Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,969
- 97,628
Hongera, sisi kadada ketu kesho wanafunga!Mwanaume akiwa na vidada anaishi maisha marefu sana , tudada twangu kesho kutwa tunafunga shule š
Hongera, sisi kadada ketu kesho wanafunga!Mwanaume akiwa na vidada anaishi maisha marefu sana , tudada twangu kesho kutwa tunafunga shule š
Kwenye mitihani kamewaburuza nikajua hizi akili zangu na sio za mama yakeš¤£š¤£š¤£Hongera, sisi kadada ketu kesho wanafunga!
štakataka mwenyewe!
Nyooo! watoto wanarithi akili kwa mama, yakiwa majinga ndio mnatusukumizia sisi!Kwenye mitihani kamewaburuza nikajua hizi akili zangu na sio za mama yakeš¤£š¤£š¤£
Sio kweli huu utafiti ni wa vingungutišNyooo! watoto wanarithi akili kwa mama, yakiwa majinga ndio mnatusukumizia sisi!
Daaaaaaah!Ndio maana sijawahi kuhurumia hii gender! Mna dharau sana mbwa nyinyi!
Kwahiyo hutokuwa na mke kisa mabadiliko ya mwili, unasubiri watoto wa wenzio wakikuwa uwapitie kisa ubichi?
Inasikitisha sana!
View attachment 3600745
Vipi mzee wangu?kwema?Daaaaaaah!
Ndio uhalisia huo!Sio kweli huu utafiti ni wa vingungutiš
Si kwemaaVipi mzee wangu?kwema?
Hahaha kwanini mzee?Si kwemaa
Comment #03 aya ya kwanza imeng'oa meno, firigisi, figo,hadi finywele
Code hiyo ,Wanawake bhana, akishaona mambo yamemwendea kombo ndipo anakumbuka kuna boya mmoja aliwahi kunitaka, anaamua kukutafuta
Kwa kipindi hiki nitakutakaje wakati tayari umeshafubaa? Nilitamani kumuona tena yule Khadija mwenye weusi wake wa kuteleza, jumlisha kishundu juu, mtoto ulikuwa unanawili, figure nane mashaallah! kifua kinaeleweka, ila hapo kwenye kishundu daaah dah! Leo hii unajipempela ilihali mwili ushakuwa kama sabufa za seapiano, ukigeuka nyuma ni kama mbele, umepauka pau, umezalishwa, sasa unapojaribu kuwa karibu yangu nitakupendaje ilihali kuna vibinti vibichi vibichi vinazagaa kwa mtaa vikitafuta wakunaji? Eti na yeye anaramba make up anakaa mbele yangu, ananyuka vimini ili mushedede ashtukeš
Nilichokigundua, thamani ya mwanaume inazidi kupanda na ongezeko la umri, competition ya mabinti dhidi yake inakua kila kukicha. Thamani ya mwanamke inashuka jinsi umri unavyozidi kwenda, jumlisha kuzaa zaa huku. Thamani yake sasa imeshuka, anatafuta mtu wa kumuangushia jumba bovu
Kuna siku nimempa salamu akiwa njiani, akajihisi kusamehewa maake sio kwa ule muitikio, aliitoa sauti ya asili isiyo na maringo, kwa uchangamfu mkubwa. Alipoharibu ni pale anamwambia mwanae "msalimie baba yako", katoto nako "amo baba!" babaje?š Hali aliyofikia, wanawake wengi walio kwenye status kama hii ndipo hutafunika sana kwa kuwa wana uoga wa kuendelea kuitwa single mother, hivyo anajitokeza mwanaume anamuahidi kumuoa, anampa tumizi la siku mbili tatu, anamvutia Kitojo G/House, anaimunyiza mbun'go, anapita hivi
Kweli maisha yanabadilika aisee! ila namuonea wivu sana aliyeigusa hiyo pisi kipindi hicho inanawili maake ilinipeleka puta sana, sasa hivi imedorosa, imekuwa cha wote, halafu ni kama inawaza future na mimi, ili tulee mtoto wetuš¤£š¤£š¤£š¤£
Asalaam Aleikyum...
Mkuu, huu ukatili uko pande zote.Ndio maana sijawahi kuhurumia hii gender! Mna dharau sana mbwa nyinyi!š
Kwahiyo hutokuwa na mke kisa mabadiliko ya mwili, unasubiri watoto wa wenzio wakikuwa uwapitie kisa ubichi?
Inasikitisha sana!
View attachment 3600745
Kwenye social media unaona ukatili wa upande mmoja tu kwa sababu algorithm inakupa content unayo-engage nayo zaidi, hivyo unaona insia nyingine ndiyo chanzo cha tatizo.Sijui nini kinaendelea duniani juu ya wanawake aisee! Kama mwanamke, kama mama, kama dada, naumia sana!š¢
View attachment 3600747
kumbe?Kwenye social media unaona ukatili wa upande mmoja tu kwa sababu algorithm inakupa content unayo-engage nayo zaidi, hivyo unaona insia nyingine ndiyo chanzo cha tatizo.
Kadili umri unavyoenda thamani yako inapanda machoni mwa mume wako. Hii ni kwa sababu ya ile safari yenu ya kimaisha pamoja. Anaona unavyomjali, unavyolea watoto wenu n.k. Ila huku nje wengine umri unavyopanda tunakuona unazidi kupolomoka thamani. Ndio maana inashauriwa best age for a woman to secure her man ni pale kwenye 18-25. Ukiingia 30 bado hauna meanful relationship kunakua na ugumu kupata mtu.Ndio maana sijawahi kuhurumia hii gender! Mna dharau sana mbwa nyinyi!š
Kwahiyo hutokuwa na mke kisa mabadiliko ya mwili, unasubiri watoto wa wenzio wakikuwa uwapitie kisa ubichi?
Inasikitisha sana!
View attachment 3600745
Mtoa mada ni matokeo tu, chanzo kipo kwenye maadili ya familia. Siku hizi vijana wakiwa na umri mdogo wanaanza kunavigate ulimwengu wa mahusiano kama kuku wa kienyeji bila muongozo wowote, wanajikuta wanafanyiana ubandidu bila kujua madhara yake mbele.Mdogo wangu, watoto wa kike wanatakiwa kujifunza survival instincts nyingi sana kuishi kwenye dunia ya kiume.
Kwa ujumla mtoto wa kike anapaswa kulelewa haswa akaleleka, unfortunately mtoto wa kike kwenye jamii anafundishwa mambo mepesi mepesi yasiyokuwa na any practical value, moja ya survival instincts ni kujua namna ya kudeal na ego ya mwanaume, ukiumiza ego ya mwanaume matokeo yake hayawezi kuwa mazuri kamwe, atakusubiri tu mahali akuvunjevunje. Ndio kinachotokea hapa kwa hiki ambacho umekiita ādharau ā so survival skill hapa ni kuwa ukiumiza ego ya mwanaume kimbia mbio ndefu sana usigeuke nyuma š
As an observant person nimejifunza hili at very early age, shuleni kwetu wavulana walikuwa wanawapangia team ya kuwatongoza /kuwasumbua wadada wanaofaulu sana ili kuwatoa kwenye reli, huu ni mfano tu wa wanaume ego yao ikishambuliwa namna wanavyoreact, so kama mdada hujui hii mbinu utaanguka lazima. Watoto wa kike tunapofundishwa utii, kuheshimu, kusaidia etc wanaume wanaachwa kujifunza āmaliceā ndio maana mfano niliotoa unatokea.
To sum up, kwenye mapenzi mtu akiwa yuko kwenye jamii ambayo hakutani na option nzuri za kudate /kuoa/kuolewa they are more likely kuwarudia ex zao, wanaume wanatufanyia hivi mara nyingi sana , nikisema kila mwanamke alete screenshot hapa mambo kwa ushahidi tutakimbia huu uzi, lakini wadada masikini yall too nice hamuwasemi wanaume hata! EGO!
Kinachowakumba ni matokeo ya hii illusion mliyouziwa na feminism, kwamba mwanamke kwenye kila situation utakuwepo upande wa kupata benefits regardless of maamuzi gani uliyafanya kwenye past yako. Feminism haijawaambia ukweli kwamba every decision have consequence.Sijui nini kinaendelea duniani juu ya wanawake aisee! Kama mwanamke, kama mama, kama dada, naumia sana!š¢
View attachment 3600747
Kinachowakumba ni matokeo ya hii illusion mliyouziwa na feminism, kwamba mwanamke kwenye kila situation utakuwepo upande wa kupata benefits regardless of maamuzi gani uliyafanya kwenye past yako. Feminism haijawaambia ukweli kwamba every decision have consequence.
Kwenye mapito ya mwanamke kuna prime phase na declining phase. Destination yako kwenye decline phase kuwa chaotic au peaceful kwa kiasi kikubwa itategemea na maamuzi gani uliyafanya kule kwenye prime phase