabu naona mpaka nchi za wenzetu huu ujinga upo!
She do it like she just do on a runway.Sio mbaya, unaichapa tu burebure maana inakua haina gharama tena.
Ushauza siri za kambi.Ngoja nikuibie siri hao wanaoponda wala hawana shida na mara nyingi ni utani tu ,ila wale wanaojifanya wapo Hamble ndio waharibifu namba moja wapo mawindoni tu😁
Kuongezeka kwa population na mabinti hasa wasomi na wa mjini wamekuwa na mapicha picha mengi na drama nyingi sana kwa sababu ya utandawazi huku upande mwingine umasikini ukizidi kushamiri kwa vijana.Sijui nini kinaendelea duniani juu ya wanawake aisee! Kama mwanamke, kama mama, kama dada, naumia sana!😢
View attachment 3600747
Kila mtu atapiga kwa wakati wake kikubwa tuheshimu foleni unafikiri Whozu angeweza kumpiga miti Wema 2014 akiwa kwenye prime yake? Lakini saiv ndo hvo jamaa anaiwekea mkono.Snake Language Translator.
Zikiwa na option nyingi huwa zinanyanyua Standard zao....
Jikaze mwenetu mwisho wa siku ndio kama hivi unasogezewa Mgao wako😂
Unanunua nini?View attachment 3600768nje ya mada.
Mda hautoshii😂
😃Ushauza siri za kambi.
Naaam Naam Mwenyekiti ni kutafuta Chimbo na kunoa Rungu.Kila mtu atapiga kwa wakati wake kikubwa tuheshimu foleni unafikiri Whozu angeweza kumpiga miti Wema 2014 akiwa kwenye prime yake? Lakini saiv ndo hvo jamaa anaiwekea mkono.
Mashirima sijui kapata bwana🙆♂️🙆♂️Za masherehe , mbege si inatoka sana shindii au ulikula mtaji na mashirima?
Wa kulewa? Nauamini kabisa bila chenga.Shindii hauaminigi uwezo wangu kabsa😁
Kwanza jibu pm yangu wewe minister!Haujawahi kuona bidhaa ikipondewa sana ili tu bei ishuke iwe sawa na bure😃 tatizo haunisikilizagi wewe